Search results

  1. Abdclassic

    Msaada Kwenye Tuta

    natumahi humu wote niwazima…!! Naswali kidogo. Eti napotaka kununua Pc nzuri naangalia nini..?? 1) Processor 2)core i1,i2……… 3)Generation 4)ukubwa wa Ram 5)inayotumia HHD au SSD
  2. Abdclassic

    Studio Session

    Kwanini tusitengeneze uzi maalumu kwaajili yawaimbaji wanaoanza kujifunza uandishi, melodies?
  3. Abdclassic

    Nina shida na Window ambayo haina shida

    Nina shida na window ambayo haina shida Maana nahangaikia Window mwezi wasita huu. Jana kuna Window nimepata ila nikiconnect wifi PC inajizima, pia kila software nayo download inagoma kufunguka au inaweza kufunguka ila ukizima. PC ukiwasha ishaliwa yaani Nimateso na Antivirus nikifunga bado...
  4. Abdclassic

    Msaada Zaidi

    windows crashes when connecting to wifi
  5. Abdclassic

    Msaada: PC yangu inasumbua

    Kuna issue inanisumbua sana, nimebadili Window bado, nimebadili PC bado. Nahisi kuna program ndo chanzo.
  6. Abdclassic

    Adobe character Animate

    Guyz vp…?? Nashida kidogo.. inshort ndo naanza kujifunga Adobe character animate ila kunakitu kinanishangaza kwamba siioni sehemu ya motion library
  7. Abdclassic

    Msaada jamani

    Laptop yangu ya Toshiba nikiplay game inaniandikia Cannot find 648*480 Video Mode nimejaribu kubadili window lakini bado
  8. Abdclassic

    Msaada

    wazima wa afya ndugu zangu..? nihitaji msaada.. ninasimu ya Nokia TA 1034 kunawatotot wameichezea sasa imeingia security code nilikuwa naomba mnisaidie jinsi yakuzitoa au jinsi yakuflash kabisa
  9. Abdclassic

    LICENSE KEY

    Yeyote mwenye shida na license key ya software yoyot anitafute 0687154308
  10. Abdclassic

    Msaada jamani

    Za siku wanajamiiforums.. MsAada Simu yangu Aina ya tecno y3s haimalizi kuwaka inagandia kwenye neno smart life
  11. Abdclassic

    msaada jamani

    jamani naomba mnisaidie software iliyotumika kutengeneza ile clip ya konki konki master ya wasafi Tv au software inayoweza kufanya kazi kama ile
  12. Abdclassic

    Msaada jamani

    Nina iPhone 4 nimesaha pasword ya icloud ila natumia kama kawa ila siwezi kudownload kitu naombeni msaada
  13. Abdclassic

    Ps2 games kucheza kwenye Android

    Wakuu naombeni kujua jinsi yakuingiza game za ps2 kwenye android yenye ppsspp bila kuzidownload.... Kwakutumia USB cable Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Abdclassic

    Jamana Tanzania tuingie na huku

    Nashauri ma it watanzania wafatilie kuhusu issue yakutengeneza katuni ambazo zakitanzania kama za Tom and Jerry au ben10 kama kuna anaejua anijuze napenda Sana nijue tuwasiliane 0692283829
  15. Abdclassic

    Napendakujua programming

    Wakali waprogramming naomba mnipe maujuzi sehemu au vitabu vyakusomea programming kwa urahisi na lugha rahisi ikiwezekana hata kiswahili kidogo
  16. Abdclassic

    Adsence nyingine tofauti na Google!

    Natafuta adsence wengine ukitoa google adsence ambao hawana masharti sana
  17. Abdclassic

    Kuhusu Dream leager

    Eti game LA dream leaguer linanipatiaje PSA..?
Back
Top Bottom