Search results

  1. G

    Vyama vya upinzani Tanzania kiukweli, vimeacha kutetea haki na maslahi ya watu wanyonge

    Vyama vya upinzani Tanzania kiukweli vimelala sana , vimeacha kutetea haki na maslahi ya watu wanyonge kama vile: .Ajira kwa vijana .Ongezeko la mishahara kwa watumishi wa umma. .Mikopo ya wanafunzi vyuo vikuu Wao wapo tu wanatu hadaa wananchi , kwa hali hii ya wapinzani wa Tanzania walivyo bora...
  2. G

    Serikali ya awamu ya tano toeni ajira mpya za walimu

    Jamani hivi inawezekanaje serikali inawaambia watu watume maombi ya kazi halafu hawatoi? vijana tulituma application Dodoma mwezi wa 8 lakini hadi saizi mwezi wa 12 hamna kitu, tunaiomba serikali kupitia kwa wizara husika itoe ajir za walimu walio omba mwezi wa 8.
  3. G

    Lini MOE watatoa ajira za walimu walizo tangaza mwezi wa 8?

    Jamani habari za muda huu? Naiomba Wizara ya Elimu watuambie basi lini watatoa ajira za walimu walizotangaza nafasi zake mwezi wa 8. Vijana tunazisubiri sana tunaomba wizara husika itufikirie. BORA WATOE MAJINA ELIGIBLE ILI WENGINE TUJUE NINI CHA KUFANYA. Kwani hata kama nafasi zilikuwa...
  4. G

    Naombi msaada wenu jamani wa kufundisha economics ,geography

    Naombeni mnijulishe kama kuna sehemu wanahitaji mwl wa economics & geography mwenzenu huku mambo magumu jaman , ninaombeni mnisaidie nipate ajira na mimi angalau niweze kumudu changamoto za maisha .Email yangu ni yusuphalexanda@gmail.Com Naombeni mwenye nia ya dhati anisaidie.
  5. G

    Pongezi kubwa kwa mheshimiwa Rais.

    Mh; Raisi napenda kutoa pongezi nyingi kwako , kwa kurejesha nidhamu ya kazi , kuboresha elimu , huduma za afya na kuendelea kuimalisha uchumi wa Tanzania. Hongera sana raisi wetu vijana wengi tuko nyuma yako tunakusuport na wala hatuta kuangusha katika harakati za kuikomboa Tanzania...
  6. G

    Mwenye sillabus ya commerce(soft copy) naomba anisaidie

    Kwa yeyote mwenye sillabus ya commerce(soft copy) naomba anisaidie jamani. Ahsanteni sana na Mungu awabariki.
  7. G

    Vigezo vya ajira za serikali(walimu 2017)

    Jaman eti kama uli risiti serikali form four au form six serikari hawakuajiri kwenye ajira za walimu please naomba mwenye uhakika atujuze sisi.
Back
Top Bottom