Ukimya wa Mbunge wa Mbeya mjini si wa kawaida!

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Pamoja na yote yanaendelea Mbeya mjini na kwa namna tumfahamivyo Mbunge wa Jimbo lile lazima angeshafanya yake.

Ajabu na isivyotarajiwa kabisa jamaa yupo kimya kama siyo yeye kabisa.

Hapo ndiposa yatupasa tujiulize kwa nini na tofauti na alivyo kaamua kuwa kimya!?

Au yanayosemwa mtaani kwamba eti anashirikiana naye ni ya kweli!?

Muda ni Mwalimu mzuri na ni suala la muda tu kila kitu kitakuwa wazi.
 
Yupo overwhelmed vibaya sana....!!! Na hakuna support yoyte, mana Mbowe yupo arrested, Lissu ana magongo, mnyika anafight to regain his position, msigwa nae anachezea vitasa vikali pale Iringa, Lema hana tumaini la kurud bungeni, nasari yupo chali kabisa, hvyo ameachwa to fend himself...
 
Brother mbona unawasiwasi na baiskeli za miti mjin mbeya..yuko kujenga chama uchaguzi,kuondokana na mapandikizi
 
Pamoja na yote yanaendelea Mbeya mjini na kwa namna tumfahamivyo Mbunge wa Jimbo lile lazima angeshafanya yake.

Ajabu na isivyotarajiwa kabisa jamaa yupo kimya kama siyo yeye kabisa.

Hapo ndiposa yatupasa tujiulize kwa nini na tofauti na alivyo kaamua kuwa kimya!?

Au yanayosemwa mtaani kwamba eti anashirikiana naye ni ya kweli!?

Muda ni Mwalimu mzuri na ni suala la muda tu kila kitu kitakuwa wazi.
Hahahaaaa......unataka ujue kama ulozi wa jeneza umefanya kazi?

Hahahaaaa.......... Sugu ni mkinga yule hologeki!
 
Back
Top Bottom