Search results

  1. Tman900

    Sababu ya watu kuogopa kutoa ushahidi kwenye baadhi ya matukio aliyo shuhudia live na wengine baadhi hukimbia kabisa

    Fanya ujinga Wote ktk Maisha yako, lakini sio kuwaeleza Polisi Taarifa ya Muarifu, Polisi WATANZANIA Ni Waajabu, Wakimpata mwalifu wanamwambia ukweli Wote kua we ndo umechomeshwa mpaka akamatwe. Pia kutoa ushirikiano kwa Polisi Ni kujitafutia shida.
  2. Tman900

    Ukweli wa dhati wa mwanadamu: Mume/Mke uliyenaye unaweza kuta wewe wala siyo chaguo lake

    Katika Dunia, kuna mengi ila mume/mke ulie nae, unaeza kuta katika ukweli wa ndani wa moyo wake wala wewe ulie nae sio chaguo lake, ila yuko na wewe ili mladi tu maisha yaende. Yaani unaeza kuta mwanaume/mwanamke yuko katika uhusiano lakini hisia zake na upendo wake wa dhati uko kwa mwingine...
  3. Tman900

    Kama hujajiandaa kuingia kwenye ndoa usiingiee kabisa

    Kwa Mtazamo wangu, Tafuta mtu wa kufanya nae mapenzi Ila sio mtu wa kuoa/Kuolewa au kuwekeza Hisia zako kwa kiwango kikubwa. Binadamu Ni kiumbe hatari Sana, pia tuondoe matarajio yaloliopitiriza, Kama unaitaji Mtoto Ni Bora kue tu mkataba wa kuzaa kila mtu ashike 50 Zake, Hika Swala la ndoa...
  4. Tman900

    Kwanini Mkuu wa Majeshi(JWTZ)anatokea Kamandi Moja tu, wakati tuna Kamandi Sita?

    Nimesoma nimepata Elimu kumbe ndo hivyooooo
  5. Tman900

    Kwanini Mkuu wa Majeshi(JWTZ)anatokea Kamandi Moja tu, wakati tuna Kamandi Sita?

    Umetisha sana, Ila Sasa mi huwa nawazaga mbali kwa Sisi tusiojua lolote, Maana mi hata mgambo Sijawai kwenda, Kwenda mstarini Shule ya msingi nilikua nao usumbufu mtupu. Haya Mambo ya Jeshi ndo sijui Chochote. Naona Yuniform za Jeshi, na sign/ wanazovaa mabegani sijui Hata maana yake... Hilo...
  6. Tman900

    Pesa wanayolipwa Polisi Trafiki na wafanyakazi wa TRA haiendani na maisha yao

    Sahii ndugu Yangu huwa nawaza, Ninavyo angaika, kutafuta Ridhiki Hawa jamaa wanazipata Pesa kila sekunde Biashara isiyo na mtaji
  7. Tman900

    Pesa wanayolipwa Polisi Trafiki na wafanyakazi wa TRA haiendani na maisha yao

    Nataman ningekua Traffic/Polisi / Tra , bishara isiyo na mtaji.
  8. Tman900

    Pesa wanayolipwa Polisi Trafiki na wafanyakazi wa TRA haiendani na maisha yao

    Hawa watu wanaofanya kazi ktk hizo sekta Mara kwa Mara huwa nakutana nao. Ila kinachonishangaza kwao, kwa pesa wanazopata ukiondoa mishahara wanayolipwa hawa jamaa, wanapata pesa nyingi sana. Sasa maendeleo Yao na Pesa wanazopata haviendani, pia usiombe ukutanenao ukiwa na mzigo, kweli...
  9. Tman900

    Kama hujajiandaa kuingia kwenye ndoa usiingiee kabisa

    Hii Kawaida Sana, % kubwa ya Wanawake walio katika ndoa bado Wana mawasiliano na X wao, au ndugu wa X wake. Hili Jambo nimelisikia Mara Nyingi kwa Watu. Mpaka Hapa Ofisini kwangu, kijana wangu mmoja aliwaikusema. Pia mi Hilo Jambo limenikuta Mwaka Jana.
  10. Tman900

    Mali, Pesa na Nyumba. Vya (Baba & Mama/ Mke)

    Asante ndugu kwa ushauri mzuri Sana
  11. Tman900

    Mali, Pesa na Nyumba. Vya (Baba & Mama/ Mke)

    Nashukuru kwa mchango wako, wazo la mtu Yeyote linapaswa kusikilizwa na kulitafakari.
  12. Tman900

    Mali, Pesa na Nyumba. Vya (Baba & Mama/ Mke)

    Nashukuru kwa mchango wako,
  13. Tman900

    Mali, Pesa na Nyumba. Vya (Baba & Mama/ Mke)

    Asante kwa kunisamehe.
  14. Tman900

    Mali, Pesa na Nyumba. Vya (Baba & Mama/ Mke)

    Oooh so sorry.... Kumbe ni madam, mazoea ndugu vijana napenda kuwaifa Kaka.
  15. Tman900

    Mali, Pesa na Nyumba. Vya (Baba & Mama/ Mke)

    Sija elewa umemaanisha nini.
  16. Tman900

    Mali, Pesa na Nyumba. Vya (Baba & Mama/ Mke)

    Mmmh ndugu Hapana. Nina sali Mungu aniepushe mapepo,naimani ananilinda.
  17. Tman900

    Mali, Pesa na Nyumba. Vya (Baba & Mama/ Mke)

    😂😂😂 Umetisha Kaka utapata.
  18. Tman900

    Mali, Pesa na Nyumba. Vya (Baba & Mama/ Mke)

    Asante kwa ushauri wako, naufanyia kazi.
  19. Tman900

    Mali, Pesa na Nyumba. Vya (Baba & Mama/ Mke)

    Poa, Ndugu Yangu Uko sahihi mzee baba.
  20. Tman900

    Mali, Pesa na Nyumba. Vya (Baba & Mama/ Mke)

    Haaaaaa. umenifurahisha... Kweli kila mwanadamu na Moyo wake.
Back
Top Bottom