Search results

  1. alexelias

    Tetesi: Mwandosya kanyimwa kibali cha kuingia Ikulu toka mwezi Juni!

    Wazee wetu na nyinyi muachage kujifanya wajuaji. Mark James mwandoysa aliyepata kuwa Waziri wa mda mrefu wa awamu ya tatu na ya nne inasemekana kanyimwa kibali cha kwenda kuonana na Rais toka mwezi Juni. Chanzo cha uhakika toka watu wake wa karibu vinatabanaisha bwana mkubwa inawezekana...
  2. alexelias

    Rais Magufuli afungua Msikiti Sumbawanga, awashukuru waislamu kwa upendo wao wa kumualika

    Rais Magufuli amefungua msikiti wa Sumbawanga na kuwataka waislamu kuendelea kuwa wamoja na kudumisha upendo miongoni mwao na kwa wale wasio waislamu. Kadhalika Rais Magufuli amewashukuru waislamu kwa kumpa heshima ya kufungua msikiti huo na kusema huo ni upendo wa dhati ikizingatiwa kuwa...
  3. alexelias

    Mbunge wa Nkasi, Kessy amemwomba Rais Magufuli amnyonge mkandarasi aliyekula pesa za mradi wa maji

    Mbunge wa Jimbo la Nkasi Mkoa wa Rukwa amemsihi Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli amnyonge na KUMUUA mkandarasi aliyekula pesa za mradi wa Maji wa mji mdogo wa Laela huko Mkoani Rukwa. Amesema hayo baada ya kupewa nafasi na Mheshimiwa Rais ili aweze kueleza ni kwa namna gani hata yeye...
  4. alexelias

    ATCL yasitisha rasmi safari zake za Dar kwenda Johannesburg, Afrika Kusini

    Akizungumza na waandishi wa habari Mkurugenzi wa SHIRIKA la ndege Tanzania amesema safari za Tanzania kwenda Afrika ya Kusini hazipo tena hadi itakapotangazwa vinginevyo. 'Sababu ni zile zile tu' amesema Ladslaus Matindi ambaye ni Mkurugenzi wa SHIRIKA hilo. Hii ni kuanzia tarehe 07/10/2019 na...
  5. alexelias

    Kidiplomasia imekaaje hii ya Rais wa nchi nyingine jirani kutimba na walinzi wake wenye silaha kali!?

    Mapema leo Rais Magufuli katika hali isiyotarajiwa alitimba pale Nakonde Zambia akiwa na walinzi wake wenye siraha kali! Kwa wajuvi wa mambo ya Kidiplomasia imekaaje hiyo? Kingine,kwa nini Magufuli alipendwa na kusikilizwa na kushangiliwa kwa nguvu zote na wananchi wale wa Zambia kuliko Rais...
  6. alexelias

    Hali si hali tena ndani ya Chadema,Makundi ni bayana sasa ndani ya Chama.Mbowe aandika waraka mzito!

    Uchaguzi wa Kikanda ndani ya Chadema umedhihilisha bayana kwamba makundi yapo na imefikia hatua hata Mwenyekiti wa Chama hicho inaelekea yameanza kumshinda na hata yeye amekiri hilo. Kwa mfano,uchaguzi wa Kanda ya Kaskazini umekuwa na makundi yanayohatarisha usalama na uimara wa Chama na hali...
  7. alexelias

    Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

    Akielezea ni kwa namna gani humpelekea kufanya kazi hadi usiku Rais Magufuli amesema katika vita hasa ya kiuchumi adui mbaya zaidi hutoka ndani kwa maana ndiye huwa kiungo wa maadui wa nje. Ametolea mfano wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NIMR TANZANIA Bi Mwele Malecela alilazimika kumfuta kazi baada...
  8. alexelias

    Zitto achana na Putin, Kagame, El-Sisi na Erdogan; watakumaliza mapema tu!

    Kwanza naomba hili bandiko lisiunganishwe na andiko lolote kwa faida ya Zitto mwenyewe. Zitto amekuwa na tabia ya kuwasema vibaya hao Rais niliowataja hapo juu kwa mabaya tu na namna walivyo na tabia ya udikteta.Jambo hatari sana! Asichokifahamu Zitto kwamba hiyo Miamba inauwezo wa kummaliza...
  9. alexelias

    MO na Halima Mdee, patachimbika Jimbo la Kawe!

    Kuna kila dalili mfanyabiashara mkubwa na kada wa CCM ndugu Mohammed Dewji almaarufu 'Mo' atagombea Jimbo la Kawe katika uchaguzi ujao wa 2020. Inasemekana CCM inamshawishi MO ili akubali kuwa mshindani wa Halima Mdee kwenye Jimbo hilo mwakani. Mytake;Ufalme wa Halima unaenda kukoma rasmi kwa...
  10. alexelias

    Mwandishi wa Habari za Kiuchunguzi, Erick Kabendera aomba msamaha kwa Rais Magufuli

    Kupitia kwa Wakili wake Jebra Kambole ameomba pengine katika kazi yake ya Uandishi wa habari kama aliteleza na kuandika habari ya kukwaza, anaomba asamehewe 'Kwa niaba yake tunamwombea radhi kwa Mheshimiwa Rais amsamehe na yupo tayari kufanya lolote ili tu awe huru na akaungane na familia yake'...
  11. alexelias

    Huu ujinga wa maandamo kila pande ya Dunia ukiendelea kuachiwa hivyo ipo siku hakutakalika hapa Duniani

    Hong Kong hadi Haiti,Ufaransa hadi Peru,Misri hadi Algeria na kwingi kwingineko maandamo ya kijinga yanaendelea eti kwa kigezo cha demokrasia-ujinga mtupu! Sasa hivi Duniani kote vi-Viongozi vya vyama vya upinzania vinajiona vyenyewe ndivye vyenye tiba ya maisha bora ya kila Raia kumbe ni...
  12. alexelias

    Tunamtaka Msajili wa vyama vya Siasa kutoa tamko kuhusu Chadema kuongozwa na Viongozi hewa!

    Ni karibu mwezi sasa Chadema hakina Uongozi wa kitaifa na hii ni kwa sababu ya Viongozi waliokuwa wakihudumu mda wao kukoma. Sasa ajabu na kwa upole wa ajabu msajili wa vyama vya Siasa amekalia kimya kitengo hicho cha uvunjaji wa katiba pasi na kusema lolote! Sasa basi tunamtaka msajili...
  13. alexelias

    Kumekucha!Kuna kila dalili kesho Msajili kuzungumza na vyombo vya habari

    Duru zinatabanaisha kuwa kesho mchana msajili wa vyama vya Siasa atazungumza na vyombo vya habari kuhusu mambo kadha wa kadha. Kikubwa hasa kinachotarajiwa ni kuhusu ukomo wa Viongozi wa kuchaguliwa wa Chadema na tayari mda wa wao kuwa katika nafasi zao ulishakoma. Sasa msajili...
  14. alexelias

    Mbowe ataangushwa na Sumaye!?

    Inasemekana kambi ya Sumaye kwa kushirikiana Ofisi ya Msajili inataunyakua Uongozi ndani ya Chama kile mda si mrefu. Mipango yote imesukwa na kusukika na superstar wa mchezo huo ni Mashinji. Duru zinatabanaisha kuwa Mashinji anaonelea atakuwa salama zaidi akiwa anaongonzwa na Sumaye na si...
  15. alexelias

    Kuna makundi hatari sana ndani ya Chadema na punde tu yatadhihili.

    Ukifuka moshi pahali tambua na moto upo. Ndani ya Chadema hali si hali tena!Kwa siku za hivi karibuni yamejitokeza makundi japo kwa kujificha ficha lakini ni dhahili utengamano haupo tena ndani ya Chama kama zamani. Leo hii hadi Mbowe anapingwa wazi wazi na wakubwa wenziye ndani ya Chama...
  16. alexelias

    Kubenea tena!Apingana na Katiba ya Chama chake hasa kipengere kinachowazuia wanachama wake kwenda kuhoji maamuzi ya Chama Mahakamani

    Akihojiwa na Mwanahalisione ni yapi maoni yake kwa katiba ya Chama chake kuzuia wanachama kwenda kuhoji maamuzi ya vikao vya chama Mahakamani kubenea ametamka bayana hakubaliani na kipengere hicho kwani kinaminya haki na uhuru wa Mwanachama. Zaidi kubenea amehoji kwa nini Chama kinachojinasibu...
  17. alexelias

    Ukimya wa Mbunge wa Mbeya mjini si wa kawaida!

    Pamoja na yote yanaendelea Mbeya mjini na kwa namna tumfahamivyo Mbunge wa Jimbo lile lazima angeshafanya yake. Ajabu na isivyotarajiwa kabisa jamaa yupo kimya kama siyo yeye kabisa. Hapo ndiposa yatupasa tujiulize kwa nini na tofauti na alivyo kaamua kuwa kimya!? Au yanayosemwa mtaani kwamba...
  18. alexelias

    Masele achana na Zitto,atakupoteza

    Zipo taarifa kwamba Mbunge wa Shinyanga mjini amekuwa akifuatwa na Zitto kwa kushawishiwa ajiunge na Chama chake 'Act ' na apewe Jimbo la Kishapu ili agombee. Ifahamike,Masele ni mwenyeji wa Kijiji cha Ukenyenge kilichopo Wilayani Kishapu na Zitto anamwamisha Masele eti kwa namna wana Kishapu...
  19. alexelias

    Marehemu Philemon Ndesamburo jembe na mbabe wa Siasa sa Moshi asiyesahaulika kamwe!

    Jembe,kisiki,nanga, kifaru,tembo au vyovyote utavyoweza kumwita! Kisiki kile kilitikisa pale Moshi vile kilivyotaka kutikisa.Huku akiwawakilisha wananchi wake kwa majitoleo toka ndani ya moyo bwana Ndesamburo alikuwa mwakilishi sahihi kabisa na kwa wakati wote aliopata kuwahudumia wana Moshi...
  20. alexelias

    Mwigulu Nchemba ulimkosea nini Mheshimiwa Rais!?

    Habari za siku nyingi kaka! Mara ya mwisho tulikutuna Lumumba na ukanidokeza kuhusu safari yako ya Mkoani Kigoma na 'ulinitonya' kuhusu safari yako ya Nigeria kwa TB J. Tulipiga soga zihusuzo 'jembe' Magu hasa kuhusu anavyowafanya msilale 'Mawaziri' hiyo yote ni kwa sababu ya u busy...
Back
Top Bottom