Search results

  1. Drone Camera

    Sababu ya Waziri Bashe kukataa msaada wa mchele wa Wamarekani: Je, ni uwepo wa virutubisho, kutokuwa na utapiamlo nchini au hatuna shida ya mchele?

    Wewe unashindwa kutofautisha shida binafsi ya mtu na shida inayoikumba nchi. Tz haijatangaza baa la njaa. Kuwepo kwa baadhi ya watu wenye uhitaji wa chakula haihalalishi kuomba msaada wa chakula kutoka nje. Hii nchi si kame. Kusaidiwa basic need kama chakula inaleta taswira mbaya sana. Sijasikia...
  2. Drone Camera

    Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

    Nyie wenyewe kazi kulalamika tu hakuna mnachokifanya. Mkimaliza kuandika nyuzi kama hizi mnarudi kuchezea simu na mitandao na kuwaaminisha watoto ujinga. So tusemaje kuhusu blacks ambao ni key players kwenye field zao? Dk Ben? Martin Luther King? Wao walikuwa na vinasaba gani? Ni vitu...
  3. Drone Camera

    The future of Javascript developers and their projects: Inachekesha ila inaumiza pia

    Nimeshalogwa na async ... await . Sipendelei kuandika chain za promise. Kuhusu uliloongea hilo ni kweli kabisa. Kuna dev mmoja alisema yeye alianza kusoma Node.js kabla ya JavaScript.
  4. Drone Camera

    Wewe mwanaume, umejifunza nini juu ya kifo cha Mr Ibu, msanii wa Nigeria?

    Umejuaje? Maisha yake ya nyumbani uliyafahamu?
  5. Drone Camera

    Developer Account Azam Pay

    Habari na poleni na majukumu wanajukwaa, Hivi karibuni nimekuwa nikijihusisha na kutengeneza web applications zinazojumuisha maswala ya malipo. Kwa kipindi hicho chote, nilikuwa natumia APIs za Stripe. Kama mnavyojua, Stripe ni ya nchi za magharibi hivyo ukiwa nchi zetu hizi mara nyingi utaweza...
  6. Drone Camera

    Ajali haina kinga kweli hatari sana

    Mmh! Nimeshindwa cha kuandika
  7. Drone Camera

    Ninaposema msilipe mamilioni kuwasomesha watoto wenu English Medium huwa namaanisha mambo kama haya

    Ongea mambo ambayo una uhakika nayo. Utaona unafurahisha watu ila kwa wengine unajidhihirisha jinsi gani ulivyo kichwani. Haya tuambie chuo gani ulienda hicho ukakuta wanafanya hivyo.
  8. Drone Camera

    AFCON: Mambo yamebadilika?

    Yes, hilo ni kweli. Hata Messi kuna kipindi alijitolea akawalipa walinzi wa timu yake ya taifa.
  9. Drone Camera

    AFCON: Mambo yamebadilika?

    Miaka hiyo ya nyuma kama ni kutocheza vizuri, unaona ni timu moja au mbili ila nyingine kubwa zinacheza mpira. Ila mwaka huu wakubwa wote naona kama wanachechemea. Labda tuone gemu zinazofuata. Ila hoja ya masilahi natofautiana na wewe. Huku national team huwa ni posho tu na huwa hawachukulii...
  10. Drone Camera

    AFCON: Mambo yamebadilika?

    Si kweli. Mbona zilizopita trend haikuwa hivi?
  11. Drone Camera

    Joram kiango vs Willy Gamba

    Naweza nikazipata hizi boss ?
  12. Drone Camera

    CEO wa Open AI ambayo inamiliki Chat GPT kaolewa na dume jenzake

    Bado unashangaa ushoga nchi za magharibi? Kwao ni kawaida sana. Mtu anajitangaza yupo hivyo toka high school, kuolewa akiwa anaelekea 40 sio habari tena. Cha kufanya chukua kwao kinachokufaa, kisha mambo yao waachie wenyewe. Maana usipofanya hivyo ni utashangazwa kila siku.
  13. Drone Camera

    Unawaongezea wananchi gharama za maisha halafu useme wakuchague ukaumize tena CCM mmekuwaje?

    Huyu jamaa akili yake haipo sawa. Anahitaji kabisa uangalizi. Hamna logic kabisa kwenye post zake.
  14. Drone Camera

    Unawaongezea wananchi gharama za maisha halafu useme wakuchague ukaumize tena CCM mmekuwaje?

    Nilijua tu wewe ni mmoja wapo wa wale waliobananishwa na Magufuli. Ona eti sahivi umehamia CCM!
  15. Drone Camera

    Matajiri mara nyingi tunaamini masikini Ni wavivu lakini sio kweli

    Genes nzuri na mbaya unamaanisha nini boss?
  16. Drone Camera

    Wakuu kuna mishangazi ina joto asikwambie mtu

    Hiyo hali ipo ila kwa upande wako ni kama tatizo unalitafuta mwenyewe hivi.
  17. Drone Camera

    Wakuu kuna mishangazi ina joto asikwambie mtu

    Yaani hii nchi..., sio viongozi wala raia.🤣 Ila tutafika tu
  18. Drone Camera

    Serikali ya Tanzania ifanye mazungumzo na Marekani ili tuwe jimbo lao. Hiyo ndio dawa

    Ndo fikra zako zimeishia hapo. Unawaza tu kutawaliwa... Mawazo ya mtu ambaye nchi inamtegemea,.. mwenye phd.
  19. Drone Camera

    Msaada: Nateseka na kidonda mdomoni

    Yes, hili ndo jibu.
Back
Top Bottom