Je, unapenda progaramming, je unatamani kuwa developer? soma hapa jifunze kitu

Mkuu napenda sana kuwa mtalaamu wa haya programming language.
Naomba msaada wako mkuu.Hatua kwa hatua.
Kwa dunia ya sasa hakuna kitu rahisi kujifunza kama programming(kama kweli unaipenda). Programming nivkativya discplines rahisi sana kujifunza kwa sababu zifuatazo.

1)Resources ziko nyingi sana mtandaoni kiasi kwamba kama ww unapenda kujifunza basi katika website unazozitembelea wakati ukiwa na bando ongezea websites za kujifunza programming kama vile w3schools.com github.com na pia uliza maswali google kila unaposhindwa nao watakupeleka sehemu kama vle stackoverflow.com ambapo karibia kila swali ambalo unawezakua nalo ww kama beginer limeisha ulizwa na kujibiwa na wataalamu wa coding.

So usisubiri kufundishwa coz mtu akishakua programmer kweli basi anakua bize sana, ni wachache wanaoweza kupata muda wa kusema akae na ww akufundishe unless iwe ndo kazi yake kufundisha

2)Programming ni kitu cha logic tu. Get the logic, fatilia common features za programming languages zote (zilizo famous na useful) then itakua rahisi ww kujifunza technology yyt mpya be it flutter, react-native, swift, erlang, au programming language yyt itakayotengenezwa miaka ijayo.

Unajua kwa sasa duniani hakuna chuo kizuri kama google na youtube, Usisubiri kufundishwa, soma kitu na usipoelewa iulize google nayo itakupa majibu yote hata kama swali lako ni simple kiasi gn. Kwa sasa hata developer aliesomea kwa maprofessa DIT au UDSm anaweza kupigwa gap la maana na developer mwenye nia anaetumia internet kujifunza. So love learning, keep practicing

Happy coding.
 
Nitafanyia kazi ushauri wako mkuu.Pale ambapo sielewi nitakutafuta au vipi mkuu tushee namba unipege miongozo.

kumradhi!!
 
Jf watu hawapendi hizi mambo, Jf ya siku hizi leta udaku tu ndo utaona wadau. Mm nilianza humu na ili kuwasaidia watu zaidi nikafungua hadi group telegram, cha kushangaza watu wa humuhumu jf wanajiunga na group af wengine wanaanza kupost porn za youtube, matangazo na madude mengine ya ajabu ajabu tu kwenye group, I was really distracted na nkaachana nao kabisa for good.
JF ilikuwa ya zamani. Humu hata ukiuliza mambo ya website na blog hawataki hata kusikia wao wanataka waendelee kupiga mpunga pekee yao. Nimejifunza mengi sana humu na hata nikikwama vipi siwezi kumuuliza mtu.
 
Kuna wakati mada ililetwa humu about having a different place for programming/development related queries. Ikapingwa.

I think that killed all the momentum, kulikuwa na wachangiaji wazuri sana on everything programming ila wamepotea sikuhizi.

Sasa humu tunachanganya electronics, matangazo, whatsappgb sijui etc
 
Kiukwel mm nimefanya Sana programming na Nina project nimezifanya ili ziniingizie kipato.
Na zilikua Zina solve real problem katika jamii
Chnagamoto niliyokutana nayo ni kwamba watanzania wengi hawana elim ya computer na hawako tayar kutoka kwenye manual work , ukimpelekea system ya computer kwa ajili ya kusolve matatizo anaanza kukifikiria mpaka akajifunze computer inakua tabu.
Changamoto nyingine niliyokutana nayo kua watu wengi hawapendi uwazi wa mambo yao wanayofanya ujanja ujanja mwingi , mwingine anafikiria kua boss wake atajua Kila kitu kinachofanyika kwa hiyo hakupi ushirikiano kabisa .

Kwa sababu sikua tayar kuajiriwa nikaona napoteza muda tu nikaamua kuachana na programming

Sasa hivi ni nafanya biashara nyingine tu
 
Kiukweli ukiwa bongo ni vigumu sana kutoboa kama skills zako za programming ni za kawaida, unless upate mchongo uende nje, na nje hauendi kama skills zako ni za kawaida

Lkn kama unajiamini kwenye programming kwa nini usiapply sehemu kama Andela, Automattic, etc.... wao wanaona opportunities nyingi katika hii field. na wanakulipa vzr tu. Mfano automattic unafanyia kazi chumbani kwako na unalipwa some good amount

Tatizo programmers wengi hapa Bongo tunabase kwenye webdevelopment na kutengeneza systems kama za shule, vyuo, etc.. ambazo nying ni either projects walizofanya chuoni au templates za mtandaoni lkn wengi hawafikirii kujiongeza na kwenda extra miles..

Mkuu kwa sasa kama haujadeal na kusolve main problem yyt kwenye programming utaona programming haina deal coz hata ukienda kuapply kazi kwenye hayo makampuni niliokutajia hapo juu hasahasa Automattic na tech giants wengine utaulizwa kama ulishawahi kudeal na computer programming problem yyt na ulifikia wapi.

Sasa mfano kuna uzi nilianzisha kuhusu P vs NP problem, lengo likiwa programmers tuje kudiscuss na kudeal na hio problems pamoja na problems nyngne coz zinaongeza uzito wa CV yako na skills zako lkn nadhan JF washafuta cjui coz niliishia kupata reply ya BOB OS tu.

In short kwa dunia ya sasa hakuna kazi yenye uhakika kama programming, ila tu usiwe script kiddie au mvivu wa kujifunza ndipo utaona opportunities.

Pitia hizi sites unaweza kupata njia ya kutoboa kama kweli skils zako za programming ziko vzr

https://automattic.com/work-with-us/

andela.com
 
Jf watu hawapendi hizi mambo, Jf ya siku hizi leta udaku tu ndo utaona wadau. Mm nilianza humu na ili kuwasaidia watu zaidi nikafungua hadi group telegram, cha kushangaza watu wa humuhumu jf wanajiunga na group af wengine wanaanza kupost porn za youtube, matangazo na madude mengine ya ajabu ajabu tu kwenye group, I was really distracted na nkaachana nao kabisa for good.
hahaha...
na hilo ndio tatizo tulionalo vijana wengi wa kitanzania,,,
angalia youtube video zinazotrend ni ujinga,ujinga tu vitu vya maana hakuna na hili kama taifa kuna siku litakuja kutucost
usikate tamaa mapema mkuu,,endelea kuelimisha vijana
 
Hizi ishu za programming kwa mm hapa naona ni za msingi sana na nimezifwatilia kwa karibu ilinijifunze programing katika pitapita zangu kutaka kujua programming nimekutana na channel kadhaa za telegram ambazo zinatoa course za kulipia za programming kutoka udemy bure ambapo kweny hizo course unaweza kuongeza ujuz wako.kama kunatakaye hitaj nimpatie hizo channel apate kujifunza anichek free kabisa
 
Nipatie Mimi hizo channels.
 
Duh. Tuanze wapi. Naamini kuna intention nzuri behind this post ila kama wengine walivyosema programming is not easy, and post kama hizi zina oversimplify vitu.

Ila ...

1. Html5 is a markup language, MySQL is a database, SQL is a domain language, CSS is a stylesheet language, but I digress
2. Java and Javascript are not related

PS. CSS could be the most difficult thing even to the most seasoned developers
Naona unaandika kama umemeza kwa ajili ya pepa ya UCC. Mambo sio rahisi kama ulivoandika arif. Kuna kamtiti kidogo kufika hizo levo unazosema za udeveloper sijui nini .... Kwangu mm naamini to be good at programming ni zaidi ya kujua hizo lugha.
 
Noted
 
Html
Screenshot_2019-06-13-21-56-15.jpeg
 
Naona unaandika kama umemeza kwa ajili ya pepa ya UCC. Mambo sio rahisi kama ulivoandika arif. Kuna kamtiti kidogo kufika hizo levo unazosema za udeveloper sijui nini .... Kwangu mm naamini to be good at programming ni zaidi ya kujua hizo lugha.
Mkuu kupitia elimu ya Darasani pamoja na mimi mwenyewe kujisomea naweza kusema mimi ni developer Mzuri kwa maananafahamu lugha za Javascripts,Php, html ambayo ni mark up language pamoja na java kwa asilimia 95%
 
Hongera zako mdau. Ila kiufupi ni kwamba baada ya kuiva katika hayo yote. Itapendeza ukitafuta some kind of domain... Mfano... Unajikita ktk teknolojia za kompyuta ktk kusovu labda problem za mambo ya afya ...then hapo unaapply uwezo wako wa mocoding( huo mfano tu). Mimi naamini coder ni kama mwanamziki hakuna kustaafu. Nikujiupdate kila siku uchwao. Utakula maisha hata kama ukiwa na miaka 100.
 
mkuu wewe ukinipa wazo mimi nalifanya tunapiga helaa kama un idea ya wazo fulani nambie
 
Update
our first website

Mahitaji

(1) Computer laptop au desktop
(2) Dowload application inayoitwa notepad ++ au Sublime text; au Bracket hizi application ni kwa ajili ya kuandika code zetu
mimi natumia subilme text ingia google utaipata na utaweza kudownload. baada ya hapo fungua kati ya moja ya appkication yako uliyoidownload kwa ajili ya code mfano mimi nafungua sublime text editor

Before hatujaendelea nenda kwenye Computer yako creat folder lipe jina lolote mf mimi nimelipa jina la (myproject)
ndani ya hilo folder kutakua na file zifutazo( index.html,contact us.html, about us.html script.js) baaada ya hapo create folder nyingine ndani ya myproject folder creata folder lingine (liite css ndani ya hili folder la css creat file linaloitwa style.css ) na folder lingine liite images yoote haya yawe kwenye folder moja inayoitwa (Myproject)
Mpaka hapa utakua ushapiga hatua sasa cha kuafanya......

MYPROJECT FOLDER LITAKUA HIVI BAADA YA KUFUTA HATUA ZA HAPO JUU.
images,folder
css folder ndani ya css file kutakua na style.css

fungua text editor yako mimi natumia sublime text editor
create haya mafile index.html,contactus.html.about us.html, script.js na style.cssyawe ndani ya folder moja Myproject

baada ya kufungua folder na ku creat file

Myproject file itakua ya vitu hivi
images(hili ni folder
css(hili ni folder)
zilizobaki ni file....
index.html,
about us.html,
contact us.html,
script.js

HATUA YA 2

Fungua file linaloitwa index.html kwa kutumi text editor yako itafungu andika code kama nilizoandika hapo chini
main ndo sehemu nitaandika code zangu zoote hapo
Header kutakua na
(1)logo navigation ,menu</header>
(2)Section ni sehemu ambayo tutaandika code zetu
(3)Tutataa ndika code zetu hapa kwenye footer kutakua na Vitu vifuatavyo
(i)Social network icon amabzo kutakua na link(facebook,Yotube,twitter, Instagram) pamoja na navigation Memnu

to be continue .......fanya kwanza hizo process alafu ukimaliza tutaendelea kama unaswali lotlote uliza nitakujibu kama ujaelewa uliza nitakujibu......

*/ kwa leo tunatengeneza header yenye slide show
<! doctype html>
<html>
<head>
<script src="script.js<script/>
<title>my first website</title>
<link href="css/style.css" type="text/css" rel="stylesheet">
</head>
<body>
<main>
<header> </header>

</section> </section>

<footer></footer>

</main>
</body>
</html>
 
Hizi ishu za programming kwa mm hapa naona ni za msingi sana na nimezifwatilia kwa karibu ilinijifunze programing katika pitapita zangu kutaka kujua programming nimekutana na channel kadhaa za telegram ambazo zinatoa course za kulipia za programming kutoka udemy bure ambapo kweny hizo course unaweza kuongeza ujuz wako.kama kunatakaye hitaj nimpatie hizo channel apate kujifunza anichek free kabisa
Mkuu Nipatie hizo channel.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom