NGOGO CHINAVACH
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 943
- 373
Na bado hii ni TRAILOR tu...Hiyo lugha iliyotumika hapo.
Siyo rahisi kubaini kwani watu wenyewe ndiyo hao wa Zanzibar ni Muungano wa Visiwa vya Zimbabwe na Pemba!Niliwahi kusema kwenye mojawapo ya michango yangu kwamba uwezo wa watanzania sasa hivi kielimu upo chini sana. Kwa ujumla, nakubaliana na anayesema kuwa hili ni JANGA LA KITAIFA. Cha ajabu mkulu na timu yake wapo kimya!