Search results

  1. Human Papiloma Virus

    Ushauri: Mke kakiri anachepuka. Nawaza adhabu ya kumpa ili iwe fundisho kwa wengine

    Wakuu salamu kwenu. Naandika uzi huu kifua kikiwaka moto kwa hasira. Iko hivi nina mke mwajiriwa, tumefunga ndoa na tuna watoto. Ni muda sasa tunaishi mbalimbali kiasi kutokana na inshu za kikazi. Ila siku za nyuma nilikua na utaratibu wa kutembelea familia (mke na watoto) na kupeana haki...
  2. Human Papiloma Virus

    Yamenikuta mwenzenu. Ushauri tafadhali

    Wakuu salam kwenu Poleni kwa Covid-19 Ngoja niwape mkasa niliona nao kwa sasa Mnamo mwaka jana mwezi wa 7 niliingia kwenye mahusiano na binti fulani ambaye kwa sasa ana miaka 19 Nimetoka na huyu binti tangu mwaka Jana hadi sasa ,ni mwanachuo ila kwa sasa keshamaliza yupo field Sasa hivi...
  3. Human Papiloma Virus

    Kiwanja kinauzwa Ilemela Mwanza

    Sifa zake:- Kimepimwa Ukubwa ni 20*24 Kipo hatua chache kutoka barabara kuu ya kuelekea mtaa wa kahama Huduma ya maji na umeme vipo jirani tu Kina msingi wa chumba 2 sebule,choo na bafu Kuna mchanga pia Hatua chache kutoka ofisi za manispaa ya Ilemela na ofisi za halmashauri ya wilaya Ilemela...
  4. Human Papiloma Virus

    Bodi ya mikopo(HESLB) Acheni roho mbaya, mshahara mdogo nao mnautolea macho

    Kama mada inavyojieleza Nlipata furaha sana baada ya kupata kazi shule flani private Japo salary sio kubwa sana ila kwa kiasi flani nliona itanivuta vuta Daaah ghafla nakutana na mlolongo wa makato ikiwemo 15% ya bodi Sawa degree ya kwanza nliisoma kwa mkopo lakini sijapata ajira ya hiyo...
  5. Human Papiloma Virus

    Msaada: Mnijuze bei ya gunia la mahindi

    Salaam wana uchumi Nina gunia zangu 10 za mahindi mkoani kigoma,nataka kuziuza wale wenye uzoefu wa biashara ya mazao mnijuze bei zimekaaje kwa wakati huu Asanteni
  6. Human Papiloma Virus

    Mji wa Morogoro na ongezeko la joto

    Amani iwe nanyi wanaJF Nimeishi Morogoro kwa miaka mi3 enzi hizo nasoma chuo kikuu Sokoine(SUA) miaka ile nikiri tu kwamba hali ya hewa ya morogoro mjini ilikua safi sana Hivi majuzi nimerudi tena Moro na ntakuwepo hapa kwa miezi kadhaa Kiukweli hali ya hewa ya sasa ya morogoro haina...
  7. Human Papiloma Virus

    Kina mama wenye nyumba acheni roho mbaya

    Wanajamvi salama, Hivi kwanini kina mama wengi ambao wanamiliki nyumba huwa wana roho mbaya, gubu na wabinafsi sana tofauti na kina baba. Unapanga kwake unamlipa kodi tena anakupangishia chumba cha nje humkeri kwa chochote lakini yeye anaamua tu kukubwatukia. Wamama shida ni nini mbona...
  8. Human Papiloma Virus

    Jiwe 'FATUMA' kazi yake ni kubomoa/kuvunja

    Nadhani wote mnafahamu kitu kinaitwa 'FATUMA' hili ni jiwe kubwa linalotumiwa na wezi,vibaka na majambazi kubomolea milango ya watu na kuiba Mali mbalimbali Sasa kimsingi huo huyu kiongozi anaejiita 'JIWE' Mimi namfananisha na lile jiwe 'FATUMA' matendo yake dhidi ya wananchi ni kama yale...
  9. Human Papiloma Virus

    Kauli hii ya huyu mwanamke sijaielewa, Ukija kwangu marufuku kunywa pombe!!!!!

    Salaam wa MMU Kuna kauli nimeambiwa na mzazi mwenzangu imenifanya niwaze Mara 2 2 Okey ngoja niende kwenye point Mimi naishi mbali na mzazi mwenzangu japo mikoa ni ya karibu karibu. Mimi napiga mishe mishe tu za town na kupata hela ya kula na kuishi mjini Mama mtoto wangu yeye ni mwajiriwa na...
  10. Human Papiloma Virus

    Kutoboa sikio zaidi ya tundu moja kuna maana gani?

    Salaam wakuu Mada yahusika Mara nyingi tumesikia kwamba wadada wengi wanaovaa cheni mguuni/ kuku ni kiashiria kwamba wanaliwa nyuma a.k.a tiGo a.k.a Kusukumwa tope Sasa katika mjadala flani nliona wadau wanasema Bora anaevaa kikuku kuliko Yule mdada anaetoboa sikio tundu zaidi ya moja na kuvaa...
Back
Top Bottom