Search results

  1. M

    Askofu Shao amfananisha Rais Magufuli na Robert Mugabe wa Zimbabwe... ataka watanzania tumuunge mkono!

    Hawa maaskofu sadaka zetu ndo zinawatia kiburi,wangekuwa wanapambana kutafuta hela wasingesema hayo madudu Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
  2. M

    KENYA: Raila Odinga(NASA) ajitoa kugombea urais wa Kenya uliokuwa ufanyike 26 Oktoba, 2017

    Aliposhindwa alienda mahakamani na akashinda kesi na uchaguzi ukaamuliwa urudiwe.Hilo ni jambo la kidemokrasia na nililipenda Kilichonichosha ni kitendo cha yeye kutangaza kujitoa kupitia media na kuitisha maandamano Najiuliza: +Sasa kama amejitoa si anabaki kuwa raia Wa kawaida , sasa...
  3. M

    Aliyekuwa diwani wa CHADEMA asema ndani ya CHADEMA kuna mgogoro, amuonya Mashinji viatu vya Slaa havimtoshi

    Nimemiss bando langu lililotumika kudownload hii video,duuuhhhh
  4. M

    Risasi za Lissu na majasusi wa Urusi nchini Montenegro

    Thread mbovu sana kuwahi kuisoma huku JF Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    TAKUKURU yaanika mali za Sh. Bilioni 3.5 za aliyekuwa mhasibu wake Godfrey Gugai

    Viwanja inawezekana maana vingi vipi maeneo yaliyo mbali na mji na wakati wa nyuma viwanja havikuwa na bei.Pia labda alikuwa ananua shamba halafu anakuja kuligawa kwa plots ndo maana anaonekana ana plot nyingi sana Huko kwenye maghorofa sasa waendelee wengine maana kuwa na kaghorofa kamoja tu...
  6. M

    Je, Man united kucheza UEFA Champions League endapo itatwaa kombe la Europa?

    Jose alifanya risk analysis,akaona mechi zilizosalia ni ngumu,akaona option nzuri ni Europa Akishinda Europa atakuwa amefanikiwa sana mission. Akifeli atakuwa disappointed sana
  7. M

    Rais Magufuli aamuru TRA, TFDA, TBS na TPA wawe wanafanya kazi saa 24 Bandarini kuanzia Jumatatu

    Waongeze idadi ya wafanyakazi wanaoendana na huo muda, na wawape overtime watakofanya kazi zaidi ya muda unaotakiwa
  8. M

    Momba mkoani Songwe yatangaza kuwepo kwa njaa

    Source : ITV Habari 20:00 06/05/2017
  9. M

    Momba mkoani Songwe yatangaza kuwepo kwa njaa

    Serikali wilaya Momba mkoani Songwe yatangaza kuwepo kwa njaa na kuwataka wakulima wasiuze chakula maana hali ni mbaya. Huyu Mkuu wa wilaya hivi sio mchochezi? Waziri wa chakula alishakataa akihojiwa na DW Swahili alisema Tanzania hamna njaa. Chanzo: ITV
  10. M

    Mwanamke maskini katika mapenz hafai...muogopeni jamani

    Sidhani kama kuna uhalisia unachokisema mtoa mada,mambo ya usaliti na ustahimilivu ni tabia ya MTU,MTU anaporidhika na mwenzie hajali hayo mengineyo
  11. M

    Flora Mbasha anakualika kwenye ndoa yake

    Flora ni kati ya watumishi hewa ninaowafahamu muda mrefu tu kwa namna ya mienendo yake
  12. M

    Uganda: Mwanamke Mariam Nabatanzi mwenye miaka 39, azaa watoto 44 na mume mmoja. Alianza kuzaa akiwa na miaka 13!

    Hesabu zinakataa: 37 - 13 = 24 umri wake aliozaa 38 - 37 = 1 umri ambao kama angeanza kuzaa kila Mwaka ndo angefikisha hao watoto Vinginevyo atakuwa kila akizaa ni mapacha [/blue]
  13. M

    Mzee Majuto: Tanzanian Movie and Comedy Legend

    Majuto is a KING
  14. M

    Wanaoifahamu wilaya ya Misenyi mnisaidie mimi mwalimu wa ajira mpya

    Misenyi IPO Kagera,makuuu ni Bunazi,8km kutoka Kyaka Ina vijiji/kata kama Murongo Border,Mtukula Border,Kijumbura,Igurwa ,Businde , Rwambaizi....... Inategemea utapangiwa wapi Kila la kheri mkuu
  15. M

    Azam Tv mihemko itawapeleka shimoni

    RadioUhuru Gazeti la Uhuru Daily News Habari Leo TBC zote(TBC1,TBC2,TBC radio,TBC international) Zote hizo haziwatoshi,muwe mnaridhika bhana Yote hayo hayawatoshi
  16. M

    Kinana bado unasubiri? Yatakukuta ya Ombeni Sefue. Muda ni Sasa!

    Nape Nimekusamehe kwa Moyo wangu wote,sijawahi kukupenda ila ndio naanza hiyo practise
  17. M

    Spika Job Ndugai una nafasi ya kuandika historia

    Wengi wa kuteuliwa na wengine wanajua namna walivyopita kwenye uchaguzi(sio kushinda) Ni vigumu sana kufanya maamuzi
  18. M

    Wabunge wa CCM waliopanga kumuona Lema gerezani waonywa, waitwa wasaliti

    Hii nimeipenda,maana yake alitakiwa kuwa mtawala wa kikoloni au nimeelewa vibaya
Back
Top Bottom