Search results

  1. NTABO wa NTABO

    Kukata Tamaa Ni Mwiko!,

    Haijarishi Unapitia Magumu Kiasi Gani! Usikate Tamaa, Amini Yana Mwisho, Yamkini Upo Katika Mazingira Ambayo Unaona ni magumu kutoka, amini ipo njia, uwepo wako jamiiforum si bure, hakuna mtandao wa kijamii tanzania ambao umeunganisha watu wa kada tofauti tofauti kama jamiiforum, kuanzia...
  2. NTABO wa NTABO

    Ukubali Ukatae, JamiiForum inatisha, kwa maana ya kwamba kila unachotaka unakipata

    Ukubali Ukatae ,Jamiiforum inatisha, kwa maana ya kwamba kila unachotaka unakipata kwa kiwango zaidi ya tbs, toka nimejiunga sijawahi kujutia kuwa mwanajamii, ukitaka siasa ni noma ,michezo ndo balaa, mapenzi sasa hapa sitii neno najua unajua ,uchumi na biashara tumo ni hatare yaani kiufupi...
  3. NTABO wa NTABO

    Natafuta soko la ukwaju,

    Husika na mada tajwa , ninauza ukwaju kwa bei ya 1000 kwa kilo,inaweza pungua, utauchukulia shinyanga mjini, kwa wale wa zanzibar,dar au popote tujuzane, pande za azam bei iko vipi? msimu tayari! ukwaju ni mwingi zaidi ya tani kumi kuvunwa. zaidi 0652886184
  4. NTABO wa NTABO

    Nahitaji Mshirika Katika Kilimo,

    Husika Na kichwa hapo juu, mimi ni muhitimu chuo kikuu ,nahitaji mshirika anayependa kilimo, niko shamba tayari ,muhoro rufiji pwani, nimefanya upembuzi yakinifu,kulingana na msimu ,nahitaji tuanze na bamia na mazao mengine atakayoona mshirika yanafaa kulingana na soko, ,mshirika awe na mtaji...
  5. NTABO wa NTABO

    Muziki Wa Kisukuma Kuteka Soko Miaka Ijayo,

    Siku Zote Mtu Anayefanya Mazoezi Katika Fani Yoyote Huishia Kuwa Bora Zaidi!. Sio siri hili kabila katka kuimba wanaimba, na wanafanya matamasha ambayo ni local, lakini kama mtu uko kwenye industry ya mziki lazima utazame ulekeo wa mziki, tayari magwiji wa kazi wameanza kuonyesha njia, ruge wa...
  6. NTABO wa NTABO

    HELLO,,,,NTABO wa NTABO ,,, HAPA

    hello jamii forums....members mimi ni mdau wa jamii forums....tangu enzi za jambo... enzi hizo internet cafe ,,,,,zikiwa katika chart, Nimeamua niwe member kamili,,,, Naahidi nitakuwa member mtiifu kwa member watiifu,,,, wenu mtiifu NwN NTABO wa NTABO
Back
Top Bottom