Search results

  1. M

    Vitabu vya international finance & financial report

    Ndugu! wadau nahitaji vitabu (study material) ya FR & IF kwa maandalizi ya Mitihani ya NBAA May 2014. kwa yeyoyete anaefahamu ntapataje tafadhali nijulishe.
  2. M

    Umuhimu wa bunge

    je kuna umuhimu wa kuendelea kuwa na wabunge tulionao sasa hapa Tanzania? je wabunge tulionao wanauwezo gani wa kujadili bajeti zilizoandaliwa na wataalam?
  3. M

    Gesi tumboni

    jamani madaktari na wataalam wa magonjwa ya tumbo tunaomba msaada, mimi tatizo la gesi linanisumbua sana na nikishiriki tendo kesho yake tumbo la gesi linanisumbua sana.
  4. M

    Wanaume hawapendi Mwanamke Kulalamika

    Kweli kabisa mdau! mimi binafsi sipendi kusikia lalamishi hizi za kike na mara nyingi hazina maana kwani wanatumia kama nyia za kutoa shida zao badala ya kusema na kujadili kwa njia ya kawaida. mara nyingi naona bora niende mbali na mazingira ya lalamishi, kwani yana yanapunguza mapumziko na...
  5. M

    Ni ndugu au rafiki?

    Huyo mkeo ni rafiki tu.. kwani wakati wa safari ya mahusiano ulipoanza ulikuwa unataka awe rafikiyo au nduguyo. pili, undugu hauombwi lakini wakati unaingia katika uhusiano naye ulikuwa unaomba akukubali muwe pamoja, umeenda kuonga kwao mahari na baada ya kukubaliwa mkasheherekea kwamba...
  6. M

    Tido Mhando aula Al Jazeeera

    Nampenda huyu braza baba, anapenda maendeleo Let him be men!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  7. M

    Aliyebuni mashambulizi ya Augusti 7, 1998 Dar na Nairobi auawa!?

    bado Bush na Obama kwani nao watu hatarius bana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  8. M

    DSTV wanalipa Kodi?

    Kama ni kweli hawatoi risiti zenye TIN AU VRN basi Tz ni jumba la makumbusho ambalo halina geti kwani wanatakiwa walipe Repatriated Income tax, kinyume na hapo ni tatizo la viongozi mbumbumbu na wababaishaji wanaojali matumbo yao tu. Ndo maana kila mwaka bajeti inategemea TBL, wanashindwa...
  9. M

    Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

    Hawa wanawake wana ujasiri kuliko kawaida hivyo wanajichanganya katika mambo ya uzalishaji na biashara sana, ila pia wengi wenu ni walevi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! na wanapenda mambo ya tulikotoka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  10. M

    Mtoto Umleavyo ndivyo akuavyo!

    Huyo binti cio wa kuolewa, Hajui hata haki zake za msingi hapa duniani!!!!!!!!!! wazazi hawawez kumfundisha kuh swala hilo watu wang, kwan mbuz, paka, mbwa wamejuaje?????!!!!!!!!!!!!!!!
  11. M

    Mbona Mwisho wa Dunia Bado!

    Nadhani walikuwa na safari zao za kuzunguka dunia wakapanga waitamaliza 21 May. :mod: mbona baa zimejaza hadi sasa......bana achana nao wamechoka kuishi haoooooooooo...........
  12. M

    Nchi imeuzwa au viongozi wamelala?

    Watanzania najua nikiwauliza hamjambo jibu ni lile lile hatakama mmeshinda njaa. JF members na Watanzania wenzangu tunayo mapungufu lakini kama wapo watanzania wanaotaka kusaidia watoke pale walipo basi tufanye hivyo, na kuwasaidia ni watu kama wewe mwenye mamlaka, na hapa hatumaanishi...
Back
Top Bottom