Search results

  1. Tyta

    Wanaume wanaocheza mziki

    bibie..wewe juzi si ndio umekuja na mfano picha wa aina ya mwanaume anayekuvutia?....vigezo vyote alivyokua navyo leo hii unavichukia tena?!?..yamekuwa hayo?!...hizi pilau za christmas hizi!!!! Weka picha ya kijana anaevutia Thread by: Dinazarde, Dec 11, 2016, 253 replies, in forum: JF Chit-Chat
  2. Tyta

    Huku kwetu mambo yameiva!!

    huyo bi. mpishi atatokaje hapo?
  3. Tyta

    Vitu ambavyo ulidhani ungeweza kumbadilisha mpenzi au mke/Mme lakini umeshindwa

    sikusema inahusiana bali nilimaanisha kwa kuona ''her'' ungetambua jinsia yangu....Anyway,naweza tambua pengine swali limetokana na mtazamo wako uliokuwa nao awali juu yangu....kuwa na amani
  4. Tyta

    Wanawake na umbea wa saluni

    Beauty Shop
  5. Tyta

    Vitu ambavyo ulidhani ungeweza kumbadilisha mpenzi au mke/Mme lakini umeshindwa

    You could never put her and punctuality in the same sentence................Alikuwa mchelewaji katika kila appointment.....
  6. Tyta

    Anna Mghwira: Tafakuri za mwisho wa mwaka 2016

    mada ipo tangu jana lakini kasi yake si ya kuridhisha(sielewi kwa nini imekuwa hivyo)....sasa mpaka nisubiri mada ya Melo ije si inaweza kuwa mwakani?!...by the way..nilichomekea tu baada ya mdau mmoja kuileta...
  7. Tyta

    Msemo uliokukera zaidi mwaka huu

    Mimi nimemiss tu hii kauli(yapata mwaka sasa sijaisikia)......''Unanijua mimi nani?''.......
  8. Tyta

    Anna Mghwira: Tafakuri za mwisho wa mwaka 2016

    lakini mkuu kwa mchango na umuhimu wa Melo katika jambo hili hukupata kabisa muda wa kutoa neno,ama hukuona umuhimu wake.....?
  9. Tyta

    Am on the air from England to Tanzania pray for me jf guys

    unazingua kweli na ''Wingereza'' yako..
  10. Tyta

    Kwanini Migahawa ya Wakristo Tanzania haina chakula kizuri?

    nimejaribu kufuatilia humu nione kama ina uhusiano zaidi dini ama muingiliano na jamii ya kiarabu,sijapata jibu...I believe it has more to do with muingiliano na jamii za kiarabu (ambao wengi wao ni waislamu)....
  11. Tyta

    Undugu wa kiafrica...naona bora marafiki tu!

    This was a good approach.......
  12. Tyta

    "Gigi Money amtabulisha mpenzi wake ni mtangazaji wa redio!

    Hata pornstars wanawapenzi.....kama wamependana ama maigizo juu yao...
  13. Tyta

    Je, Tanzania ianze kukata hela ya kutunza watoto wa nje ya ndoa kwenye mshahara wa mwanaume?

    asilimia kubwa ya wananchi wake hawako kwenye mifumo rasmi utaanzaje kuwakata?.....
  14. Tyta

    Mnamlilia Saanane kinafiki kabisa

    mchakato unaendeleaje? Nataka ITV wanilipe fidia ya Trioni 5 kwa kunisingizia... vipi na huu....? Nawaza kuoa mwanamke Bikira, labda takuwa na amani.
  15. Tyta

    Undugu wa kiafrica...naona bora marafiki tu!

    Kumfukuza ni jambo moja(ambalo sina tatizo nalo)..appraoch aliyotumia ni jambo lingine (ambayo binafsi siiungi mkono)... wakati mwingine maamuzi yanayoambatana na hasira hata kama una hoja ya msingi yanaweza yasiwe mazuri(during and aftermath)
  16. Tyta

    Undugu wa kiafrica...naona bora marafiki tu!

    Zingatia story ni ya upande mmoja,pengine ukipata upande wa pili unaweza kuta zipo sababu ama chanzo cha msingi kinachoweza mfanya mleta mada naye kuwa sehemu ya tatizo.Approach yake katika kumfukuza mdogo wake haikuwa nzuri.
  17. Tyta

    Undugu wa kiafrica...naona bora marafiki tu!

    pole...anaweza akawa member wa JF..UJUMBE UTAKUWA UMEMFIKIA..Ila ungepunguza maamuzi ya hasira...Ungetumia ustaarabu katika uamuzi uliofikia ili dhamira imsute hata huko mbeleni..
Back
Top Bottom