Search results

  1. L

    Vyumba vinapatikana mabibo

    Utazania ulikuwa kwenye nyumba ya Babako ...!
  2. L

    Ukuta katika machimbo ya Mererani wazua utata

    Cha kwanza ni kulinda rasilimali kwa vitendo na kutumia njia zinazoonekana zina tija na sio kujifurahisha ...
  3. L

    Nimehonga elfu 25 roho inauma sana

    HAFAI KUOA KAMA NI KWELI KAFANYA HIVYO, UNGEKUWA HUNA JE?
  4. L

    Mwanafunzi unayejielewa unaanzaje kupata supplementary?

    Ujielewi, usihukumu wenzako, mimi wakati nasoma nilikuwa najitafutia ada mwenyewe mwanzo mwisho, hata hela ya kula ilikuwa shida, ila hakuna mtu aliyejua hata ma best zangu, sikupata sup, ila mtu akipata sup siwezi hata kum judge, Mungu ndiyo anayejua. Kama mambo yako yamenyoka usizarau...
  5. L

    Wivu umeniponza

    Akishamtafuta? amrudie au?
  6. L

    Wivu umeniponza

    KATIKA WATU WENYE WIVU WEWE SI MMOJA WAPO, NILITEGEMEA KUSIKIA UMEMPIGA SABABU YA WIVU ETC, HAYO MASWALI ULIYOMUULIZA KILA MWANAMKE ANAPASWA KUYAJIBU. HAJAWAHI KUKUPENDA HUYO, SHIDA ZAKE ZILIKUA ZAMFANYA MVUMILIVU, ILA WEWE UNA MPENDA. UMESEMA HALI YAKE YA FEDHA KWA SASA SI NZURI, OKAY, OKAY...
  7. L

    Private car: Je ni salama kusafiri mwenyewe up country

    Are you real asking this Question? AU UNATAKA KUTUAMBIA UMENUNUA RAV 4?
  8. L

    Hivi siku ukigundua kuwa kwa miaka 30 mama yako alikudanganya utafanyaje?

    Unamshukuru Mungu kwamba walikuwa waungwana kukulea maana Baba na Mama yako wa damu pengine walifariki au hawakuwa kwenye nafasi ya kukusomesha, unawashukuru tena kwamba hawakukwambia kwa sababu ungeanza kufikiri unanyanyaswa maana wewe sio wa hapo, halafu unaongea na mke wako, mnaenda Bank...
  9. L

    Ps: Usalama wa Taifa Tanzania

    Watu wowote wanaoonekana life style yao ni kama usalama wa Taifa kabla hawajawa, hawapaswi kuwa usalama wa Taifa, halafu sio kazi ya kutamani au kujipendekeza, endelea tu na shughuli nyingine za maisha.
  10. L

    Nampenda Mbitiyanza

    Mkuu, umenichekesha, nilijua uta react .... ha ha ha!!!!!
  11. L

    Nampenda Mbitiyanza

    Maisha changamoto sana shemeji yangu, vijana hawa maji ya moto, maneno mengi hawana vitendo .... sema tu nimeacha hizi tabia za vijana,
  12. L

    Who ever watched live couples having sex ? I had an opportunity today

    Super serious ... ulichoandika ni upuuzi na hakina maana wala hakifutahishi
  13. L

    Who ever watched live couples having sex ? I had an opportunity today

    Unatafuta humu? huku tumeshtuka, hatudanganyika na ujinga, endelea ku target sehemu nyingine
  14. L

    Magufuli utatoa wapi pesa kutekeleza hii miradi?

    KAMA HUJAELEWA BASI LEVEL YA UELEWA YAKO NI NDOGO SANA, KWA HIYO SINA MDA TENA WA KUENDELEA KUKUELEWESHA, FICHA UJINGA WAKO.
  15. L

    Magufuli utatoa wapi pesa kutekeleza hii miradi?

    Ubongo wako mzito sana, nikupe mfano, inawezekana umeachiwa nyumba ya urithi, sawa, ila kila siku twakuona Bar unakunywa, bila kazi, kumbe mwenzetu umeenda CRDB umeacha hati ya nyumba umechukua mkopo, Hauna pesa ila maisha ya bar yanaendelea, sasa swali lako ni sawa na, UNAENDELEAJE KWENDA BAR...
Back
Top Bottom