Love is a beautiful thing we must not take it for granted. Tokea kipindi tumeanza kujitambua kwa jinsia zetu wote tumepitia mambo mengi sana katika mahusiano. Na kwa vile hatujui ni lini pumzi yetu itafika mwisho basi ni vyema tukatenga muda kwa ajili ya kuomba msamaha na kutubu kutokana na...

Salamu zangu za kipekee na dhati kabisa ziwafikie popote pale mlipo: Kwa miaka tofauti tofauti kadhaa iliyopita tulipata nafasi ya kukaa ndani ya chumba cha mtihani kwa pamoja tukiwa tunakabiliana na mitihani tofauti ya kitaifa na Mwenyezi akajalia mitihani ile ikaenda salama bila dosari ya aina...

Kwa miaka mingi sana nchi ya Tanzania imekuwa ikisumbuliwa na maadui wakubwa watatu ambao ni ujinga, maradhi na umasikini na miaka ya karibuni wameongezeka maadui wengine kama rushwa na ufisadi. Ukifuatilia kwa undani sana utaona kuna baadhi ya vijana wengi wasomi na wasio wasomi wakiongozwa na...
Kiufupi nianze tu kwa kusema watu wengi sio waumini saaaana wa aina ya muziki anaoufanya msanii Lavalava. Kwa muda mrefu sasa style yake ya uimbaji imekuwa haiendani kabisa na aina ya muziki unaofanywa na wasanii wenzie walio katika record label moja. Katika tamasha kubwa la burudani la Wasafi...
Nimeisikiliza hii kauli ya IGP imeniachia maswali mengi bila majibu. Kama imefikia pahala mpaka tunafikiria ulinzi wa raia na mali zao kwa njia ya kuviziana basi tuna safari kubwa sana ya kuifikia nchi ya ahadi.
Tangu kuisha kwa uchaguzi mkuu wa raisi, wabunge na madiwani mwaka 2015 sijamsikia tena huyu jamaa. Sijui yuko wapi na anafanya mchakato gani, mwenye kujua zaidi naomba anijuze
KUSOMA NI KUISHI
Maisha ya kila binadamu yeyote yanategemea na namna siku yake inavyoisha. Mwanafunzi wa Tanzania anahitaji takribani miaka 23 hadi 28 ya kukaa darasani ili kuweza kuhitimu masomo yake ya kuanzia nursery hadi shahada ya kwanza (Degree/Bachelor). Sishangazwi na uwingi wa miaka...
Maisha hutupa changamoto ili kupima ujasiri na utayari wetu wa kubadilika, katika muda huo hakuna nafasi ya kujifanya kwamba hakuna linalotokea au kusema hauko tayari kuipokea changamoto hiyo. Elewa kuwa maisha hayaangalii nyuma na changamoto hazihitaji utayari wako. Wiki moja ni zaidi ya muda...
Maisha hutupa changamoto ili kupima ujasiri na utayari wetu wa kubadilika, katika muda huo hakuna nafasi ya kujifanya kwamba hakuna linalotokea au kusema hauko tayari kuipokea changamoto hiyo. Elewa kuwa maisha hayaangalii nyuma na changamoto hazihitaji utayari wako. Wiki moja ni zaidi ya muda...
Kwa miaka mingi sana nchi ya Tanzania imekuwa ikisumbuliwa na maadui wakubwa watatu ambao ni ujinga, maradhi na umasikini na miaka ya karibuni wameongezeka maadui wengine kama rushwa na ufisadi. Ukifuatilia kwa undani sana utaona kuna baadhi ya vijana wengi wasomi na wasio wasomi wakiongozwa na...
Kwa miaka mingi sana nchi ya Tanzania imekuwa ikisumbuliwa na maadui wakubwa watatu ambao ni ujinga, maradhi na umasikini na miaka ya karibuni wameongezeka maadui wengine kama rushwa na ufisadi. Ukifuatilia kwa undani sana utaona kuna baadhi ya vijana wengi wasomi na wasio wasomi wakiongozwa na...
Kwa miaka mingi sana nchi ya Tanzania imekuwa ikisumbuliwa na maadui wakubwa watatu ambao ni ujinga, maradhi na umasikini na miaka ya karibuni wameongezeka maadui wengine kama rushwa na ufisadi.
Ukifuatilia kwa undani sana utaona kuna baadhi ya vijana wengi wasomi na wasio wasomi wakiongozwa...
Maisha hutupa changamoto ili kupima ujasiri na utayari wetu wa kubadilika, katika muda huo hakuna nafasi ya kujifanya kwamba hakuna linalotokea au kusema hauko tayari kuipokea changamoto hiyo. Elewa kuwa maisha hayaangalii nyuma na changamoto hazihitaji utayari wako. Wiki moja ni zaidi ya muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.