Ukubali Ukatae, JamiiForum inatisha, kwa maana ya kwamba kila unachotaka unakipata

NTABO wa NTABO

Senior Member
Jun 25, 2017
190
221
Ukubali Ukatae ,Jamiiforum inatisha, kwa maana ya kwamba kila unachotaka unakipata kwa kiwango zaidi ya tbs, toka nimejiunga sijawahi kujutia kuwa mwanajamii, ukitaka siasa ni noma ,michezo ndo balaa, mapenzi sasa hapa sitii neno najua unajua ,uchumi na biashara tumo ni hatare yaani kiufupi jamiiforum ni jibu la kile tunachokitaka!,

Vijana kwa wazee tuwahimize wajiunge na jamiiforum kwa manufaa yao na sisi, kuwa mjumbe wa hii kampeni! TAIFA MOJA, JUKWAA MOJA,
 
Jukwaa hili ni kama la kuweka malalamiko,suluhisho ni chache sana,lawama lawama,lawama.Jukwaa la kilimo post ni chache sana,yani limedorora.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom