Search results

  1. Developer IOS

    Msaada juu ya hukumu ya kifungo cha nje

    Habari wakuu mimi nilitapeliwa kiasi cha sh laki 9 na rafiki yangu kwa kivuli cha mchezo feki kesi ikaenda mahakamani baada ya kushindwa kumalizana kifamilia akafungulia shtaka la kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu mahakama ikamkuta na hatia na kumuhukumu kifungo cha nje cha mienzi miwili na...
  2. Developer IOS

    Kilichotokea Mbeya ni ishara ya makamanda kuchoka kuendelea kuwa watumwa wa Mbowe

    Baada ya biashara ya utumwa kukomeshwa barani Afrika kwa muda mrefu sana nchini Tanzania kumekuwa na utumwa ndani ya siasa zetu za upinzani kitu kinachofanya kuwa ni ngumu kwa upinzani kutoa upinzani wa mawazo mbadala,sera na hoja baada yake kuwa ndumi la kuwili ili kuwanufaisha wachache ambao...
  3. Developer IOS

    Taarifa ya IMF: Mamlaka za Tanzania zimegoma kutoa kibali cha kuchapisha data za uchumi

    naona sasa hivi chadema mmeshahama kwa CaG mmkuja kwa IMF ndo ubaya wa kutegemea kuitoa ccm kwa siasa za matukio bila kuwa na sera
  4. Developer IOS

    CHADEMA ‘waungana’ na CCM kupinga maandamano ya vyama vya upinzani kuhusu CAG

    nililiandika hili jana nashangaa mods wakafuta uzi wangu
  5. Developer IOS

    Rais amteua katibu wa CCM kuwa mkurugenzi wa halmashauri (DED) na msimamizi wa uchaguzi kinyume cha sheria na taratibu cha cheo husika

    Unaweza kujiua ukafa ukatuacha wengine tukiendelea kufurahia matunda ya nchi yetu
  6. Developer IOS

    Maandamano ya Kulinda Katiba Kuhusu suala la CAG. Pongezi Vijana wa Vyama vya Upinzani

    huu ni upuuzi uliopitiliza umesikia sisi tunashida na maandamano embu rudi jimboni kwako kwanza then toa matumizi ya ruzuku ambayo ni pesa yetu watanzania mwisho tambua hujachaguliwa ili kuhamasisha uvunjifu wa amani naamini dodoma mtapata tabu sana
  7. Developer IOS

    CCM isiyo na diwani yaishinda CHADEMA iliyo na diwani katika juhudi za maendeleo sinza

    huu uhuni wa kujipiga risasi na kujiteka ili kupata mtaji wa kisiasa tumewashtukia
  8. Developer IOS

    Matangazo ya mashirika ya BBC na VOA nchini Burundi yapigwa marufuku kwa muda usiojulikana

    safi sana ifike mahali haya mashirika yeheshimu sheria za nchi
  9. Developer IOS

    CCM isiyo na diwani yaishinda CHADEMA iliyo na diwani katika juhudi za maendeleo sinza

    mkuu nimezungumza vilio tulivyonavyo wakazi wengi wa sinza
  10. Developer IOS

    CCM isiyo na diwani yaishinda CHADEMA iliyo na diwani katika juhudi za maendeleo sinza

    mkuu diwan anaruhusiwa sio kufanya kikao tu hata kufanya mkutano wa hadhara katika kata yake acha kutuletea hoja ya kipuuzi
  11. Developer IOS

    CCM isiyo na diwani yaishinda CHADEMA iliyo na diwani katika juhudi za maendeleo sinza

    Habari wakuu, Sisi wakazi wa sinza tumesema kwa nguvu moja tumekoma tena tumekoma zaidi ya tulivyokoma manyonyo ya mama zetu kuwapa ridhaa ya uongozi CHADEMA ambao hawajali waliowachagua ambao hawajali walipigwa na jua katika foleni kuwapa ridhaa wawatumikie ambao waliwapa ahadi kedekede...
  12. Developer IOS

    Haya mambo makubwa inayofanya Serikali ya awamu ya 5 utayafaninisha vipi na machozi ya watu hawa?

    mkuu acha kuropoka unajua takwimu za wanachuo waliojiunga na ccm ndani ya miaka mitatu ya dr jpm
  13. Developer IOS

    Haya mambo makubwa inayofanya Serikali ya awamu ya 5 utayafaninisha vipi na machozi ya watu hawa?

    Mkuu acha unafiki nani kakwambia wanavyuo tuna majonzi na serikali yetu acha unafki sisi tunafutahia juhudi zinazofanywa na serikali yetu
  14. Developer IOS

    IGP Sirro inasemekana kuna taarifa za serial killings eneo la Tandika na Yombo!!!

    hizo habari nazisikia zimevuma sana davis corner had kufikia hatua ya kuogopa kutembea usiku
  15. Developer IOS

    Je, Jaji Mutungi ni mnafiki au amekengeuka?

    Tatizo lenu hamsomi sheria fateni sheria muone kama jaji mtungi atawafatilia
  16. Developer IOS

    Maalim Seif mwanasiasa ambaye yupo tayari kufanya chochote kwa ajili ya madaraka

    m mkuu mie nimeuliza maalim anapigania nini??
  17. Developer IOS

    Maalim Seif mwanasiasa ambaye yupo tayari kufanya chochote kwa ajili ya madaraka

    mkuu lengo la mwanasiasa ni kushika madaraka lakini mwanasiasa bora ni yule ambaye yupo kwa maslai ya umma sio yeye kitu ambacho maalim hana
Back
Top Bottom