Search results

  1. maguzumunda

    Jifunze kupunguza gharama za malisho ya mifugo

    Kwa sie tunaofuga nguruwe tunaweza kupata unafuu wa chakula pia?
  2. maguzumunda

    Kuhusu historia ya mwamba Kunta Kinte

    I'm kunta kinte The son of Mandingo warrior.
  3. maguzumunda

    SoC01 Mtanzania yeyote, hata asiye na Elimu ni muhimu ajifunze lugha ya Kiingereza

    Mkuu hata mwigulu anajua ki-english lakini upeo wake n hamna kitu.....sio wote wenye upeo mkubwa wanajua ki-english and vice versa.
  4. maguzumunda

    Athari za kupanda kwa Mafuta zaanza kujitokeza kwa Wasafirishaji wa Viazi toka Nyanda za Juu Kusini

    Ukisikia kila changamoto ina fursa zake ndio hii mkuu.....kazi iendelee.
  5. maguzumunda

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Bro hii zaidi ya zote...
  6. maguzumunda

    Tatizo la mawe kwenye figo (kidney stones)

    nnafkri ultrasound n njia nyepesi zaidi ya kugundua hizo renal stones (Bilaterally or unilaterally Nephrolithiasis)
  7. maguzumunda

    Ushawahi kukanwa? (Kisa cha kweli)

    Kuna jamaa angu mmoja (kwa sasa ameshatoboa lakini) alikuwa n jamaa angu ile kinoma noma wakat bado tuko kwenye msoto wa maisha...ila ilikuja tokea ye akaenda mkoa mwingine kwa ndugu zake ambako ndo alipopata rehema za MUNGU na kutusua kimaisha.......sasa baada ya kama miaka 4 hivi tukiwa...
  8. maguzumunda

    Lectures: Jifunze English katika Thread hii Bure kabisa

    Mnazidi kusaidia kutimiza ndoto zangu za kuoa mzungu........ shukrani sana.
  9. maguzumunda

    Demu unatakiwa kuwa mshamba kiaina

    Hahahahhaaaaaa......hapo kwenye kasimpasa ndo atatisha zaidiii!!! Demu atakuwa ni mzee wa mikeka!!!
  10. maguzumunda

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Op miaka 50 ya jkt.......824kj kanembwa ya demo...........ego coy pale......kulikuwa na private mmoja anaitwa magesa (R.I.P) hatari saaana....mwendo n wa kuchomeka.......uelekeo American village...........muda wa kwata uso kwa uso na dakanyama(R.I.P) hilo kwata la hatariiii.........tano la...
  11. maguzumunda

    Kwa wanaume wenzangu tu!!

    Duuuuh!!! Hapo lazima uelewe aisee!!
  12. maguzumunda

    Ili Tanzania iwe nchi ya viwanda nini kinahitajika?

    Wangefanya tu vitu vingine vya maaana.......mambo ya mapinduzi ya viwanda yalishapita toka karne ya 18!! Leo ni karne ya 21!! Now kidooogo wangewekeza kwenye teknolojia kidoogo tungeweza kusogea........mfano ni rwanda wanajaribu hilo.
  13. maguzumunda

    Uzi Maalum wa Kukumbushana Picha za Zamani

    Duuuuuh!!! Huyo jamaa na mambo yake yooote kumbe alikuwa na sura ya kizembe hivyo.....
  14. maguzumunda

    Kutapambazuka!

    Bora papambuzuke tu.....maana hili gheto kwa sasa limejaa kunguni viroboto na pia linavuja.......
  15. maguzumunda

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Ujasiri ni nini........ujasiri ni pale unapoamua kuvaa chupi ya mke wako ili ukamuoneshee mchepuko wako!!!
  16. maguzumunda

    Hatimaye nimetimiza miaka 30 ila sina mbele wala nyuma naombeni ushauri

    Japo m mwenyewe cna mbele but bado kuna miaka 5 hapo!!
Back
Top Bottom