Search results

  1. K

    Naomba kujua kama Tanzania kuna sheria ya customer deception Penalty

    Naomba kujua kama Tanzania kuna sheria ya customer deception hasa katika mitandao. Na je penalty zake zikoje. Je naweza kupata document yoyote nikasoma kupata ujuzi? Naomba msaada maana kuna mtu ameni-deceive.
  2. K

    Serikali ilikuwa na chaguo mbadala kwa wakwepa kodi

    Leo biashara nyingi zimefungwa sababu walilazimishwa kulipa kodi walizokwepa hapo nyuma. Ni sawa! Lakini Madhara yake yamekuwa makubwa kwa Raia maskini, waliokuwa wanategemea vibarua kwenye biashara hizi. Kosa lilishafanyika hapo nyuma kuwaendekeza wapiga deal (Wakwepa kodi). Tulitakiwa...
  3. K

    Nimeangalia salary slip zangu, kweli Kikwete alikuwa Rais bora

    Kikwete anaingia ikulu, nilikuwa na kijimshahara cha 157,000/= nilichopata baada ya kutumika mia zaidi ya 10 katika ajira ya serikali. Alipoingia Kikwete mshahara ulipanda ndani ya mwaka wake wa kwanza hadi 200,000+. Mpaka anaondoka slip yangu inasoma 1.6m. Tangu aondoke imegota hapo. Cha...
  4. K

    Msaada wa kuhusu uhamisho

    Habari wanajukwaa. Mimi ni mwalimu wa sekondari ambaye kwa sasa niko likozo ya masomo. Je kuna utaratibu wa mtu aliyeko masomoni kuweza kuhama kituo cha kazi akiwa bado na likizo ya masomo? Nataka kuhamia wilaya nyingine ila mkoa ule ule. Ahsanteni.
  5. K

    Mahakama za mwanzo zinanuka rushwa

    Watu wa chini ambao wengi wetu hatujui sheria, mashauri yetu yanasikilizwa huku. Ila kuna ucheleweshaji wa makusudi wa haki katika kujenga mazingira ya rushwa. Unakuta kesi ambayo dhamana iko wazi unazungushwa mpaka utoe rushwa (ndgu yangu ni victim). Ndo huku ambako hata makarani wa...
  6. K

    Serikali inaweza kugawa Uniform kwa wanafunzi nchi nzima

    Katika mikutano yote niliyoenda na kuona kwenye TV, nimeshuhudia watu wakivalia sare za vyama vyao kwa maelfu. CCM wametia fora. Hii imenipa imani kuwa serikali inaweza kugawa uniform na kutoa elimu bila ada kama wagomea wengi au wote walivoahidi. Ukichukua hela zilizotumika kujaza viwanja na...
  7. K

    Kumbe kuzomea sio habari?

    Kuna matukia mengi ya wagombea wa ngazi zotekuzomewa. Lakini tunaziona kwenye social media tu. Mbona Sepp Blatter alivodhihakiwa na mwandishi ilirushwa tena na vyombo vikubwa kama BBC, CNN na locals zote? Mbona hamtuonyeshi zomea zomea? Hata hizi ni habari. Tuonyesheni ili heshima zipungue. Au...
  8. K

    Magufuli kumbe hakubaliki hata home kwao

    Niko Mwanza bana. Kama kawaida ninapita huku na huku kujua upepo wa wagombea wetu. Kwa kweli Magufuli hakubaliki na wengi hapa. Na hali ni mbaya pia jimboni kwake Chato. Kama kawaida nasikia watu huku wanasombwa kama kawaida ya CCM. Kuna issue nyingine za kifamilia ambazo wanamdiss nazo kwao...
  9. K

    Umeanza na wizi kwenye kampeni, je ukiwa Rais?

    Kitendo cha jamaa kukomalia lebo ya M4C na kuitumia ni udhaifu mkubwa na wizi mkubwa. Kama anaweza kuiba vilebo, ataweza kuwatetea wasanii, ataweza kutunza mabiioni ya hazina? Mimi simwamini tangu mwanzo na amedhihirisha kwa kukosa hoja za msingi na kuanza kufanya mazoezi majukwaani. Ukijamba...
  10. K

    Mitambo ya kufulia umeme wa gesi ni used

    Fundi mmoja aliyefunga mitambo hiyo, anadai mitambo hiyo ni 2nd hand. Je serikali walitoa taarifa ya hali a mitambo? Je wanasema kwamba ni used? Kama walisema ni mipya, basi tushapigwa tena na tatizo la umeme litandelea kutuandama.
  11. K

    First Class Economist, anza kutembeza CV

    Kwa hali ilivyo, CCM inaenda kuangukia pua October 25. Swali gumu ni kwa Kibajaji, hivi watu wake wakimbwaga 25 October, atafanya kazi gani? Mwenzie first class economist anaweza akajipatia ajira hata pale Amazon College. Mwingine ni huyu jamaa anasimia ma Programmer kuichafua UKAWA . Sasa...
  12. K

    Silaha ya Mwisho itakuwa kununua mawakala wa vyama

    Hii mbinu ipo na inafanyaga kazi. Hutumika na chama kimoja kikubwa kuwahadaa mawakala hasa wenye njaa. Mimi nilimhoji wakala mmoja kijijini (Ni kweli), akaniambia hata angepewa elfu 30, angepindua matokeo. Kumbuka mawakala wengi huwa wanajitolea. Sasa sijui vyama vyetu vimejiandaa, na hii mbinu...
  13. K

    Kama Dr. Slaa angeukwaa u-Rais, nchi ingeomngozwa na Josephine Mushumbusi

    Katika Mawio la jana, inasemekana CHADEMA walilazimika kutunga sheria ya wake na wachumba na mahawala wa viongozo wa chama, kuingilia maamuzi ya chama. Sasa ndo napata picha kwamba, endapo Slaa angepata u Rais, basi 'festiledi' angetoa maamuzi mengi ya kushinikiza ikiwa ni pamoja na kuwatafutia...
  14. K

    Bashiru Ally: Wanafunzi wake wa mwaka wa pili UDSM hawajui kirefu cha TANU!

    Alikuwa chanel 10. Anasema tunataka kuua Muungano kwa sababu ya kutokujua Historia. Anatoa mfano aliwauliza wanafunzi wanafunzi mwaka wa pili 18 katika 32, hawajui hata Samora Machel ni nani. Ana conclude kwa kusema tumefika hapa kwa sababu ya kuua mfumo wetu wa Elimu. Na mimi nimekubaliana...
  15. K

    Wapi zinapatikana ilani za vyama?

    Najaribu kutafuta Ilani za CCM na CHADEMA, ila naona haziko online. Yeyote mwenye nayo, naziomba. Soft or hard. Na kama ni siri, nijuzwe.
  16. K

    Eti Tume kutoa matokeo ndani ya siku tano

    Naona tume wanajitapa kwamba watatumia mfumo wa kisasa ili kurahisisha upigaji na uhesabuji kura? Sasa siku tano kujumlisha na kutoa zinatoka wapi? Waite hata darasa la saba wawasadie kujumlisha jamani! Siku tano ni nyingi, wngesema ndani ya siku 2.
  17. K

    Acha watu wafuate mkumbo

    Watu wanasema eti yale mafuriko ya Lowassa ni watu kufata mkumbo. Mi nasema ngoja tufate mkumbo. Mnakumbuka 2005? Kama mkumbo ndo ule! Watu waliaminishwa kuwa Huyu ndiye. Hadi viongozi wa dini wakasema ni chaguo la Mungu. Lakini ndo tumeshuhudia uchumi mdororo, Rushwa kubwa pamoja na kubadili...
  18. K

    Kwa jinsi ninavyomchukia Makonda na Nape, natamani Lowassa awe Rais.

    Awali ya yote niseme kuwa mimi sikuwa shabiki wa Lowassa hata alivokuwa CCM. Ila bado sikupendezwa na majigambo ya Nape pamoja na mpiga debe wa Kinondoni huyu Konda. Hadi nilitamani CCM wampitishe Lowassa niliyeamini ni fisadi mradi tu akiukwaa Urais, awatimulie mbali hawa wapambe, sijui...
  19. K

    Mkapa na Mwinyi, Nyerere aliwapigia debe hadharani, nanyi mpigieni debe Mako, hadharani, anatufaa

    Baada ya Nyerere kung'atuka 1985, alimkabidhi Mwinyi nchi hadharani kwa kuwa alimwamini. Pia, mwaka 1995 mbali na watu wengi kutangaza nia, Nyerere alisimama hadharani na kumpigia debe Mkapa. Alimwamini pia. Hivo basi, kwa watanzania wenye kuitakia mema nchi hii, wanajua kwamba ndani ya CCM, ni...
  20. K

    Hivi ni watu wote wanaandikishwa au kuna wengine wanaachwa? #BVR

    Kila wanakopita NEC wanachi wanalalamika kuwa siku ni chache. Je huwa wanafanikiwa kuwaandikisha wote au wengine huwa wanaachwa? Na je wakiachwa watakuja kuandikishwa lini? Alafu naona kama kuna syndicate flani kwamba watu flani wasiandikishwe. Ebu wenye uzoefu tujuze hasa huko zilikopita BVR.
Back
Top Bottom