Nitashare link za paid programming course ambapo mwenye kuhitaj anipm itampatia link atajiunga na udemy na atazipata hizo course free kabisa bila kutoa hata mia. course zenyewe zinanzia $199 but utazipata free kabisa.link yenyew niya telegram channel.ukimaliza course utapewa certificate yako.
Hizi ishu za programming kwa mm hapa naona ni za msingi sana na nimezifwatilia kwa karibu ilinijifunze programing katika pitapita zangu kutaka kujua programming nimekutana na channel kadhaa za telegram ambazo zinatoa course za kulipia za programming kutoka udemy bure ambapo kweny hizo course...
kiimani nguo zina athari kubwa katika maisha yetu ya kila siku,kuna nguo za kuziepuka kama vile nguo za mtumba si nzuri sana. zinabeba tabia na hulka ya mtu so,ikitokea ukainunua na ukaivaa kuna uwezekano wa we kuchukuchua tabia zote za mtu wa kwanza kuvaa nguo hiyo,pamoja na mikosi na balaa...
Nimeshaona mbinu chafu za fisiem,najua wanajua mbowe ni kiongozi imara, naomba wasitupangie hawa mbwa koko, hata hivyo najua yule nani wao mkuu alishawah kusema anamkubali mbowe sasa waachane na sisi.waendelaee na ujenzi wa viwanda hewa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.