Search results

  1. Eiyer

    The Doomed flight: Boeing 777 [MH370] Malaysia Airlines

    Kutokana na maombi ya baadhi ya wanachama wa Jamii Forums waliokuja PM kuniomba niandike kile ambacho ninakifahamu kuhusiana na kupotea kunakostaajabisha kwa dege la shirika la ndege la Malaysia,leo nimeamua niandike machache kuhusu ndege hii na namna ilivyopotea katikati ya rada chungu nzima za...
  2. Eiyer

    Insane coincidence: Futility and Titanic

    INSANE COINCIDENCE TITAN:TITANIC Duniani kuna mambo ya ajabu sana,pengine huwezi hata kufikirikama yanaweza kutokea lakini yapo.Kwa wale ambao hawajui au hawaelewi wanaweza kukataa na kubisha sana lakini hiyo haiondoi ukweli wenyewe.Sote tunafahamu kwamba kuna matukio hujirudia na hii...
  3. Eiyer

    Kuiper Belt: Behind the certain

    KUIPER BELT Kadiri tunavyoendelea kuwepo kwenye dunia hii tunaendelea kupata kujua mengi sana kuhusiana na mazingira yetu na yale yote ambayo yanatuzunguka.Ukiacha maswali mengi ambayo binadamu ameshindwa kupata majibu yake bado binadamu huyu ameendelea kupata kujua mengi tu ambayo yanashangaza...
  4. Eiyer

    DNA & hobbies

    Wakuu habarini za wakati huu, Kuna swali ambalo nimekuwa najiuliza sana na nimekosa jibu na hili nadhani naweza kupata jibu hapa kwenu wakuu maana hapa hakuna kinachoweza kuharibika. Kimsingi nina maswali mawili... 1; Hili la kwanza ni kuhusu DNA [vinasaba] Binadamu tunarithi vinasaba hivi...
  5. Eiyer

    Ubinafsi ndio unaowafanya watu wanaoana

    Kila mmoja wetu ameshawahi kusiki kuwa mtu fulani anamuoa/olea na mwingine kwa madai kuwa wanapendana au anampenda huyo anaeingia nae kwenye ndoa,madai haya yapo na huenda hata wewe unafikiri hivyo hivyo. Leo nataka nikupe ushahidi kuwa sio kweli kuwa watu wanaoana kwasababu ya kupendana au...
  6. Eiyer

    Ni kweli Mungu hana Upendo? Au sisi tu ndio hatumuelewi!?

    Kuna madai ambayo yameshakuwa yakitolewa hapa na watu mbali mbali na pia nje ya hapa kuna madai ya aina hiyo ambayo yamekuwa yakitolewa na watu mbali mbali wakimkosoa Mungu kwamba hana Upendo, japokuwa wanaodai hivyo wamekuwa hawasemi ni wapi wanaupata upendo na ni kwa namna gani wanaweza hata...
  7. Eiyer

    Watu wema na vifo vya mapema

    Wakuu, Leo hebu tuendelee kutazama dhana mbali mbali ambazo zipo kwenye jamii yetu kama zina ukweli ili tuone kama tunaweza kujifunza kupitia hizo Wakati napata akili kuna mambo mengi sana niliyakuta kwenye jamii yangu na mengine niliyasikia kutoka jamii nyingine,mengine nimekuja...
  8. Eiyer

    Apple icon na dhana inayoleta maswali

    Kuna mambo ambayo yanatokea humu duniani ambayo yanamfanya mtu yoyote yule ajiulize maswali mengi bila kupata majibu,kuna zile habari za vyama vya siri ambazo leo zinaonekana kama ngano kwa baadhi ya watu na kwa wengine zikiwa kama ni mambo ambayo yana uhalisia wake Nimekuwa nikijiuliza sana...
  9. Eiyer

    Sayansi na uchawi !

    Kuna mambo yanatokea huku duniani na pia tunaambiwa kuna watu wanafanya utafiti kuhusu mambo mbali mbali, najiuliza hivi kuna maeneo maalum tu ya kufanyia utafiti au ni kila eneo? Nauliza swali hilo kwa sababu kuna mambo ambayo yanatokea huku mtaani ambayo yanatia mashaka kabisa kuwa hiki...
  10. Eiyer

    Tukio hili linaweza kuwa ushahidi kwamba tukifa tunarudi duniani kwa miili mingine??

    Mtoto mmoja wa kiume huko India aliwahi kuwaacha hoi wazazi wake baada ya kuanza kudai aliwahi kuishi kabla ya kizaliwa Mtoto huyo wa kiume, Taranjijt Singh anasema aliwahi kuishi miaka michache nyuma, ambapo alifariki kwa ajali ya pikipiki akiwa bado mdogo. Mtoto huyo akiwa na umri wa...
  11. Eiyer

    Uhusiano wa namba hizi na majini,Shetani ....

    Wakuu, Sina kawaida ya kudharau jambo hata kama linaonekana ni la kijinga na nimeshapata faida kubwa kutokana na mtazamo wangu huu,nimeshafanikiwa kwenye mambo mengi ambayo watu waliyaona ni ya kijinga na wengine walijifunza kupitia hili Leo naomba niwashirikishe jambo hili ambalo ni mewauliza...
  12. Eiyer

    Rabi Leo Baeck ni nani kwa Israel?

    Wakuu ... Nimekuwa ni mfuatiliaji wa mambo kadhaa hapa ulimwenguni tangu siku moja nilipopewa jarida moja la habari na kukuta taarifa inayomhusu binadamu mmoja anaeitwa Rabi Leo Baeck ... Jaria lile lilikuwa linasema mengi sana kuhusu kazi za huyu binadamu na mambo yake mengine mengi...
  13. Eiyer

    Pole sana dada

    Tukio lililotokea siku sio nyingi huko Uganda na kusambaa kutokana na maendeleo ya mawasiliano limewastua wengi hasa wanawake kwakuwa ni wazazi,lakini hata wanaume nao limewastua sana na kupelekea kuanza kuwa na hofu kuhusu usalama wa watoto wao ambao wanalelewa na hawa ma housegirl. Tukio hili...
  14. Eiyer

    Hivi hawa nao wanaitwaje?

    Nimekuwa najiuliza sana hili swali na sijafanikiwa kupata majibu. Inawezekana jibu lipo lakini sijalijua tu. Wanawake ambao wanajiuza wana majina yao,kama mahakaba,wauzaji,n.k. Wanawake ambao wako huku uswazi na wanabadilisha wanaume sana nao wana majina yao,wanaitwa vichehe,malaya,n.k...
  15. Eiyer

    Vyuo vya Kisabato na degree ya sheria

    Wakuu, Jana nilijuwa na jamaa zangu na niliwauliza kuhusu chuo kizuri cha sheria kwakuwa kuna jamaa yangu anahitaji Katika mazungumzo hayo kuna jamaa alitaja chuo kimoja cha kisabato ndipo jamaa yetu akasema kuwa vyuo vya kisabato havitoi degree hiyo kwasababu ya kidini,nilishangaa Bahati...
  16. Eiyer

    "Sina hamu tena na wanaume"

    Kwenye maisha kila mara huwa kuna mambo ambayo huja na huwa sio yale ambayo tumeyatarajia,yanapokuja haya kutuvunja moyo sana na wakati mwingine huona maisha kama hayana maana kabisa ..... Kuna mengi sana ambayo yanatokea kwenye maisha yetu ambayo ni ya kuumiza sana,kuna jambo moja kubwa sana...
  17. Eiyer

    Maumivu na raha ya kukataliwa

    Maisha bana yana raha yake na karaha zake, kwenye ujana nako kuna mambo haya pia. Leo nimekutana na mtu ambae alinisababisha nikakumbuka mbali sana,nimekutana na binti mmoja ambae alinipa "wehu sana" miaka hiyo ya 2000. Binti huyu nilimpenda" sana, wakati huo nilikuwa mwoga kiasi kwa wadada...
  18. Eiyer

    "Tumeshaona nyingi"......

    Wakati nilipokuwa na umri mdogo kule kijijini nilikuwa nimezoea mara nyingi sana wakati tukiwa kwenye harakati za shambani au kutafuta kuni huku nikiwa na baba na vijana wengine wakubwa,walipokuwa wanajisaidia haja ndogo halafu akatokea mwanamke au binti hurudi kwa kasi sana kule alikotoka ili...
  19. Eiyer

    I miss you mom

    Nakukumbuka sana mama yangu. Simzunguzii yule mama ambae alichindwa kujua jukumu lake abaada ya kuzaa na kulea kwa miaka michache kisha akamtelekeza mwanae Namzungumzia yule mama ambae nasikia watu wakimsema kuwa hawezi kulala mwanae akiwa hajalala Namzungumzia yule mama ambae watu wanasema...
  20. Eiyer

    Nakushukuru sana mama Rodney kwa kunisaidia,Mungu atakulipa huko uliko .....!!

    Kila mtu ana changamoto yake ambayo ameipitia,kila changamoto ni nzito kwa mhusika lakini kuwa nzito haina maana kuwa hakuna mlango wa kutokea Kuna watu wameshapata changamoto za aina mbali mbali na wamefikia hata kujiua lakini kuna wengine wamemudu na kuja kupata maisha yenye furaha tena baada...
Back
Top Bottom