In vitro fertilisation (IVF)
Hii ni njia ambayo inatumika kupata mimba kwa wanandoa ambao wanamatatizo ya uzazi. Mara nyingi tatizo linakuwa kwa mwanamke hasa anayekuwa na tatizo la kuziba kwa mirija hasa yote miwili na kushindwa kuruhusu mbegu za kiume kupita ili zikakutane na yai lililopevuka...
1}. Kwa heshima ya rafiki yake, kaka ya mwanamke asikubali kitendo hicho. Kumzalisha na kumuacha itachukuliwa na rafiki yake ni kitendo cha kuharibu maisha ya dadake ingawa atakuwa amefanya hivyo kwa ridhaa ya mwanamke lakini kaka hatafahamu hilo na kusababisha kuvunyika kwa mahusiano yao ya...
Yaonesha maneno ya watu si tu kama yanakukera isipokuwa unadhani yanaukweli fulani katika maisha yako ndo maana ukachukulia uzito mkubwa nakuwauliza watu. Mimi naamini yamekugusa sana. Angalia sababu zilizowafanya muwe na makubaliano ya kuwa na mtoto mmoja kama bado zipo na kama ni hivyo hakuna...
A largenumber of English names and words related to astronomy are also Arabic inorigin. Similarly there are many words from other sciences developed by theIslamic Civilization that were adopted by the Europeans. The word logarithmswas created from the name of the great mathematician...
THIS AFTERNOON NILIKUWA NAFUATILIA KIKAO CHA BUNGE LA UK (HOUSE OF COMMONS), BUNGE LA UK LIMEPENDEKEZA KUJADILI "Danger of UK to Invest in Tanzania" KWASABABU YA HIYO ISSUE YA JK NA MENGI, Waziri wa mambo ya nje akaahidi kufuatilia through commonwealth office, so sikupata details.
Kama kuna...
1. Jamani UN tunalikizo nyingi sana kutegemea na aina ya kazi yako. Kwa mfano mimi binafsi napata likizo kila baada ya wiki 6 na kwa maana hiyo nikiamua kuja nyumbani nitakuja si chini ya mara 7 kwa mwaka. Sasa huenda mama yeye kutokana na majukumu yake mazito akawa na likizo nyingi zaidi. Un...
Nahisi katiba yao inawahusu na suala hili ni la Zanzibar na wala si la Muungano. Tusichokonyoe sana mambo ya dini si mazuri sana kuyajadili hasa yanapokuwa sisi wa Wabara hayatuhusu. Kumbuka kuwa Zanzibar 98% are muslim. Ni kama Rais mpya za Zambia alivyodai ataongoza nchi kwa mujibu wa ten...
Wakati nilipoanza maisha nilikuwa nakaa kwenye chumba kimoja na nilikuwa na jirani yangu ambaye kila anaposikia jiko langu la stove linazima yeye aliingia chumbani kwangu na kuketi mezani na kula nami. Nilishindwa kumvumilia na nikaamua nitumie njia nyingine. Siku moja baada ya kumaliza kupika...
1. Mpeleke polisi. Waoneshe polisi hiyo sms na waambie kuwa anatishia maisha yako. Waambie polisi kuwa huyo bwana hana rukhusa ya kuwasiliana nawe na akifanya hivyo achukuliwe hatua kali za kisheria kwakuwa anatishia maisha yako na anataka kukuharibia maisha yako pia wakati yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.