Search results

  1. mwasu1

    JF Hip-hop frestyle battle

    Washkaji wengi, mnarusha vess za maana Nyi niwakali hata sipingi, ila mm ni mkalisana Kila pambano mi mshindi, ndomana spendi kupambana Kjana nnae jiita dingi, na demu hataki kua mamaa Sisomi kusaka Mali, natKa kupunguza upuzi Na kila siku nasali, kitambo sijaanza juzi Mungu niepushe na...
  2. mwasu1

    Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie Waandamana kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar Makonda

    Heheheee ina furahisha sana bondia kapigwa kaamua kun'gataaaa.......bondia Maui ni yule akipigwa ana jifunza mbinu za mpinzani wake ili Mara nyingine asipigwe ,,,,,any way.....mi bola mnifukuze nchi tuuuu ila movie zipo mbele bongo ngonjela tu.......tena fast &furious 8 around the corner...
  3. mwasu1

    Kila nikisoma baada ya masaa 24 nasahau

    Jaribu kuelewa unapo soma usikariri...... yani ukisoma husianisha na real life ukishindwa ujue ulicho kisoma kipo for temporary kichwani kwako......na hii inapleka mtu kua na elimu alafu hajaa elimika....
  4. mwasu1

    Wanaume kiumbe kilichokuwa adimu kinaelekea kutoweka

    Haki sawa...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
  5. mwasu1

    Hongera kwa Wanawake wa Tanzania kwa kutovuta sigara hadharani

    Na tz inakuja.... .haki sawa na wao watavuta tu
  6. mwasu1

    Nina tatizo gani mimi? Napenda sana kuwa peke yangu

    Nakushauri acha hiyo tabia ......na bila shaka una vidonda vya tumbo au chembe ya moyo....nimesema hivo kwasababu.....
  7. mwasu1

    Jeshi la Polisi linamshikilia 'James Delicious' kwa amri ya Naibu Waziri Kigwangalla

    Mkuu siku hizi kuna vipimo so lazima utagundulika tu tena hao watu hawafai wanatuharibia taifa mpaka kwenye mitandao ya kijamii anajipost na tunaona kitu cha kawaida kwasababu tumesha zoea. ndo ushoga unavyo shamir taratibu nahii imeathiri hadi akili za baadhi ya wana jf wengine wanamtetea...
  8. mwasu1

    Vipaumbele vya bajeti mwaka wa fedha 2017/2018 vitabadilisha maisha ya Watanzania?

    Mi nalia tu na manunuzi ya ndege inayo tumiwa na watu wachache wenye kipato mkasahau mlisema mtakua pamoja na watu wa hali ya chini Wanapanda baiskeli kufata huduma za afya kisa barabara mbovu hazipitiki........hii ni tz
  9. mwasu1

    Siasa za Udahili: Muslim University of Morogoro

    Ina sikitisha sana kuona chuki na wivu wa maendeleo unafanyika wazi wazi......mtoa mada unajichumia dhambi za bure kwa kuongea uongo kwasababu zako binafsi.....yani kama umepata ujasiri ea kudanganya humu wana jf sipatiipicha watu unao ishi nao.....nasijui ulikua na lengo gani......
  10. mwasu1

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Kwa kukushauri.... punyeto huwa ina addict, pia katika binadamu huwezi kuwa addicted kwa vitu viwili lazima kimoja ndo itakua to the maximum.....kwahiyo kama unania ya kuacha punyeto itabidi uwe serious sana ile ukishakua addicted nayo ni ngumu kuacha kama yalivyo madawa ya kulevya......kwanza...
  11. mwasu1

    Joseph Kasheku (Musukuma): Kitambulisho cha askari yeyote ni bastola

    Na kitambulisho cha jambazi............? Mana wote wana risasi ila sio kitu nafkir walimu walio mfundisha watakua wameona zao lao
  12. mwasu1

    Rais Magufuli kwa hili yuko sawa, ITV jirekebisheni

    Ila makonda ndo mkweli yale ni majina take....?
  13. mwasu1

    Rais Magufuli kwa hili yuko sawa, ITV jirekebisheni

    Sasa unataka wasioneshe ili mfurahi.....tunajua na wewe ni mmoja ya wafata mkumbo hii serikali haipendi ukweli nape alisimamia kwenye ukweli katolewa....ITV wapo kwenye ukweli mnataka wakae kimya.....mnaambiwa atakae sema tz INA njaa unakamatwa.....
  14. mwasu1

    Mambo 10 usiyoyajua kuhusu mnyama Simba

    Kweli simba ni wapili ila wakwanza ni tiger hawa kwa mmoja mkubwa ana kilo takriban 423kg, pound 931 kwa lugha ya kitaalamu anaitwa (Panthera tigris ) wana patikana aiberia ndio largest kind of wild cat ila sio chui chui ni wa 3 sometime anaitwa Jaguar
  15. mwasu1

    Antony Diallo anena kuhusu yanayoendelea nchini

    Umeanza vizuri ila nilicho gundua na wewe ni mmoja ya watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiria.....umesema makonda alienda clouds kuangalia kama wana fichia madawa huko.......kwasababu huna uwezo mzuri wa kufikir na inawezekana una matatizo ya macho na kusikia hata kusoma pia...... Ngoja...
  16. mwasu1

    Harambeeee ya kutowaunga mkono wasanii wote wanaomuunga mkono Magufuli na Daudi Bashite

    Kweli wa tz tumejaa Chuki ume mshindwa bashite unataka uende kwa wAsanii.....ila yote sawa.....kinacho fata uanzishe na kampeni nyingine ya kuwachukia mashabiki zao.......
  17. mwasu1

    Natafuta kazi isio na elimu

    Kwa mm ntakushaur kama huna haraka ya maisha tafuta garage yeyote ya magar jifunze kutengeneza na kuhudumia magar then pigania upate lesen na ujue kuendesha gar after that tafuta dill la utingo katika magar ya mizigo Fanya kaz kwa hata 6 month kwa ufanisi lazima utapata connection ya watu...
  18. mwasu1

    Hivi Prof. Jay kwanini tu asiache muziki?

    Aache mziki yeye au wewe ndio uache kumsikiliza mana we sio shabiki wake.......acha mashabiki wake wa furahie wanacho kipenda...
  19. mwasu1

    Wizi wa millioni 70: Jinsi ya kumtrack mtu popote alipo na simu yake

    Alafu huku sio Facebook kwenye watoto wakudanganya hvo......we sema unataka maujuz ila usilete ujinga tunajishusha hadhi yetu wana jf maana huku wapo watu wenye akili zao nenda straight utasaidiwa........shubaaaaaaaaaaaaamit
Back
Top Bottom