Search results

  1. Mbobo

    Ukianza kufanikiwa Tu Shida zinaanza

    Ukishaanza Kufanikiwa Ndugu zako nao ndio wanaamua kufa ili uonekane umewatoa Kafara..! [emoji28]
  2. Mbobo

    Wana Jangwani kulikoni?

    Gazeti linajieleza.
  3. Mbobo

    Hili la Biashara kupewa 10M kama motisha baada ya kutoa sare kuna ukweli?

    πŠπ”π“πŽπŠπ€ πŠπ–π€ 𝐃𝐀𝐃𝐀 π‹π˜π‹π˜ π‹πˆπ‹πˆπ€ππ„ [emoji404]Kwa akili ya haraka haraka tu!! Team imeshinda mechi mbili za kimataifa na kufuzu hatua inayofuata lkn hawakupewa hata senti kumi ya MOTISHA!!! [emoji404]Ndo waje wapewe MOTISHA milioni 10 kwenye league tena mechi waliotoka sare!!! [emoji404]Biashara...
  4. Mbobo

    Tabia za wanyama zenye kuua Taasisi

    Je, wewe mdau wa JF upo kundi gani? Bata: Kujivutavuta, hufanya kazi polepole na kuendekeza uvivu mpaka mambo ya kikundi yanazorota au kufa kabisa. Bundi: Mtu anayefikiria ana akili kuliko wote kwenye kikundi- hutumia lugha ngumu na haeleweki Chura: Hurudiarudia kitu kile kile mpaka...
  5. Mbobo

    Utani wa Simba na yanga, kuhusu maandalizi ya timu

    MTANI UNATUANGUSHA SANA. Simba: Andaeni Timu Yanga: Mtakoma Chama kaondoka Simba: Andaeni Timu Yanga: Trh 28 kutakuwa na Suprise Simba: Andaeni Timu Yanga: Suprise ni Luis Miquissone. Simba: Andaeni Timu msije kutulaumu Yanga: Tumemchukua Msukule. Simba: Msukule hatacheza andaeni Timu...
  6. Mbobo

    Simba Queens, yatandika mtu 10-0

    Wakuu hawa wanadada wamepata ushindi mnono na mko kimya tu OKW BOBAN SUNZU makaveli10 NAWATAFUNA cariha
  7. Mbobo

    Salama Jabir kuwa msemaji mpya Simba

    Ni salama jabir mshabiki na mwanachama wa simba Sc, za chini ya kapeti zinasema yeye ndio msemaji mpya wa Simba Karibu msimbazi ecejay
  8. Mbobo

    Yanga yavuna pesa na kugharamiwa kambi huko Morocco

    Yanga imemuuza Kisinda kwa RS Berkane kwa Dola 150,000 (Sawa na Tsh MIL 347.8) Berkane pia watagharamia kambi ya 'Pre Season' ya Yanga itakayowekwa katika kituo cha michezo cha KING Mohammed VI, Morocco ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya uhamisho wa Kisinda.
  9. Mbobo

    Huu msimamo wa ligi ya baridi baadhi ya mikoa

    Arusha tunasema kuna baridi aisee ila huko makete ni uturuki ndani ya Bongo.
  10. Mbobo

    Nini Shida kwa hawa vijana wa 2000 na kuendelea

    Hivi Mmeshagundua Watoto wa 1991,1992,1993, 1994, 1995 looks more younger kuliko children of 2000,2001,2002,2003?
  11. Mbobo

    Unafanyaga nini kupunguza hasira zako?

    Binafsi Kama sina hela nasubirigi tu ziishe ila nikiwa na hela nanunua msosi mzuri nakula nashiba( ile shibe hadi ya kulala).
  12. Mbobo

    V.A.R Kutumika Kwa Mkapa hivi karibuni

    Shirikisho la mpira wa Miguu barani Afrika CAF limepanga wiki ijayo kuvitembelea viwanja vyote vitakavyotumika kwenye michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kuona uwezekano wa kuvifanyia majaribio ya Teknolojia ya VAR. Awali technilojia hiyo ilikuwa ikitumika kwenye mchezo wa...
  13. Mbobo

    KIkosi bora cha week CAF Luis na Chama ndani

    Wachezaji nyota wa simba Sc, Clatous chama na luis Miquisson wamechaguliwa kwenye kikosi bora cha week, kwa mujibu wa CAF Hii ni mara ya tatu kwa luis kuingia kwenye kikosi icho bila shaka anaweza kuwa mchezaji bora wa mashindano haya.
  14. Mbobo

    CAF champions league, team of the week

    Thadeo lwanga ndani.
  15. Mbobo

    Jonas Mkude atozwa faini ya Sh. Mil 2, atakiwa kurejea kambini

    Kamati ya Nidhamu ya Klabu ya Simba chini ya mwenyekiti wake Suleiman Kova imetangaza hukumu ya kiungo wa klabu hiyo, Jonas Mkude ambaye alisimamishwa na uongozi kwa makosa ya utovu wa nidhamu. Kwa mujibu a Kova, haya ndiyo makosa matatu aliyokuwa akituhumiwa kuyafanya, pamoja na hukumu zake...
  16. Mbobo

    Davido na Burnaboy watupiana vijembe ya nani msanii bora Afrika

    Kuna vita ya maneno kati ya Davido na Burnaboy, baada ya Davido kusema yeye na Wizkid ndiyo wasanii wakubwa wa muda wote. Sasa Burnaboy ameijibu kauli hiyo ya Davido kwa kusema "Kila mtu anajua huwezi kucheza mpira unatutia aibu kwenye timu, ila baba yako amekununua" Je wadau wa JF ni kweli...
  17. Mbobo

    Maulidi Kitenge rasmi Wasafi Fm

    RASMI: Mtangazaji wa EFM Maulid Kitenge ahamia Wasafi FM, Atoka na wenzake wawili na kumvuta Eddo Kumwembe. Mtangazaji maarufu wa Habari za Michezo nchini Tanzania, Maulid Kitenge ametangaza rasmi kuwa ameachana na Kituo cha Redio cha EFM alichokuwa anafanyia kazi na kujiunga Wasafi FM, redio...
Back
Top Bottom