"Sina hamu tena na wanaume"

"Sina hamu tena na wanaume"

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,920
Kwenye maisha kila mara huwa kuna mambo ambayo huja na huwa sio yale ambayo tumeyatarajia,yanapokuja haya kutuvunja moyo sana na wakati mwingine huona maisha kama hayana maana kabisa .....

Kuna mengi sana ambayo yanatokea kwenye maisha yetu ambayo ni ya kuumiza sana,kuna jambo moja kubwa sana hatujalijua kwenye haya ambayo yanatuumiza,kimsingi na kiuzoefu mara nyingi kama sio zote yale ambayo yanaumiza ndio yanakuwa na faida kubwa sana kwetu,lakini kwa kuwa tumekuwa tukiyaangalia kwa jic ho baya ndio maana tumeishia kuyachukia na kukosa kabisa yale mazuri ambayo ndio malengo makuu ya mambo hayo kutokea

Katika maeneo ya maisha ambayo mengi hutokea mojawapo wa eneo hilo ni mahusiano ya kimapenzi

Kwenye mahusiano ya kimapenzi maran yingi kuna kuumizana,kuumizana kunatokea pale ambapo mwenzako anapokuacha bila ridhaa yako au mwenzako anapokwenda kutoa au kufanya jambo ambalo kwa kanuni za mahusiano ambazo sio rasmi hakutakiwa kulifanya au kumfanyia mwingine menye jinsia kama yako

Matukio haya yanapotokea hapo ndipo tunafikia kufikiri mambo mengi sana hadi kufikia kuona maisha hayana maana,wengi ambao wanafikwa na hitimisho hili ni wanawake,nimejaribu kufanya utafiti mdogo ambapo nimejadiliana na mabinti wengi kidogo ambao wengi wao wameamua kukata tamaa na kufikia kusema mwanaume ni mnyama,wengine wanasema kuwa hawana hamu kabisa na wanaume

Wanawake wamekuwa wakiamini kuwa wao ndio wanaotendwa zaidi kuloko wao wanavyowatenda wanaume,hili wamekuwa wakijidanganya kila uchao na kujiona wao sio watendaji,hili ni kosa kubwa sana la kwanza,kama wangejua kuwa na wao ni waendaji wakubwa huenda wangebadilisha namna ya kulitazama jambo hili,sisemi kuwa wanaume hawatendi,hapana wanawatenda sana wanawake kwa kiwango kikubwa sana lakini kule kufikiri tu kuwa wao ndio wanaotendwa zaidi ni kosa

Kosa la pili ni kule kuamua kuwa hawana haja tena na wanaume,hili ni kosa kwasababu kukata tamaa ni kitendo kibaya sana kwa binadamu,halafu unapotendwa na kuamua kukata tamaa hii ina maana hutaki kukua,nasema haya kwasababu kuumia kupo kwingi sana kwenye maisha na kama kila ukiumizwa na kuamua kuachana na jambo ambalo limekuumiza utaacha mangapi?Hata wazazi wako uliwaumiza sana hapo mwanzo na hawakukukatia tamaa na waliendelea tu kukushauri na hatimae leo umekuwa binti mwenye kutegemewa na jamii inayokuzunguka

Kuumizwa na ukakataa kukua unakuwa unagoma kukua kwasababu kupitia kuumizwa kule utakuwa umejifunza kuwa unatakiwa uwe makini na sio kwen da tu na kuamini kila mtu ni malaika,ukijifunza kupitia hili utaweza kuja kuwa mtu makini sana baadae na utaweza kutengeneza uhusiano imara sana,chukulia mfano mtoto anapoota meno,kama ataamua kukub ali maumivu ya kuota meno yamuangushe angewezaje kuja kufurahia utamu wa nyam a baadae? Yale maumivu ya kuota meno yamekuja kuzaa utamu wa nyama na sasa anaufurahia

Kimsingi kuogopa na kughairi kuingia tena kwenye mahusiano ni utoto na kukataa kukua,amkeni akina dada na jifunzeni kujifunza kupitia maisha haya kwenye eneo hili la mahusiano,ikumbukwe kuwa sio kweli wanaume hawaumizwi na kufikia hitimisho la kutojihusisha na mahusiano,bali nao wamo ila kwa utafiti wangu nimeona kuwa wahanga wa jambo hili ni wanawake zaidi....

Muwe na w/end njema ........!!
 
Habari Baba paroko.
Ukiumizwa ukaweza kuinuka na kusonga mbele ni jambo jema sana na la faraja hasa kama huko mbele kukiwa na ahueni,ila kama kila unakoingia wewe ni maumivu tu unaweza uamue kutundika daruga tu maana maumivu ya kila siku badala ya kukua unajikuta unadumaa sasa.

Ahsante lakini kwa ushauri.
 
Njema ......

Kuna uongo mwingi sana tunajilisha na sijui ni kwanini tunaamua kuamini uongo ambao tunajilisha halafu yale ya wengine ambayo tunayasikia tunahitaji kuyahakikisha kabla ya kuyaamini

Nataka nikuambie kuwa hakuna jambo ambalo halina mwisho,unapoumizwa jua huko mbeleni kuna ahueni,hakuna kitu kama "kila nikiingia ni maumivu" kwasababu hakuna mtu ambae yeye alipata mabaya tu

Hakuna ambae mahusiano yake yote ni maumivu na kama yupo yeye mwenyewe ndio mwenye tatizo,nasema hivi kwasababu binadamu tunahusika kwa yale ambayo yanatutokea kwa kiwango kikubwa sana na bahati mbaya hatujui hili,unapopata majaribu yoyote yale kwenye maisha jua kuwa ni ya kawaida na kama sio ya kawaida kagua namna yako ya kufikiri,kagua sana kile ambacho unakiamini kuhusu jambo unaloanguka kila siku

Ukifanya ka uchunguzi utaona kuwa jambo ambalo unaanguka mara yingi utakuwa unalifikiria kwa njia hasi na hilo ni tatizo kwasababu hicho ndio chanzo ta tatizo la kuanguka au kupata mpenzi ambae anakuumiza kila siku

Haiwezekani wewe unawaza kila siku kuhusu mpenzi ambae sio mwaminifu,unawaza kuumizwa kila dakika halafu upate mpenzi ambae ni mwaminifu au ambae sio wa hovyo,ukikagua utakuja kuona kuwa sisi ndio wasababishi wa matatizo yetu mengi na mengine yanaletwa na asili

Haya yanayoletwa na asili mara nyingi hakuna namna ya kuyaepuka na mara nytin gi yana mwisho,kwamaana hiyo basi hakuna mtu ambae hatakuja kupata mtu mwaminifu na hili hutokea mara nyingi,yaani waaminifu hupita kwenye maisha ya kila mmoja wetu na sio mmoja

Hakuna haja ya kukata tamaa ......!!
 
Kwenye maisha kila mara huwa kuna mambo ambayo huja na huwa sio yale ambayo tumeyatarajia,yanapokuja haya kutuvunja moyo sana na wakati mwingine huona maisha kama hayana maana kabisa .....

Kuna mengi sana ambayo yanatokea kwenye maisha yetu ambayo ni ya kuumiza sana,kuna jambo moja kubwa sana hatujalijua kwenye haya ambayo yanatuumiza,kimsingi na kiuzoefu mara nyingi kama sio zote yale ambayo yanaumiza ndio yanakuwa na faida kubwa sana kwetu,lakini kwa kuwa tumekuwa tukiyaangalia kwa jic ho baya ndio maana tumeishia kuyachukia na kukosa kabisa yale mazuri ambayo ndio malengo makuu ya mambo hayo kutokea

Katika maeneo ya maisha ambayo mengi hutokea mojawapo wa eneo hilo ni mahusiano ya kimapenzi

Kwenye mahusiano ya kimapenzi maran yingi kuna kuumizana,kuumizana kunatokea pale ambapo mwenzako anapokuacha bila ridhaa yako au mwenzako anapokwenda kutoa au kufanya jambo ambalo kwa kanuni za mahusiano ambazo sio rasmi hakutakiwa kulifanya au kumfanyia mwingine menye jinsia kama yako

Matukio haya yanapotokea hapo ndipo tunafikia kufikiri mambo mengi sana hadi kufikia kuona maisha hayana maana,wengi ambao wanafikwa na hitimisho hili ni wanawake,nimejaribu kufanya utafiti mdogo ambapo nimejadiliana na mabinti wengi kidogo ambao wengi wao wameamua kukata tamaa na kufikia kusema mwanaume ni mnyama,wengine wanasema kuwa hawana hamu kabisa na wanaume

Wanawake wamekuwa wakiamini kuwa wao ndio wanaotendwa zaidi kuloko wao wanavyowatenda wanaume,hili wamekuwa wakijidanganya kila uchao na kujiona wao sio watendaji,hili ni kosa kubwa sana la kwanza,kama wangejua kuwa na wao ni waendaji wakubwa huenda wangebadilisha namna ya kulitazama jambo hili,sisemi kuwa wanaume hawatendi,hapana wanawatenda sana wanawake kwa kiwango kikubwa sana lakini kule kufikiri tu kuwa wao ndio wanaotendwa zaidi ni kosa

Kosa la pili ni kule kuamua kuwa hawana haja tena na wanaume,hili ni kosa kwasababu kukata tamaa ni kitendo kibaya sana kwa binadamu,halafu unapotendwa na kuamua kukata tamaa hii ina maana hutaki kukua,nasema haya kwasababu kuumia kupo kwingi sana kwenye maisha na kama kila ukiumizwa na kuamua kuachana na jambo ambalo limekuumiza utaacha mangapi?Hata wazazi wako uliwaumiza sana hapo mwanzo na hawakukukatia tamaa na waliendelea tu kukushauri na hatimae leo umekuwa binti mwenye kutegemewa na jamii inayokuzunguka

Kuumizwa na ukakataa kukua unakuwa unagoma kukua kwasababu kupitia kuumizwa kule utakuwa umejifunza kuwa unatakiwa uwe makini na sio kwen da tu na kuamini kila mtu ni malaika,ukijifunza kupitia hili utaweza kuja kuwa mtu makini sana baadae na utaweza kutengeneza uhusiano imara sana,chukulia mfano mtoto anapoota meno,kama ataamua kukub ali maumivu ya kuota meno yamuangushe angewezaje kuja kufurahia utamu wa nyam a baadae? Yale maumivu ya kuota meno yamekuja kuzaa utamu wa nyama na sasa anaufurahia

Kimsingi kuogopa na kughairi kuingia tena kwenye mahusiano ni utoto na kukataa kukua,amkeni akina dada na jifunzeni kujifunza kupitia maisha haya kwenye eneo hili la mahusiano,ikumbukwe kuwa sio kweli wanaume hawaumizwi na kufikia hitimisho la kutojihusisha na mahusiano,bali nao wamo ila kwa utafiti wangu nimeona kuwa wahanga wa jambo hili ni wanawake zaidi....

Muwe na w/end njema ........!!

Ahahaaaaaaa?
Utafit wako umefanyia nchi gan mkuu na matokeo yake yako wapi?
 
Matukio haya yanapotokea hapo ndipo tunafikia kufikiri mambo mengi sana hadi kufikia kuona maisha hayana maana,wengi ambao wanafikwa na hitimisho hili ni wanawake,nimejaribu kufanya utafiti mdogo ambapo nimejadiliana na mabinti wengi kidogo ambao wengi wao wameamua kukata tamaa na kufikia kusema mwanaume ni mnyama,wengine wanasema kuwa hawana hamu kabisa na wanaume

Mkuu Eiyer, umesema jambo la maana sana. Kwa mtazamo wangu nadhani inachangiwa na matumaini tofauti kwa wahusika na pia kukosekana subira katika mambo yao
 
Last edited by a moderator:
"You build on failure. You use it as a stepping stone. Don't dwell on what went wrong, just focus on what to do next."
Kutendwa kunaumiza mno, especially unapowaza kwamba fulani is no longer part of my life. Na mbaya zaidi ni pale unapotendwa, but still u can't let go of that person, you still love him/her afu yeye ndo hana habari na wewe kabisa uuh.
Mwisho wa siku ni kujikaza tu na kumshukuru Mungu kwa yote. Kama Mungu alikupangia huyo mtu awe wako basi ipo siku atarudi tu. Na kama hajakupangia kuwa wako, basi amini kuwa someone better will walk into your life. Sema tu "thanks, it was good having you, but now I know that I will find the good in goodbye". Just turn into your faith, and God will give you waves of grace to get through it. Maisha lazima yaendelea no matter what. Usijinyime haki yako ya kuwa na furaha kwa sababu fulani alikutenda tu, u deseve the best.
"What Doesn't Kill You Makes U Stronger"
 
Kwenye maisha kila mara huwa kuna mambo ambayo huja na huwa sio yale ambayo tumeyatarajia,yanapokuja haya kutuvunja moyo sana na wakati mwingine huona maisha kama hayana maana kabisa .....

Kuna mengi sana ambayo yanatokea kwenye maisha yetu ambayo ni ya kuumiza sana,kuna jambo moja kubwa sana hatujalijua kwenye haya ambayo yanatuumiza,kimsingi na kiuzoefu mara nyingi kama sio zote yale ambayo yanaumiza ndio yanakuwa na faida kubwa sana kwetu,lakini kwa kuwa tumekuwa tukiyaangalia kwa jic ho baya ndio maana tumeishia kuyachukia na kukosa kabisa yale mazuri ambayo ndio malengo makuu ya mambo hayo kutokea

Katika maeneo ya maisha ambayo mengi hutokea mojawapo wa eneo hilo ni mahusiano ya kimapenzi

Kwenye mahusiano ya kimapenzi maran yingi kuna kuumizana,kuumizana kunatokea pale ambapo mwenzako anapokuacha bila ridhaa yako au mwenzako anapokwenda kutoa au kufanya jambo ambalo kwa kanuni za mahusiano ambazo sio rasmi hakutakiwa kulifanya au kumfanyia mwingine menye jinsia kama yako

Matukio haya yanapotokea hapo ndipo tunafikia kufikiri mambo mengi sana hadi kufikia kuona maisha hayana maana,wengi ambao wanafikwa na hitimisho hili ni wanawake,nimejaribu kufanya utafiti mdogo ambapo nimejadiliana na mabinti wengi kidogo ambao wengi wao wameamua kukata tamaa na kufikia kusema mwanaume ni mnyama,wengine wanasema kuwa hawana hamu kabisa na wanaume

Wanawake wamekuwa wakiamini kuwa wao ndio wanaotendwa zaidi kuloko wao wanavyowatenda wanaume,hili wamekuwa wakijidanganya kila uchao na kujiona wao sio watendaji,hili ni kosa kubwa sana la kwanza,kama wangejua kuwa na wao ni waendaji wakubwa huenda wangebadilisha namna ya kulitazama jambo hili,sisemi kuwa wanaume hawatendi,hapana wanawatenda sana wanawake kwa kiwango kikubwa sana lakini kule kufikiri tu kuwa wao ndio wanaotendwa zaidi ni kosa

Kosa la pili ni kule kuamua kuwa hawana haja tena na wanaume,hili ni kosa kwasababu kukata tamaa ni kitendo kibaya sana kwa binadamu,halafu unapotendwa na kuamua kukata tamaa hii ina maana hutaki kukua,nasema haya kwasababu kuumia kupo kwingi sana kwenye maisha na kama kila ukiumizwa na kuamua kuachana na jambo ambalo limekuumiza utaacha mangapi?Hata wazazi wako uliwaumiza sana hapo mwanzo na hawakukukatia tamaa na waliendelea tu kukushauri na hatimae leo umekuwa binti mwenye kutegemewa na jamii inayokuzunguka

Kuumizwa na ukakataa kukua unakuwa unagoma kukua kwasababu kupitia kuumizwa kule utakuwa umejifunza kuwa unatakiwa uwe makini na sio kwen da tu na kuamini kila mtu ni malaika,ukijifunza kupitia hili utaweza kuja kuwa mtu makini sana baadae na utaweza kutengeneza uhusiano imara sana,chukulia mfano mtoto anapoota meno,kama ataamua kukub ali maumivu ya kuota meno yamuangushe angewezaje kuja kufurahia utamu wa nyam a baadae? Yale maumivu ya kuota meno yamekuja kuzaa utamu wa nyama na sasa anaufurahia

Kimsingi kuogopa na kughairi kuingia tena kwenye mahusiano ni utoto na kukataa kukua,amkeni akina dada na jifunzeni kujifunza kupitia maisha haya kwenye eneo hili la mahusiano,ikumbukwe kuwa sio kweli wanaume hawaumizwi na kufikia hitimisho la kutojihusisha na mahusiano,bali nao wamo ila kwa utafiti wangu nimeona kuwa wahanga wa jambo hili ni wanawake zaidi....

Muwe na w/end njema ........!!
if your not tested,you can not be promoted!...acha muda na mazingira yaamue
 
Ni kosa kubwa sana kutendwa na njemba/mrembo mmoja na kutaka kuwasusa njembas na warembo wote duniani.

unapenda njemba sana wewe?
 
Last edited by a moderator:
i use to say that quote a lot ''wanaume wote ni wabaya'' au ''sina au sina ham na wanaume'' ilinitesa but i have learned to love my haters and move on. and life if full of suprises
 
Congratulations...Yes life is full of surprises.

i use to say that quote a lot ''wanaume wote ni wabaya'' au ''sina au sina ham na wanaume'' ilinitesa but i have learned to love my haters and move on. and life is full of suprises
 
Back
Top Bottom