Search results

  1. F

    FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Tumecheza bila mfumo wa kueleweka tunataka nn tumefungwa kihalali bado tuna safari ndefu kocha afukuzwe
  2. F

    Mtumishi wa Serikali kwa miaka 20 akifukuzwa anapata mafao?

    Kama ukifukuzwa kazi na umechangia mifuko zaidi ya miaka 20 hapo inakuwaje.
  3. F

    Mtumishi wa Serikali kwa miaka 20 akifukuzwa anapata mafao?

    Naomba ufafanuzi kama ukiwa mtumishi wa Serikali zaidi ya miaka 20 je kama ukifukuzwa kazi kuna mafao yoyote utapata? Au ukiamua kuacha kazi, Je kuna mafao yoyote unaweza kupata? Na je kama una mkopo benki hilo deni linalipwaje na wewe uko nje ya utumishi.
  4. F

    Haji Manara amtolea uvivu Feitoto kwa kuomba pesa

    Upo sahihi hili jamaa linazungumza kama nani na lilishafungiwa masuala ya Yanga yanaongelewa na viongozi wa Yanga si mtu aliyefungiwa na TFF na hadi muda huu keshachangiwa pesa zaidi 150m sasa anaingilia vp mechi ya fainali ya Yanga mbona havina uhusiano
  5. F

    Sirro: Sitosahau Askari walipopigwa risasi Kibiti

    Askari walikuwa wanaenda/wanatoka kwenye lindo walikuwa kwenye difenda la polisi ndipo mdunguaji akampiga risasi dereva wakati gari lipo kwenye mwendo likapinduka askari wakajeruhiwa ndipo walipovamiwa pale na kuanza kupigwa risasi kwa ukaribu zaidi ila kuna askari mmoja alipona baada ya...
  6. F

    Ukweli wa kuzimika kwa taa za uwanja wa Benjamin Mkapa

    Je hilo Genereta la 500kVA lina uwezo wa kuendesha hizo taa za uwanja wa taifa, vp pale azam complex chamazi jenereta yao ina uwezo gani tupate ufafanuzi
  7. F

    RC Makalla: Tutajenga Stendi nyingine ya Mabasi ya mikoani Mbagala, mabasi ya Kusini yataishia huko!

    Plan ya kujenga stendi ambayo mabasi ya kusini yataishia ipo Mwandege, Mkuranga na eneo lilishatengwa tayari ata Waziri wa TAMISEMI anajua hilo.
  8. F

    Ukitaka ufanikiwe haraka mtaji ni mmoja tu- Wajinga

    Duuuuuh kuna ukweli katika hili bandiko na wengine wamo humu jf ni wajinga kabisa
  9. F

    Mpina, Panya anayejaribu kumvisha paka kengele!

    Umeongea kwa mafumbo sana ila ungetuwekea video clip ya kilichoongelewa na huyo mwamba.
  10. F

    Ningeshauri suala la Manara liishe hivi...

    Umeongea point ya maana sana kuna haja ya TFF kuangalia upya kanuni zake na kuacha ushabiki, Yanga wanapaswa kukata rufaa katika mamlaka za juu za soka.
  11. F

    Kama Mwanahisa nawapongeza sana NMB kwa kutugawia gawio kubwa na inayoridhisha

    Tuelewesheni namba ya kununua hisa na he gawio au faida inapatikanaje baada ya muda gani
  12. F

    Usipokuwa makini Unaweza pata Mikosi, mabalaa na magonjwa Chooni!

    Ahsante kwa maarifa mazuri kaka tuko pamoja
  13. F

    Nani aliyetudangaya mbuga na hifadhi za wanyama ni mali yetu?

    Una hoja ya msingi tumezaliwa tumewakuta wanyama wapo duniani
  14. F

    Mwanaume, njoo nikufundishe namna ya kuhimili tendo la kujamiiana kwa ufasaha zaidi

    Sawa tumekuelewa ikitokea umeacha kutumia hiyo formula he ujarud kwenye hali ya kuwa kabla hujaanza kutumia au utaendelea kupiga bao za kutosha
Back
Top Bottom