Muziki Wa Kisukuma Kuteka Soko Miaka Ijayo,

Muziki Wa Kisukuma Kuteka Soko Miaka Ijayo,

NTABO wa NTABO

Senior Member
Joined
Jun 25, 2017
Posts
191
Reaction score
221
Siku Zote Mtu Anayefanya Mazoezi Katika Fani Yoyote Huishia Kuwa Bora Zaidi!. Sio siri hili kabila katka kuimba wanaimba, na wanafanya matamasha ambayo ni local, lakini kama mtu uko kwenye industry ya mziki lazima utazame ulekeo wa mziki, tayari magwiji wa kazi wameanza kuonyesha njia, ruge wa mutahaba ameanza kuwaunganisha wafanye vitu vya kimataifa kwa kutumia lugha yetu adhimu ya kiswahili, huwezi kuona kama ndoto zako ni kwa panzi wa leo! , wingi pia unawabeba, ,,,, je wewe umeliona hili?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom