Search results

  1. NGOGO CHINAVACH

    Boti ya kisasa (speed boat) inayofanya safari zake Mwanza-Bukoba imepunguza nauli kutoka 50,000 hadi 30,000

    Kampuni ya Earthwise Ferries (T) LTD ambayo imeleta boti ya kisasa MV Bluebird kwa ajili ya safari za Bukoba na Mwanza imepunguza nauli kutoka Tshs 50,000 hadi Tshs 30,000 kuanzia tarehe 11/01/2018. Boti hiyo ambayo inatumia masaa manne kutoka mwanza kwenda Bukoba, na Bukoba kwenda mwanza...
  2. NGOGO CHINAVACH

    Mkurugenzi wa Tv Imani amuwakia mfanyakazi wa Star Times

    TV Imani imekuwa haipatikani katika ving'amuzi vya Star Times kwa muda, wateja wa TV Imani walipokuwa wanapiga simu StarTimes idara ya huduma kwa wateja wamekuwa wakipata maelekezo yasiyoridhisha kwani wafanyakazi hao wamekuwa wakiwaambia kwamba TV Imani inapatikana kwa jina lingine wakati hicho...
  3. NGOGO CHINAVACH

    Wakazi wa Kagera na Mwanza wapata boti ya kisasa(Speed boat)

    Nauli imeshushwa sasa hivi ni 30,000 wapigie kwa ajili ya tiket na booking 0782660297 Boti ya kisasa (Speed boat) MV Bluebird imeanza safari zake rasmi leo tarehe 05.01.2018 kwa kutoka bandari ya Mwanza Kaskazini (Mwanza North Port) saa tano asubuhi na imewasili katika bandari ya Bukoba Saa...
  4. NGOGO CHINAVACH

    Naomba kujuzwa bei ya engine ya Toyota Bb aina ya Engine ni 1NZA050123

    Wakuu Naomba kujuzwa bei ya engine ya Toyota Bb aina ya Engine ni 1NZA050123. Naomba ushauri ipi nzuri kati ya injini used/mpya pia ambayo ni mswaki na ambayo ni completely
  5. NGOGO CHINAVACH

    Tangazo la nafasi za kazi ofisi ya baraza la mapinduzi

    Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi ya kazi kwa ajili ya Ofisi ya Baraza la Mapinduzi Zanzibar kama ifuatavyo:- 1. Afisa Utafiti Daraja la II “Nafasi 1” Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya ‘Sayansi Jamii’ katika fani ya Utawala wa Umma au...
  6. NGOGO CHINAVACH

    Naomba kufahamu juu ya explosives factories hapa Tanzania

    Mwenye ufahamu kama hapa Tanzania tuna explosives factories kama zipo naomba majina yake.
  7. NGOGO CHINAVACH

    Associated Press wafanya marekebisho kuhusu mlima Kilimanjaro

    Jana kulikuwa na taarifa kutoka Associated Press ikieleza kwamba kuna raia wa Afrika Kusini alikufa akiwa anapanda mlima Kilimanjaro, katika hiyo taarifa mwandishi Cara Anna alisema Mlima Kilimanjaro upo Kenya, hata hivyo leo tarehe 19/07/2016 saa 6.30 A.M wamerekebisha na taarifa yao na kusema...
  8. NGOGO CHINAVACH

    AZAM DECODER NA LOCAL CHANNELS

    ACCESS DENIED.
  9. NGOGO CHINAVACH

    Mambo 6 ambayo hupaswi kuyasema kwenye Interview ya kaz

    1. “Nataka kuwa na biashara yangu” – Pamoja na kuwa ni jambo jema kuwa na ndoto hiyo, mameneja waajiri hutafsiri tofauti kabisa. Hawaoni kama una nia ya kufanya kazi bali ni tishio kwao. Hii ni kwasababu waajiri wanahofia unaweza ukaiba taarifa za muhimu. Kitu cha mwisho ambacho kampuni inataka...
  10. NGOGO CHINAVACH

    Taarifa ya msiba wa mtanzania nchini afrika kusini

    Naiweka kama nilivyoikuta kutoka kwenye blog ya IssaMichuzi "TAARIFA YA MSIBA WA MTANZANIA NCHINI AFRIKA KUSINI Ni matumaini yangu kuwa nyote muwazima na sie hatujambo huku Bondeni Sauzi. Maudhui ya barua hii ni kukufahamisheni kuwa kuna Mtanzania kwa jina Shukuru Goyagoya kafariki tarehe...
  11. NGOGO CHINAVACH

    Mtanzania ateuliwa kuwa makamu mkuu wa rais wa BET Networks

    BET Networks, ambayo ipo chini ya kampuni ya Viacom Inc. imetangaza kumwajiri Kay Madati kama makamu mkuu wa rais (Executive Vice President) na pia kama Chief Digital Officer. Madati, raia wa Tanzania aliyeishi katika nchi nyingi Afrika, Uingereza na Marekani, ataziongoza timu za BET...
  12. NGOGO CHINAVACH

    xperia v inauzwa

    Sony xperia V inauzwa, ina miezi miwili toka ianze kutumika. Bei 450,000.00 (maelewano yapo). Nipo Dar Es salaam, 0758 08 81 62.
  13. NGOGO CHINAVACH

    Majibu ya mwenye nyumba juu ya chatu aliyeuliwa Arusha

    Mr.Joseph Paschal Magesa anasema >>Mimi kama mimi kwanza ni Mkristo safi na mzee wa kanisa na niliondoka nyumbani jana na mke wangu kutoka Arusha kuelekea Dar es salaam, sijui lolote kuhusiana na hicho kitu ila nilipofika maeneo ya Mwanga na Same nikapigiwa simu kwamba kuna nyoka huku ndani ya...
  14. NGOGO CHINAVACH

    kuelekea 2015 na ajira 800,000.

    SERIKALI inatarajia kutoa ajira 800,000 kwa vijana kuanzia mwakani kuliwezesha kundi hilo kuondokana na utegemezi katika jamii na kuchangia uchumi wa nchi. Akizungumza Dar es Salaam jana wakati wa kongamano la taifa la ajira, Makamu wa Rais, Dk. Gharib Mohamed Bilal alisema programu hiyo...
  15. NGOGO CHINAVACH

    Drama za wanasiasa zimeanza kuhusu ajira 800,000

    SERIKALI inatarajia kutoa ajira 800,000 kwa vijana kuanzia mwakani kuliwezesha kundi hilo kuondokana na utegemezi katika jamii na kuchangia uchumi wa nchi. Akizungumza Dar es Salaam jana wakati wa kongamano la taifa la ajira, Makamu wa Rais, Dk. Gharib Mohamed Bilal alisema programu hiyo...
  16. NGOGO CHINAVACH

    Wale waliotumiwa sms za utapeli au kutapeliwa na watu wanaojifanya kuwatafutia ajira

    Mahakama ya Mwanzo ya kariakoo imemuhuku kifungo cha miezi tisa jela Bwana Yusuph Ayubu kwa kosa la kujiingizia hela kwa kulaghai kwamba atamtafutia kazi kazi mlalamikaji na matokea yake hakumtafutia kazi. Habari zaidi tafuta gazeti la Mwananchi 20/02/2013ukurasa wa 14. N.B Ndugu zangu...
  17. NGOGO CHINAVACH

    NMB mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi.

    ANAHITAJIKA MTU AMBAYE ATAKUWA TAYARI KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI KUTOKA NMB DAR ES SALAAM AENDE NMB ARUSHA MJINI. POST YA KUBADILISHANA NA BANK TELLER Natangauliza shukrani zangu za dhati.
  18. NGOGO CHINAVACH

    Jamani tusaidiane kuhusu hii picha na Tanroads

    Hiyo lugha iliyotumika hapo.
  19. NGOGO CHINAVACH

    wataalamu wa external harddisc

    Ninampango wa kununua external harddisc ya 1TB. Naomba kujuzwa ni aina gani inadumu, mf. Sony, transcend n.k
Back
Top Bottom