Personal develpment

Emmaloy

JF-Expert Member
May 14, 2017
216
229
Maisha hutupa changamoto ili kupima ujasiri na utayari wetu wa kubadilika, katika muda huo hakuna nafasi ya kujifanya kwamba hakuna linalotokea au kusema hauko tayari kuipokea changamoto hiyo. Elewa kuwa maisha hayaangalii nyuma na changamoto hazihitaji utayari wako. Wiki moja ni zaidi ya muda wa kutosha tunaohitaji ili kuamua kama tunakubali kuupanga mwisho wetu au la. Amini katika kutenda juhudi na kuzibadili ndoto zako kuwa kweli.

Katika maisha kujaribu hakuna mwisho, endelea kujaribu ipo siku utabadilisha ndoto na maono yako kuwa kweli..ABILITY TO TRANSLATE VISIONS AND DREAMS INTO REALITY.

MWISHO...Napenda kuwashukuru na kuwaombea mema wale wote mliokuwa nami bega kwa bega katika kuhakikisha naandaa kesho yangu iliyo bora na mkanisaidia kwa namna moja ama nyingine katika kuzikubali changamoto na kuzitatua then nikasonga mbele..Pia walioniwezesha mpaka hapa nilipofika MUNGU awabariki na kuwalinda na pia awaongoze muwe na moyo huohuo wa kujituma, nawaombea uhai kwa sala safi na njema.

Emmaloy..✍✍

2017...FUTURE NI LEO USINGOJE FUTURE NYINGINE..
 
Back
Top Bottom