Kilichotokea Mbeya ni ishara ya makamanda kuchoka kuendelea kuwa watumwa wa Mbowe

Masenu K Msuya

JF-Expert Member
Jun 20, 2017
1,459
2,000
Baada ya biashara ya utumwa kukomeshwa barani Afrika kwa muda mrefu sana nchini Tanzania kumekuwa na utumwa ndani ya siasa zetu za upinzani kitu kinachofanya kuwa ni ngumu kwa upinzani kutoa upinzani wa mawazo mbadala,sera na hoja baada yake kuwa ndumi la kuwili ili kuwanufaisha wachache ambao wameamua kujikita katika biashara ya siasa na kuamua kugeuza vyama vyao saccos zao.

Slave master hao wamejigeuza kama miungo watu ndani ya vyama vyao yani walichokipanga wao lazima kifanywe ukipinga tu unakuwa msaliti pia hujichotea pesa za ruzuku za chama kama za kwako bila kuhojiwa kwani ukihoji utaonyeshwa cha mtee makuni bila kusahau kwa manufaa yao binafsi wanaweza kubadilisha gia angai pia wanapandikiza chuki na kuwaaminisha wafuasi wao upinzani ni kupinga kila kitu hata vya maendeleo na kujivictimisha kwa wananchi.

Kitendo alichokifanya sugu mbeya cha kushirikiana bega kwa bega na mh Rais katika kuijenga Tanzania moja ni ishara tosha ya makamanda kuamka.Hivyo ni wakati wa upinzani kuundwa upya na kuwaondoa wote wanaoharibu image ya upinzani especial mbowe na maalim inabidi watupishe undugu na usltani umepitwa na wakati
 
Salam dm

Member
Apr 24, 2019
75
125
Nakubaliana kabisa na hoja hiyo ya usulutani wa akina mbowe hakuna kinachokera kama ubabe na ukandamizaji wa hawa watu halafu utakuta eti wanasema JPM anaminya demokrasia ....ajabu sana wao wanachokitaka lazima kiwe bora Sugu kaonesha mfano
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
44,405

Ndio mbunge wa kwanza wa cdm kuwepo kwenye ziara za rais akifika jimboni kwake? Au umeona uzi wa kipropaganda na ww ukauvamia bila rejea?
 
Waluhwanoyena

JF-Expert Member
Sep 19, 2018
387
500
Wapinzani ni watu mahiri sana haijalishi ni wanachama wa vyama au la tatizo ni Rais mwenyewe na wanachama wa chama chake ambao wanawaona ni maadui. Rais leo yuko Mbeya jimbo la mbunge Sugu ulitaka amkimbie mgeni wake hata angekuwa Kigoma, Zito angempokea Rais. Wastaarabu hawa!
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
112,199
2,000
Kweli wewe bado upo kabatini kwa chakubanga sasa hapo kinachokutolea mapovu ya omo ni kipi?
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
112,199
2,000
Naona leo Mbeya mmeonjeshwa joto ya jiwe
Nakubaliana kabisa na hoja hiyo ya usulutani wa akina mbowe hakuna kinachokera kama ubabe na ukandamizaji wa hawa watu halafu utakuta eti wanasema JPM anaminya demokrasia ....ajabu sana wao wanachokitaka lazima kiwe bora Sugu kaonesha mfano
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom