Kutoboa sikio zaidi ya tundu moja kuna maana gani?

May 20, 2017
73
166
Salaam wakuu
Mada yahusika
Mara nyingi tumesikia kwamba wadada wengi wanaovaa cheni mguuni/ kuku ni kiashiria kwamba wanaliwa nyuma a.k.a tiGo a.k.a Kusukumwa tope

Sasa katika mjadala flani nliona wadau wanasema Bora anaevaa kikuku kuliko Yule mdada anaetoboa sikio tundu zaidi ya moja na kuvaa heleni
Ebu tuambiane kuvaa heleni zaidi ya tundu moja nako kuna maana gani chafu/mbaya??

Kuna wadada kadhaa nawaona sana wana aina hii ya utoboaji na ukiwaangalia wamekaa kiutata utata dizaini kama mashangingi
TUAMBIANE NA HII!
df6353d3a79da4b765278713ebab238c.jpg
 
Daaah huo ndio ugonjwa wangu.!! Mwanamke awe na matundu zaidi ya mawili sikioni, genye lazima ziniamke..!!
 
Salaam wakuu
Mada yahusika
Mara nyingi tumesikia kwamba wadada wengi wanaovaa cheni mguuni/ kuku ni kiashiria kwamba wanaliwa nyuma a.k.a tiGo a.k.a Kusukumwa tope

Sasa katika mjadala flani nliona wadau wanasema Bora anaevaa kikuku kuliko Yule mdada anaetoboa sikio tundu zaidi ya moja na kuvaa heleni
Ebu tuambiane kuvaa heleni zaidi ya tundu moja nako kuna maana gani chafu/mbaya??

Kuna wadada kadhaa nawaona sana wana aina hii ya utoboaji na ukiwaangalia wamekaa kiutata utata dizaini kama mashangingi
TUAMBIANE NA HII!
df6353d3a79da4b765278713ebab238c.jpg
Nyie kila kitu mnatafsiri ujinga kwani ww unajua ni maana gani kutoboa masikio hvyo??...huo ni urembo kama urembo mwngne hata hvyo vikuku ni urembo tu maana wapo wanaoliwa tigo na hawavai na wanaovaa vikuku hawaliwi hizo tigo mxieew
 
Hao Wanawake Huwaga Very Slutty. I Love Em.
Kingbach Ktk Moja Ya Comedy Clip Yake Alipoona Demu Ana Piercing Akamuuliza "You Suck Di*k,Dont You??"
 
Urembo tu Hamna Maana mbaya yeyote. Hata wanao vaa vikuku ni urembo tu,si kingine
 
Km yote hayo ya kuvaa vikukuku na kutoboa sikio zaidi ya mara moja ni urembo tu

Basi hata kuvaa vimini ni urembo tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom