Taarifa ya IMF: Mamlaka za Tanzania zimegoma kutoa kibali cha kuchapisha data za uchumi

Naona wale tunaowaita 'mabeberu' wanafanya kazi yao ya kuweka ukweli wazi na mkuu anaona 'ukweli' si muafaka kisiasa. Nchi sasa inanyooshwa na 'mabeberu', mkuu hataki. Tanzania ina bahati mbaya sana awamu hii!
 
Lakini mtaalam wetu wa uchumi mr Slowly si alishatoa press release akionyesha kwamba hawa IMF ni makanjanja?
 
Mr Slowly alishatoa press release akiwatuhumu hawa IMF kuwa makanjanja. Nadhani hawa wazungu wamesahau kwamba tulipata uhuru tarehe 9 Dec 1961 na kwamba sasa tunayo tiketi ya kuamua wenyewe kuhusu asilimia ya ukuaji wa uchumi wetu na hata exchange rate ya shilingi yetu!
Ni kwamba serikali imekataa kutoa press release ya kwamba walikutana na hao wachumi wa IMF na pia wamekataa kutoa press release ya hiyo report ya IMF.

Nadhani itakua wanajiandaa kupika data sababu ripoti itakua imekava mambo muhimu ya mdororo wa uchumi kitu ambacho hawakitaki
 
Hawa mabeberu wanatuonea wivu tu hawa, uchumi wetu unakua kwa kasi sana kuliko nchi yeyote ya Africa na baadhi ya nchi za ulaya na America, mabeberu hawa watuache wanataka kutuibia tu ..

"Alisikika kada mmoja wa CCM akiongea madini kwa makada wenzie pale Lumumba"
Beberu's now
tapatalk_1554902481669.jpeg
 
Hata hivyo IMF imeeleza kuwa Mamlaka za Tanzania hazijachapisha taarifa ya kikao hicho ili Umma ufahamu
Acha upotoshaji. Mamlaka za Tanzania hazichapishi taarifa ya vikao hivyo vya IMF eti ili umma wa Tanzania ufahamu. Taarifa hizo huchapishwa na IMF yenyewe kwenye official website yake baada ya kukubalika (consent) na nchi husika kwamba ni za kweli. Kimombo kilichoandikwa kwenye Boomrang ni kifuatavyo: Yaliyo kwenye mabano ni ufafanuzi wa kinachoongelewa.

"They (The visiting IMF staff) submit a report (the staff report) to the executive board (of the IMF), which then transmits its views to the country’s government (Tanzania) and publishes a summary of the report on its (IMF's) website with the consent of the member nation (Tanzania)".

Tanzania haija consent hiyo ripoti ya staff wa IMF waliotembelea Benki kuu ya Tanzania, hivyo IMF hawawezi kui publish kwenye website yao. Inawezekana hao staff wamechanganya data zetu na za nchi nyingine. Hivyo bila shaka uhakiki utafanyika kwa kuleta staff wengine toka IMF hapa Bank of Tanzania. Haya mambo ni analysis tu ya data zilizoko Benki Kuu yetu (BoT). Hao wa kwanza walizikosea au kuzichanganya, hivyo kupelekea Tanzania kuonekana inapitwa hata na Burundi katika kasi ya ukuaji wa uchumi. Ukweli utajulikana baada ya uhakiki. Kama ni kweli basi itabidi turekebishe makosa tuliyofanya ili uchumi wetu uanze tena kupaa. Ndiyo lengo la IMF.
 
Hebu waende kwa wachina wakachukue hizo taarifa then wapike waje na za kwao. We are tired of being scapegoat ktk kuwafurahisha mabwanyeye, yaani wanatutoa kafara kupitia hizo habari zao za kupika then wanatuachia tuingie mwituni kama mbuzi wa kafara huko wao wameshajiosha dhambi kama vile wayahudi walipo waachia mbuzi kuingia mwituni wakiamini dhambi zao zimeenda.
Wewe zimo kweli umechoka kwanini ujachoka kukopa.
 
naona sasa hivi chadema mmeshahama kwa CaG mmkuja kwa IMF ndo ubaya wa kutegemea kuitoa ccm kwa siasa za matukio bila kuwa na sera
 
Kwanini nchi nyingi Africa inakuwa vigumu sana kuamini watalaam wake? tuna miaka Zaidi ya 50 bado hatuna uwezo wa kujifanyia tathimini wenyewe na kutoa report kwa Taasisi mbalimbali just for certification? , mambo ya fedha ( exchange rate) kila nchi duniani kote ni mambo ya nchi husika, ndio maana kila siku marekani wanapigana na china kuhusu haya mambo, hata marekani huwezi kupata data zao za uchumi kabla ya serikali au chombo husika kutoa report, ni kawaida. Ila kwa kuwa sisi hatujiamini data zikitoka utasikia wanasiasa wanaongea hili mara lile wakati huo hata utalaam wa fedha/uchumi hawana, hata kama ni IMF lazima waje nchini washirikiane na taasisi zetu, wapo nchini kupata taarifa na mwenendo wa uchumi nchini , hata kama wakiwa na data zinaweza kupokelewa na kujadiliwa au kukataliwa, sio kila kitu IMF wamesema IMF wamesema IMF blabla basi sisi tunakubali tu.

Hujui IMF inavyooperate wewe, hata marekani inahunguzwa na IMF inatoa report ni jambo la kawaida. Sio kwamba hatuna wataalam, wapo na kucalculate ukuaji wa uchumi ni kitu kidogo sana. Tatizo la Tanzania ukija nandata ukasema uchumi unakua kwa asilimia flani ambayo ipo chini na iliyosukwa na serikali upo kwenye matatizo. Siku hizi uchumi umekua asilimia ngapi data wanachukua kutoka kwa magu, kila kitu anataka anachofanya tukibebe kama kilivyo as if kasoma uchumi. Huoni alivyokaa kimya swala la CAG, subiri siku akiongea itaona pumba atakayokuja nayo.
 
Acha upotoshaji. Mamlaka za Tanzania hazichapishi taarifa ya vikao hivyo vya IMF eti ili umma wa Tanzania ufahamu. Taarifa hizo huchapishwa na IMF yenyewe kwenye official website yake baada ya kukubalika (consent) na nchi husika kwamba ni za kweli. Kimombo kilichoandikwa kwenye Boomrang ni kifuatavyo: Yaliyo kwenye mabano ni ufafanuzi wa kinachoongelewa.

"They (The visiting IMF staff) submit a report (the staff report) to the executive board (of the IMF), which then transmits its views to the country’s government (Tanzania) and publishes a summary of the report on its (IMF's) website with the consent of the member nation (Tanzania)".

Tanzania haija consent hiyo ripoti ya staff wa IMF waliotembelea Benki kuu ya Tanzania, hivyo IMF hawawezi kui publish kwenye website yao. Inawezekana hao staff wamechanganya data zetu na za nchi nyingine. Hivyo bila shaka uhakiki utafanyika kwa kuleta staff wengine toka IMF hapa Bank of Tanzania. Haya mambo ni analysis tu ya data zilizoko Benki Kuu yetu (BoT). Hao wa kwanza walizikosea au kuzichanganya, hivyo kupelekea Tanzania kuonekana inapitwa hata na Burundi katika kasi ya ukuaji wa uchumi. Ukweli utajulikana baada ya uhakiki. Kama ni kweli basi itabidi turekebishe makosa tuliyofanya ili uchumi wetu uanze tena kupaa. Ndiyo lengo la IMF.
Atalekebisha nani? Au huyo tahira wenu!!
 
Magu ndiye mtu pekee duniani anayenunua ndege kwa CASH, yaani hakuna nchi inafanya kitu kama hicho alafu analaumu hela ya Tanzania kushuka thamani? Kwa nini isishuke thamani kama serikali inamwaga mablioni IN CASH kununua ndege.
Thamani ya hela inashuka kukiwa na sellers wengi kuliko buyers kwenye market, hela yote ya bongo tunayogeuza to USD kununua hizi ndege sio pesa ndogo, ongeza na matumizi mengine yanayolipwa in usd toka Magu aingie huu ni mwanzo tu. Huyu jamaa akipewa mitano mingine ataiacha bongo pabaya sana, serikali itaown almost kila kitu huku wananchi wengi watakua wanakufa njaa. System anayotumia huyu jamaa haijawahi fanikiwa toka binadamu aanze kurecord history, chungulia venezuela kinachoendelea.
Akikopa Mnapiga Kelele Kakopa akinunua Cash Pia Mnapiga Kelele, Wapinzani Wa Nchi Wa Hovyo Sana
 
Hujui IMF inavyooperate wewe, hata marekani inahunguzwa na IMF inatoa report ni jambo la kawaida. Sio kwamba hatuna wataalam, wapo na kucalculate ukuaji wa uchumi ni kitu kidogo sana. Tatizo la Tanzania ukija nandata ukasema uchumi unakua kwa asilimia flani ambayo ipo chini na iliyosukwa na serikali upo kwenye matatizo. Siku hizi uchumi umekua asilimia ngapi data wanachukua kutoka kwa magu, kila kitu anataka anachofanya tukibebe kama kilivyo as if kasoma uchumi. Huoni alivyokaa kimya swala la CAG, subiri siku akiongea itaona pumba atakayokuja nayo.

IMF haichunguzi ukuaji wa uchumi wa nchi Fulani, IMF hufanyia analysis/evaluation na kutoa mapendekezo ya uchumi husika kupitia data ambazo serikali hutoa ( BOT), baada ya ku review hizo data wanatoa report kwa taasisi ya serikali husika , taasisi husika inazipitia hizo data inakukubali au kukataa.

Uchumi kukua maana yake shughuli za maendeleo nchini kwa wananchi zinaongezeka, review inaongezeka, maana yake hata internal and foreign investiments zinaongezeka,sasa kama wakati wa kikwete mapato kwa mwezi yalikuwa tu ni bil 800, shughuli za maendeleo zilikuwa vizuri ,uchumi tunaambiwa ulikuwa 7%, leo hii mapato yameongezeka hadi tril 1.3 kwa mwezi, shughuli za maendeleo zimeongezeka mara mbili Zaidi ya miaka kadhaa ya nyuma ndio , Tanzania investments center kinaonyesha mwak jana ,Tanzania imekuwa ya kwanza kuvutia wewekeaji,maana yake revenue na kipato kwa wananchi kimekuwa, cha kushangaza IMF wanakuambia uchumi umeshuka kwa 4% hilo linaingia akilini? wametumia data zipi? suala sio ku approve data zao ziwe published kwenye website yao, suala ni uhalisia wa data zao, unaweza kuwa umepewa data za Yemeni kule utakubali tu? tena tukiangalia kipindi hiki amabacho Rais amekuwa mkali kwenye masuala ya rushwa makampuni mengi ya nje yameguswa, ulaji wao umeguswa ni wakati wa kuwa makini sana na data zao,sio kila kitu kikitoka nje basi tubebe.
 
Ni kwamba serikali imekataa kutoa press release ya kwamba walikutana na hao wachumi wa IMF na pia wamekataa kutoa press release ya hiyo report ya IMF.

Nadhani itakua wanajiandaa kupika data sababu ripoti itakua imekava mambo muhimu ya mdororo wa uchumi kitu ambacho hawakitaki
..Yaweza kuwa kweli kabisa.
Nadhani si sahihi serikali kuwa makini kutochakachuliwa kwa kuhakiki wafanyakazi na kuondoa wafanyakazi hewa,kuhakiki vyeti n.k. halafu waje kuwa na hulka za kupika data za uongo kwa ajili ya kulaghai na kuwarubuni wananchi hao hao wanaowasimamia-Hii itakuwa ni double-standard.Si sahihi,si haki,si uungwana na uzushi wa hovyo sana.

Taarifa hata kama hazimsaidii sana mwananchi wa kawaida,lakini kwa mwananchi kumwezesha kujua ukweli ni muhimu kwa kumpatia taarifa sahihi-sio ukomalie uchakachuaji (jambo ambalo ni jema) halafu serikali hiyo hiyo ndio iwe na uchakachuaji uliokubuhu.

Pia,serikali ikijianika kiukweli kwenye data za kiuchumi n.k.,hata kama si nzuri sana au hata si nzuri kabisa,ni haki mwananchi kuijua na ndio itaifanya serikali kuwa makini sana kuhakikisha yale matarajio wanayotamani kuja kujiainisha kwayo na kujinasibisha nayo mbele ya wananchi wake,wayasimamie kwamakini na uhakika zaidi.Vinginevyo wananchi watafuata taarifa kutoka watakapohisi hazina upotoshaji.Japo simaanishi taarifa za nje ya nchi,ndio mara zote ni za uhakika zaidi.
 
Naunga mkono maamuzi ya serikali. interest za taifa kwanza!!
===
Poleni mliotaka report iliyo'chezewa' ya imf ili muitumie kisiasa.
 
Akikopa Mnapiga Kelele Kakopa akinunua Cash Pia Mnapiga Kelele, Wapinzani Wa Nchi Wa Hovyo Sana
Wewe tukuiteje? Maana hujawahi kuona lolote baya la utawala huu.hata mke wako alivyolala kwenye mkesha wa mwenge bado ulisifu na kuabudu,tukuitege wewe
 
Wewe tukuiteje? Maana hujawahi kuona lolote baya la utawala huu.hata mke wako alivyolala kwenye mkesha wa mwenge bado ulisifu na kuabudu,tukuitege wewe
Muke yake or mumeyake!! c ameolewa huyo na asahiv ni mjamwepesi
 
Uchumi eti umeyumba?
Tunajenga reli kwa pesa zetu Shs tilion 7
Tunajenga bwawa la umeme megawati 2400 kwa pesa zetu Shs tilion 6
Tunajenga daraja la salender tumeweka mzigo pale
Tunajenga intercharge ubungo kwa pesa zetu
Tunajenga barabara 12 kimara , kibaha mbaka chalinze kwa pesa zetu
Barabara kibao zinajengwa na kutiwa rami kwa pesa zetu
Tunajenga boti mpya katika maziwa yetu kwa pesa zetu
Mradi wa stand mpya ubungo
Mradi wa kujenga kuta mto msimbazi, mto mzinga, mto ng'ombe fedha zipo
Elimu bure jiwe kaweza
Jiwe anaipigania sana nchi hii
Tatizo watoto wa juzi hapa wanakuja na siasa zao za matukio
Mzungu sio ndugu yako, leo hii walibya wameshawishika na propaganda za wazungu leo wanakula jeuri yao..
 
Back
Top Bottom