Search results

  1. J

    Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

    kama ni jr yuko sahihi
  2. J

    Tafadhali Magufuli: Matatizo Haya Mengine Mnajitakia Bure

    kwakweli bongo bado sana yaani 1.5T hazijulikani zilipo alafu wabunge wanapiga makofi na kushangilia ???.hasira kabisa
  3. J

    Umegundua nini kwenye hizi picha za Makamu wa Rais akiwa kwenye ziara mjini Magharibi?

    mimi binafsi huyu mama we acha tu namuona kama mama yangu.popote alipo nipelekee heshima yake huyu mama mzazi namkubali sana na inawezekana ndo pekee ananyota ya kuibeba Tanzania .hana maneno ya kashfa,yakujikweza,ya hasira ni mtulivu sana .Mungu ampe nguvu na ulinzi wa kutosha Amen
  4. J

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Numbisa ni wa ukweli
  5. J

    UVCCM watoa onyo kwa waandamanaji. Wadai kusaidia Polisi kulinda amani

    makubwa yaani Police walemewe tena raia asiye na mafunzo ya kijeshi aokoe jahazi kweli?
  6. J

    Jicho la mwewe lamnanga Zitto ...yeye auchuna!

    je aliwahi kujiteka?
  7. J

    Hadi sasa madiwani waliohama CHADEMA ni 60

    wakihama kitatokea nn??
  8. J

    Nahitaji Mshamaba Bonde la Mto Pangani

    rekebisha kichwa cha habari
Back
Top Bottom