Goodhope12
Member
- May 15, 2017
- 24
- 16
Mh; Raisi napenda kutoa pongezi nyingi kwako , kwa kurejesha nidhamu ya kazi , kuboresha elimu , huduma za afya na kuendelea kuimalisha uchumi wa Tanzania.
Hongera sana raisi wetu vijana wengi tuko nyuma yako tunakusuport na wala hatuta kuangusha katika harakati za kuikomboa Tanzania kiuchumi, kijamii na kisiasa.
Nimefurahishwa sana na haya yafuatayo:
-Ununuzi wa ndege
-Ukarabati na maboresho ya barabara
-Sakata la vyeti feki
-Elimu bure
Na mengine mengi kama ulivyo tangaza kuwa unatarajia kutoa ajira 52000 mwezi wa saba hakika sisi vijana tunakupenda sana raisi wetu Mungu akujalie afya bora na miaka mingi ya kuishi hapa duniani.