Search results

  1. U

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Hata mm nitakupigia nikitafuta masoko Sent using Jamii Forums mobile app
  2. U

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Umemshauri vizuri,ila amesema hataki faida kubwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. U

    Sielewi neno Utakatishaji

    Nimekuelewa vyema
  4. U

    Natafuta soko la kuku wa kienyeji Tanga, Arusha na Dar

    Hahaa umekatishwa tamaa na majibu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. U

    Lugha na maandishi ya vijana wa leo

    Naona kama ujinga flani hasa hizo XXX ndo kabisaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. U

    Sijui ni lini Tanzania yangu nayo itaingia katika hili Kundi la nchi makini na zenye mvuto wa Kibiashara Ulimwenguni

    Inabidi tujue wao wanafanyaje na sisi tunakosea wapi ili tujifunze kupitia wao
  7. U

    Bendera zinazokaa mbele ya mahoteli makubwa zina maana gani?

    Thanks nimekupata vyema Sent using Jamii Forums mobile app
  8. U

    Bendera zinazokaa mbele ya mahoteli makubwa zina maana gani?

    Wanapoangalia hivyo vigezo na kizipa hotel nyota inamaana nyota 1 ni bora kuliko 2 au wana maana gani wanaposema 5 stars hotel au 8?? Naomba mwongozo? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. U

    Bendera zinazokaa mbele ya mahoteli makubwa zina maana gani?

    Sawabho kweli umeitendea haki elimu yako asante kwa darasa zuri kwa upande wangu sikuwa naelewa tofauti ya logde,inn, motel zote nilikuwa naona nyumba za wegeni kulingana na pesa yako. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. U

    Bendera zinazokaa mbele ya mahoteli makubwa zina maana gani?

    Umejibu vyema Sent using Jamii Forums mobile app
  11. U

    Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Nenda ofisi za halmashauri hapo mkuranga kaulizie ofisi za kilimo wakupe taratibu za kuwauzia wachina hiyo mihogo apo ulipo wakufuata wao
  12. U

    Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

    Kikuu wanasumbua kwenye derivery kama mzigo ulioagiza sio wenyewe rudisha office zao ziko pale Shoppers plaza.watakubadilishia kwa kuagiza upya.
  13. U

    Nikila chakula nadondoshadondosha kama mtoto mdogo

    Kula kwa kijiko na usijaze sana weka kiasi kama,,kama ni ugali kata tonge la wastani pia meza kwanza kabla ya kuweka chakula kingine mdomoni. Kwa habari ya usafi unaishi mwenyewe safisha geto lako kila jmoss au pili unapotoka job. Alafu hizi ni tabia zinaanza tangu udogoni fundisha na watoto...
  14. U

    Niulize chochote kuhusiana na biashara, masoko na mauzo

    Natafuta soko LA mayai ya kuku wa kienyej LA uhakika,Niko pugu kila mmoja anafuga kuku madukani mayai yamejaa
  15. U

    Yule mdada aliyekuwa anauza Uji kwa sasa Mambo yamebadilika soon atawaajiri

    Yes amepata suport kwa mdau Mil50,,,juhudi zake zimemfikisha kwenye kuaminiwa
Back
Top Bottom