Kama Dr. Slaa angeukwaa u-Rais, nchi ingeomngozwa na Josephine Mushumbusi

kasinge

JF-Expert Member
May 22, 2011
1,259
319
Katika Mawio la jana, inasemekana CHADEMA walilazimika kutunga sheria ya wake na wachumba na mahawala wa viongozo wa chama, kuingilia maamuzi ya chama. Sasa ndo napata picha kwamba, endapo Slaa angepata u Rais, basi 'festiledi' angetoa maamuzi mengi ya kushinikiza ikiwa ni pamoja na kuwatafutia ndugu zake kazi ikulu kwa lazima. Mungu ametuepusha na hii shali.
 
Back
Top Bottom