Kikwete anaingia ikulu, nilikuwa na kijimshahara cha 157,000/= nilichopata baada ya kutumika mia zaidi ya 10 katika ajira ya serikali. Alipoingia Kikwete mshahara ulipanda ndani ya mwaka wake wa kwanza hadi 200,000+. Mpaka anaondoka slip yangu inasoma 1.6m. Tangu aondoke imegota hapo.
Cha ajabu, huyu Mzee wa Msoga, kaajiri watumishi kibao wa serikali. Amesaidia na ku-create ajira nyingine pembeni. Mimi nilikuwa namdharau sana, lakini leo nimejidharua mimi mwenyewe baada ya kuyasoma "Manamba kibao".
Hakuna kupandishwa daraja, hakuna nyongeza, hakuna lolote kwa ujumla. Nimemkumbuka sana Mzee wa Msoga. Ka nyumba kangu kameishia kwenye renta. Kwa ujumla, "Twafaaaaaaa".