CHADEMA ‘waungana’ na CCM kupinga maandamano ya vyama vya upinzani kuhusu CAG

Ndugu zangu,

Hamkani si shwari tena, kwajinsi CHADEMA walivyojitenga na maandamano yaliyoratibiwa na chama cha ACT ''kupinga azimio la bunge dhidi ya CAG'' ni dhahiri wameamua kuungana na CCM dhidi ya ACT kama jinsi taarifa za siri zilivyoletwa na uzi huu. https://www.jamiiforums.com/threads/imevuja-wajumbe-kamati-kuu-chadema-wakubali-hoja-za-mbowe-kutoshirikiana-na-act.1566960/

Japo habari hizi zikililetwa badala ya kupingwa kwa hoja wafuasi wa Chadema ambao kimsingi wanajua kinachoendelea wanafurusha matusi na kejeli.

Ni kwanini Chadema wamejiweka kando na maandamano yanayoratibiwa na ACT wazalendo? ile ahadi ya upinzani kuungana kwenye ''masuala ya kitaifa'' iko wapi? Bavicha na Mbowe mbona wamenyamaza kimya huku Zitto akipambana na hali yake?

Ikimbukwe hadi sasa licha ya kamati kuu Chadema kukaa hivi siku za karibuni hawajawahi kutoa tamko la wazi kama watashirikiana na ACT au sivyo. Habari za uhakika ni kuwa Mbowe amekuwa na kigugumizi kumshirikisha Zittokwenye ''baraza la mawaziri vivuli'' analotarajia kuliunda upya. Habari za chinichini zinasema Mbowe inabidi tu avunge kumshirikisha Zitto katika baraza la mawaziri vivuli ili kuondoa ombwe lililopo kwa sasa.

Nimalize tu kwa kusema, kwa hili la maandamano yaliyoratibiwa na ACT kuhusu azimio la Bunge dhidi ya CAG, Chadema wameamua ''kuungana'' na CCM ili kuidhoofisha ACT inayoonekana kuwa na fursa ya kudhibiti kambi ya upinzani bungeni baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Akili mbovu! Ujauzito wa mawazo
 
Kwa mtazamo wangu watu kama huyu mwandishi huwa hawana nia njema na vyama vya upinzani.

Aidha ametumwa au kaongozwa na nia ovu ili kuvifarakanisha vyama vya upinzani ili visielewane visambaratike.

kwa wenye akili muwaelimisha ndugu wapenzi wa vyama vya upinzani wasikosee kuwaona wenzao ni maadui kwa mawazo haya.

Yawezekana pia wanataka Chadema watangaze kuingia ili washughulike nao maana ndiyo ajenda yao kama target kukiandama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Hamkani si shwari tena, kwajinsi CHADEMA walivyojitenga na maandamano yaliyoratibiwa na chama cha ACT ''kupinga azimio la bunge dhidi ya CAG'' ni dhahiri wameamua kuungana na CCM dhidi ya ACT kama jinsi taarifa za siri zilivyoletwa na uzi huu. https://www.jamiiforums.com/threads/imevuja-wajumbe-kamati-kuu-chadema-wakubali-hoja-za-mbowe-kutoshirikiana-na-act.1566960/

Japo habari hizi zikililetwa badala ya kupingwa kwa hoja wafuasi wa Chadema ambao kimsingi wanajua kinachoendelea wanafurusha matusi na kejeli.

Ni kwanini Chadema wamejiweka kando na maandamano yanayoratibiwa na ACT wazalendo? ile ahadi ya upinzani kuungana kwenye ''masuala ya kitaifa'' iko wapi? Bavicha na Mbowe mbona wamenyamaza kimya huku Zitto akipambana na hali yake?

Ikimbukwe hadi sasa licha ya kamati kuu Chadema kukaa hivi siku za karibuni hawajawahi kutoa tamko la wazi kama watashirikiana na ACT au sivyo. Habari za uhakika ni kuwa Mbowe amekuwa na kigugumizi kumshirikisha Zittokwenye ''baraza la mawaziri vivuli'' analotarajia kuliunda upya. Habari za chinichini zinasema Mbowe inabidi tu avunge kumshirikisha Zitto katika baraza la mawaziri vivuli ili kuondoa ombwe lililopo kwa sasa.

Nimalize tu kwa kusema, kwa hili la maandamano yaliyoratibiwa na ACT kuhusu azimio la Bunge dhidi ya CAG, Chadema wameamua ''kuungana'' na CCM ili kuidhoofisha ACT inayoonekana kuwa na fursa ya kudhibiti kambi ya upinzani bungeni baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
nililiandika hili jana nashangaa mods wakafuta uzi wangu
 
Back
Top Bottom