Mwandishi Neville Meena ni mgonjwa, yuko ICU Muhimbili

Umeanza kutoa taarifa vizuri lakini mwisho umeonyesha jinsi ulivyo kiakili na uwezo wako wa kufikisha habari kwa jamii.
Habari yote imeharibiwa na maneno yako ya mwisho ya kipuuzi,nipo muhimbili nilitaka kujuwa yuko wapi lkn kwa upuuzi wa maneno yako ya mwisho umesababisha mwanajukwaa huyo kwa leo kukosa ugeni wenye faraja sana kutoka kwangu,nageuza niondoke zangu.
Maneno ya mtu mwingine yakuzuie kumfariji mgonjwa ?!. Huna lolote majivuno tu!!

"Ugua pole Neville Meena"
 
Umeanza kutoa taarifa vizuri lakini mwisho umeonyesha jinsi ulivyo kiakili na uwezo wako wa kufikisha habari kwa jamii.
Habari yote imeharibiwa na maneno yako ya mwisho ya kipuuzi,nipo muhimbili nilitaka kujuwa yuko wapi lkn kwa upuuzi wa maneno yako ya mwisho umesababisha mwanajukwaa huyo kwa leo kukosa ugeni wenye faraja sana kutoka kwangu,nageuza niondoke zangu.
Amelazwa ICU kwenye Jengo la Mwaisela
 
Back
Top Bottom