Serikali ya awamu ya tano toeni ajira mpya za walimu

Goodhope12

Member
May 15, 2017
24
16
Jamani hivi inawezekanaje serikali inawaambia watu watume maombi ya kazi halafu hawatoi?
vijana tulituma application Dodoma mwezi wa 8 lakini hadi saizi mwezi wa 12 hamna kitu, tunaiomba serikali kupitia kwa wizara husika itoe ajir za walimu walio omba mwezi wa 8.
 
Mkuu unaomba kibabe sana ebu nyenyekea bwana labda mkulu atakunjua moyo .
 
Jamani hivi inawezekanaje serikali inawaambia watu watume maombi ya kazi halafu hawatoi?
vijana tulituma application Dodoma mwezi wa 8 lakini hadi saizi mwezi wa 12 hamna kitu, tunaiomba serikali kupitia kwa wizara husika itoe ajir za walimu walio omba mwezi wa 8.

haitoi sasa, amua!
 
Jiajiri wewe acha kulialia mbona Mimi na hiyo degree ya education nshatupia kwenye dustbin .
 
Fedha za kuwalipa ndizo hizo zipo bize kununua wabunge wa upinzani kwa fujo. Kipaumbele ni sio walimu bali kutia hadaa kwa jamii kuwa "yeye anakubalika" kuliko hata aliyemuumba. Poleni sana walimu katika awamu hii ya viwanda bila kuzingatia mapinduzi ya kilimo.
 
Subil mwez huu uonee ..ndo urudi kuvadanga humu...ajira zipoo mkuu
 
Mpaka sasa unasubiria hizi ajira tumbua tumbua....yaan unasubir mwenzako afukuzwe kaz upewe ajira.....dah
 
Jamani hivi inawezekanaje serikali inawaambia watu watume maombi ya kazi halafu hawatoi?
vijana tulituma application Dodoma mwezi wa 8 lakini hadi saizi mwezi wa 12 hamna kitu, tunaiomba serikali kupitia kwa wizara husika itoe ajir za walimu walio omba mwezi wa 8.

Endelea kupambanana na hali yako hatuna pesa ya kukulipa mshahara...........Pesa tumetumia bila ya idhini ya bunge kujenga sebure zetu kule kijijini kwetu.
 
Daaah Sie walimu wa masomo ya sanaa kama kweli serikali haituitaji kwanini inatusomesha kwa kutupa mikopo hata sasa wapo wanafunzi vyuoni wanaendelea kusomeshwa na mikopo wanapata watu mnaodeal na hizi taasisi bado kuna uzembe mwingi
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom