Moja ya changamoto inayowasumbua wakulima wadogo, kati na wakubwa ni upatikanaji wa mbolea bora. Lakini bado hata zile zinazotumika kwa wingi ni zile ambazo mazao yanayopatikana kutokana nazo hayana ubora kimataifa.
Ipo haja ya kuanza kuzalisha mbolea bora za asili kutokana na mimea + wanyama...
Hamjambo waungwana, maboya ya kuweza ku-uphold mzigo wa kilo 10 kwenye maji fresh yanahitajika. Kama kuna mtu anajua wapi yanapatikana, tafadhali tuwasiliane private au hapa sebureni
HAKUNA SIRI YOYOTE HAPO ...
Kuhusu hiyo ya mbinguni na kuzimu, hayo yote hayapo. Amini kwamba hakuna kufa bal kuna kubadilisha mfumo tu. Sisi ni nishati, na nishati haiwezi kuharibiwa bali tu kubadilishwa.
Kilimo bila udongo hapa namaanisha urban farming ambapo unaweza kustawisha mbogamboga bila udongo, hapa unatumia samadi, pumba, ndoo / magunia na maji ...
namba 2, hydroponics fodder ni teknolojia ya kuzalisha vyakula vya mifugo kwa kutumia mbegu, virutubisho na maji tu.
KWA miaka nenda rudi, kilimo ndiyo kimekuwa uti wa mgongo kwa watu wengi hasa katika nchi zinazoendelea kama Tanzania.
Tangu enzi za mababu zetu, kilimo ndiyo kimekuwa njia ya kuhakikisha kaya zinapata mahitaji muhimu, ikiwemo chakula.
Kilimo ambacho kimekuwa kikifanyika sana hasa hapa nchini...
Huu mmea ulitoka Urusi na kisambazwa hadi nchi za Ulaya; hapa kwetu waswahili wanauita majina tofauti kulingana na mwonekano wake kwenye majani lakini hakuna jina lake kwa kiswahili.
Kuna mtu mmoja miaka ya 90 aliuelezea aiuita KONFURE; Niliutafuta nikaukosa hata kwenye kugoo, lakini nimekuja...
Habarini za majukumu;
Niliwahi kuwapeni habari ya mmea unaotwa comfrey ambao unafungua fursa nyingi sana iwapo utautumia kama ambavyo umefanyiwa utafiti. Mmea huu una matumizi mengi na hapa nitakuandika machache ambayo nayajua mimi ...
1. Dawa;
Comfrey imetumika kama dawa kwa binadamu kwa ajili...
Tunapatikana Jijini Mwanza;
Ofisi za Mwasenda Development Intervention - MDI
S. L. P. 1263 Mwanza.
Mtaa wa Nyasaka Centre karibu na kituo cha daladala
Simu: +255 655 533 543 / +255 754 533 543 / +255 758 000750
Karibu sana.
Wakulima, chondechonde, acheni Mara moja kulialia na gharama za mbolea zennye kemikali kupanda Bei, jifunze kuzalisha mbolea ya asili kwa kutumia mmea wa Comfrey na mimea mingine yenye sifa. Sisi tumeanza kuzalisha na tayari wanaotumia mbolea hiyo wanakiri kwamba inaonesha matokeo chanya...
Najua mpo mnaopenda kuenzi mambo ya asili, basi pitia hiyo atacchment naamini kuna kitu utajifunza. Kwa ufupi Posh Garden ni sehemu ambapo tunajishughulisha na uoto wa asili na kufanyia kazi tafiti mbalimbali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.