luqman16msuya
New Member
- Apr 27, 2018
- 3
- 1
Sasa kama bei ya china ni 300 kwa kilo.. Unatarajia kuuza sh ngap kwa kilo.?Bei ya China ni 300tsh kilo
Sasa kama bei ya china ni 300 kwa kilo.. Unatarajia kuuza sh ngap kwa kilo.?Bei ya China ni 300tsh kilo
mkuu umefanya jambo jemaMkuu naanza ujenzi wa kiwanda cha kusindika Rufiji kuanzia Sept na by Jan 2012 nitaanza kununua tani 20 kila siku mihogo aina zote so kama utakuwa na uwezo wa kufikisha tutanunua yote. Michungu na mitamu yote tutachukua kutengezea starch tuna masoko ya nje makubwa na tutanunua bei nzuri tu mkuu.
Maelezo mengi zaidi yapo hapa mkuu
https://www.jamiiforums.com/busines...0-project-funding-sources-10.html#post2118391
mkuu eka moja shilingi ngapi?Wadau natumaini mko pouwa, mimi pia nimkulimaa naanda shamba langu kwa ajili ya msimu wa mwezi wa tisa ekari 25 zote nalimaa mihogo ila pia kwa sasa nilpanda mikorosho miezi minne iliyopita. kama kuna group lolote la whatsup la wakulima wa mihogo naomba uni inbox number ya admin nijiunge, napenda kujua hasa masoko na kupeana mawazo jinsi ya kusukumaa hichi kilimo cha mihogo, mimi nalimiaa kisarawe kijiji kinaitwa mwaga
Nenda ofisi za halmashauri hapo mkuranga kaulizie ofisi za kilimo wakupe taratibu za kuwauzia wachina hiyo mihogo apo ulipo wakufuata waoSalama wakuu,nauza mihogo heka 11,iko mkuranga,ni ile mihogo myeupe mitamu aina ya mkagile,heka 11,nahitaji mteja ambaye atanunua kwa heka ili achimbe mwenyewe shambani.Mawasiliano 0628705240.
Kama wameyakamata tu bila kuyaendeleza, ni kosa. Ni vizuri Waziri Lukuvi apewe taarifa hizi mapema ili kuepusha migogoro ya ardhi hapo baadaye.malila asante, mim nilikuwa huko maeneo ya mlegele pwan kule mhogo unakubal tatizo ni wanyama waharibifu!, kididimo iko maeneo gani?, je eka 1 bei gan?, wakubwa wamekamata mashamba huko pwan sijawah ona!.
Ekari laki 4 hadi 6 inategemeaa na shamba umbali lilipo na jamiimkuu eka moja shilingi ngapi?