Search results

  1. python1

    Nashangaa Jumuiya ya Kimataifa wanasubiri nini kuhusu Rais Magufuli na utawala wake?

    Kuna umuhimu wa kuweka interview kujiunga na jf Kuna watu wajinga Sana humu ndani yan akili hakuna kabisa
  2. python1

    Nimeamua kuanza kujifunza computer programming (back end development)

    Tafuta App inaitwa Sololearn Anza na c++ utaenjoy programing
  3. python1

    Kwanini miradi mingi inaelekezwa Dodoma na Chato?

    Nima tatizo ya watu ambao wanashiba bila kufanya kazi Kaka,msamehe tu .
  4. python1

    Swali:Kufukuzwa kwa kocha mkuu Emmanuel Amunike

    Natumai ndugu zangu ni wazima wa afya,poleni na majukumu ya kila siku. Hivi karibuni timu yetu ya Taifa imetoka katika Mashindano ya AFCON ambapo kila MTanzania ameguswa na kufanya vibaya kwa timu yetu ya Taifa . Hii imepelekea Kufukuzwa kwa kocha mkuu. Swali langu ,Je kufukuzwa kwa kocha mkuu...
  5. python1

    Magufuli azidi kuporomoka umaarufu wazidi kushuka kwa miaka 2 mfulizo toka 96% 2016 hadi 55% 2018

    Hatuhitaji umaarufu hauna msaada kwetu Ushuke ,upande hauna msaada Kama umaarfu wake unamsaada kwa Familia yako sawa
  6. python1

    Clouds 360 mmekuwa kama kijiwe cha kahawa hamna tofauti na Shalawadu, badilikeni!

    Oya unachukia hata utani umeamua kute ngeneza adi uzi duh! Ila utani wa kwenye media sio mzuri kabisa. " wawili wameoa ila Kuna mmoja kaolewa" Mbaya sana
  7. python1

    Tanzania kutoshiriki Miaka 50 AFCON

    Ndio hatuta shiriki tena Miaka 50 ijayo.Ngoya tusubiri tuone wabunge walienda kufanya nn misri.Hapo ndo tutajua ,Hiii nchi tunasafari ndefu sana. Sijapata kucheza mpira katika ngazi ya ligi kuu ila nimecheza mpira katika academy (FOYSA) Pale Mbeya na ngaz ya wilaya so idea ya mpira ipo. Swali...
  8. python1

    Sifa ya mtuhumiwa ni Kukana; pata uchambuzi wa ile video ya Gwajiboy uchanganye na zako

    Hakuna video nyepesi kuverify Kama ile video Just 5min it will take to verify
  9. python1

    Kwa wanaosema biashara ya duka haina faida, soma hapa tafadhali

    Kwan unauza soda tu , kuna bidhaa Zaid ya 100 so kila bidhaa ikikupa ~250 una 25000 kwa siku cha msingi ni kujitaid kuweka bidhaa nyingi zaid ili mteja akija aruki
  10. python1

    Tutazeeka ma bachela aisee

    Wanawake wa kuoa wapo Ila tatizo unataka wanawake wa mlimani city,ambao unakuta tiyari ampendeza ,baba hao wapo kimaslai zaidi unakuta mpaka ampendeza vile ni investment kafanya kuvutia ww na ukatoa pesa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. python1

    Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

    Experienciar make perfecto, Sent using Jamii Forums mobile app
  12. python1

    WANAWAWAKE HAWA NI WAJINGA

    Anayemiliki simu ya kuanzia laki .... Halaf anasema hana mtaji wa kuanza ujasiliamali huyo nae ni ... Sent using Jamii Forums mobile app
  13. python1

    Netanyahu kumfuata Rais Magufuli Ikulu na deals kubwa kubwa

    Nasikitika like 5 zimesha jaaa
  14. python1

    Story: Kwanini Upo Single?!

    Nilijalibu kukaa na mwanamke mwezi mmoja tu dah! Kiukwel nilikonda 1.kodi ya meza kila asubuhi msimbazi ,kibato hakikidhi 2.SAA 2 niwe ndani ,kiukwel sio kuku
  15. python1

    Mama Kanumba asikitishwa na kitendo cha Lulu kutolewa jela. Asema "Siku zote maskini hana haki"

    Utasemaje mtoto chini ya 18 mcharuko,wakati jitu zima ndo lili mdanganya mtoto kwa pipi..
Back
Top Bottom