Goodhope12
Member
- May 15, 2017
- 24
- 16
Naombeni mnijulishe kama kuna sehemu wanahitaji mwl wa economics & geography mwenzenu huku mambo magumu jaman , ninaombeni mnisaidie nipate ajira na mimi angalau niweze kumudu changamoto za maisha .Email yangu ni yusuphalexanda@gmail.Com
Naombeni mwenye nia ya dhati anisaidie.
Naombeni mwenye nia ya dhati anisaidie.