Search results

  1. Gifted

    Haya maisha haya

    Naomi Mzima unatafuta mshahara wa 3000 so sad
  2. Gifted

    Out of nowhere kilimanjaro lager has taken over!

    Bia ya wachovu hiyo,acha kijisifia sana
  3. Gifted

    Mfungo wangu wa siku 40 bila ya kula chochote umekamilika

    Ukipata vidonda vya tumbo utamlaumu nani?
  4. Gifted

    Leo nimemuacha mpenzi wangu rasmi

    We mwachee tuu maana wakati mnatongozana ukutupa taarifa
  5. Gifted

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Washakua Wahuni me nilideposit toka tarehe 11 mpaka Leo Hela haijafika kwenye account yangu nikiwacheki wananiambia Nitumie email still mpaka Leo kimya ,kiujumla Hiyo Hela huipati tena
  6. Gifted

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimedeposit Hela 1xbet kupitia m pesa toka saa 6 mpka now haijafika shida iko wapi wakuu
  7. Gifted

    Mwendo Kasi Msimbazi ni mateso makubwa sana

    Nendeni mkadai pesa zenu mpande usafiri mwingne msiwe Kama wajinga
  8. Gifted

    Huyu shangazi amenichanganya akili, inabidi nizae naye

    Jitu zima unaomba ushauri wa ngono
  9. Gifted

    Baada ya malalamiko mengi Mkandarasi wa Reli ya SGR atangaza kufuta mpango wa kupunguza Wafanyakazi

    Mbona kama umeandika ili kueneza chuki dhidi ya wachagga na kampuni yao
  10. Gifted

    Miaka 8 bila kazi, tangu nimalize chuo kikuu

    Hiyo avatar ni wewe nini kuna ka binti kamenitumia kanasema ni yeye
  11. Gifted

    Ukarabati wa Uwanja wa Mkapa wafikia asilimia 95

    Utapeli mtupu amna lolote wajanja washapiga hela zao
  12. Gifted

    Fahamu mashirika ya ujasusi yenye uwezo mkubwa duniani

    Mtoa Mada umekurupuka akuna ulichoandika
  13. Gifted

    Mradi wa Mwendokasi Dar nunueni mabasi!

    Wote wanaopanda huo usafiri hamjielwi imagine umeshalipa Hela ya safari unakaa kituoni masaa 2 na mmetulia tuu kama mizigo
  14. Gifted

    Hv ni kweli kwa kwa waganga kuna dawa ya kumvuta mpenzi?

    Me naitaka ata kama in a madhara
  15. Gifted

    Hii EATV mbona ina wachambuzi wapuuzi hivi?

    Chambua kichwani mwako sasa haina haja ya kutuambia
Back
Top Bottom