Search results

  1. mseseve

    Heat transfer/press machine

    Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nina 2plates mashine ya kuprint picha/kuweka picha kwenye nguo kama T-shirt n.Ni kubwa industrial machine ina sahani 2 ambazo unaweza kufanya kazi nyingi kwa muda mfupi.Mashine ni mpya haijatumika sana Bei 2.5mil Bei inapungua for seeious...
  2. mseseve

    IMF yaonya tena kusinyaa kwa uchumi wa Tanzania: Sekta binafsi zinakufa, mapato na pato linashuka kwa kasi

    Ahahahaa.....maana yake ni kwamba VINAONGEZEKA KWA KUPUNGUA....eg kama mwaka juzi viliongezeka 20 mwaka jana 22 na mwaka huu vitaongezeka 21na mwaka kesho vitakuwa stagnant 20 maana kama expctation ya ilikuwa ku double
  3. mseseve

    IMF yaonya tena kusinyaa kwa uchumi wa Tanzania: Sekta binafsi zinakufa, mapato na pato linashuka kwa kasi

    Me ningeshauri serikali ibaki kama kiranja mkuu tuu na regulator mkuu wa uchumi but all means of production ziende sector binafsi maana ndio engine ya uchumi na ni mtoaji mkubwa wa ajira..serikali ibaki kutoa elimu na kukusanya kodi tuu.
  4. mseseve

    IMF yaonya tena kusinyaa kwa uchumi wa Tanzania: Sekta binafsi zinakufa, mapato na pato linashuka kwa kasi

    Pindi utakapokuja jua mwongo ni nani...uko shimoni tayari sijui lawama zitaenda kwa nani coz mwenye rungu mwoga....
  5. mseseve

    Nahitaji fundi mzuri Wa gear box

    Aisee hata mimi nina nissan sunny...inachelewa sana kwapasha mpk natembelea no.1...Ukiweka Drive inachelewa sana mpk ipate moto
  6. mseseve

    SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

    Ahahahhaaaaa....aiseee umenichekesha sana....dungulu........
  7. mseseve

    kwanini ndg zetu Wakenya mnapenda kujenga ghorofa halafu mnaezeka na nyasi?

    Namwona mchina anatokwa na jasho kuwafundisha mabashite...[emoji12] [emoji12]
  8. mseseve

    kwanini ndg zetu Wakenya mnapenda kujenga ghorofa halafu mnaezeka na nyasi?

    used one...wakiishaitumia then wakija na new technology...hizo wanapaka rangi kisha wanawaletea wakenya wanawadanganya ni mpya....ahahhaaaa...hatudanganyikiiiiiii
  9. mseseve

    kwanini ndg zetu Wakenya mnapenda kujenga ghorofa halafu mnaezeka na nyasi?

    ahahaahajaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  10. mseseve

    David Beckham atua Tanzania. Utalii Tanzania unapaa

    tatizo wakenya wamedumazwa na jangwa
  11. mseseve

    David Beckham atua Tanzania. Utalii Tanzania unapaa

    katutanza kimataifa...mh. magifuli keshapiga total bun kwa ndege lenu....sasa kutakuwa na direct flight toka majuu mpk tz....kq watajamba checheeeee.....huu ni utawaoa mupyaaaaaaaaa......na mkizoea kutegemea watz ktk kila kitu sasa mambo yamebadilika
  12. mseseve

    Yaliyojiri kwenye uzinduzi wa SGR ya Kenya

    nadhani hatupaswi kuilinganisha the beautful coming hit train yetu watz na gari moshi lao...washindani wetu watakuwa ethiopia na sii wao tutakuwa tunawaonea.....
  13. mseseve

    Yaliyojiri kwenye uzinduzi wa SGR ya Kenya

    wachina wenyewe kwetu wapiga deal tuu...tunakimbizana nao kariakoo kwenye biashara ya rejareja.....
  14. mseseve

    What does absence of COW at SGR launch mean?

    sgr mostly zinakuwaga ni za umeme...sasa mbona lenu ni diesel?...hiki kitu ni used from china.....is just like refubished cars from japan wanauzaga kwa cheap bei.....ngojea yetu tuwaze kushindana na kujilinganisha na wenzetu ethiopia ...sio nyie wakey
  15. mseseve

    Wanaume tunaopenda kuvaa suti njooni tushauriane jinsi ya kuchagua rangi na aina za suti nzuri

    Uko sawa lakini itategemea na shughuli yenyewe unayoivalia suit..mfano kama ni harusi..hizo colour ni common sana na wala haziwezi kudraw attention ya watu...unaweza kuvaa black ktk harusi yako, ukajikuta umevaa sawa na wanakamati wako maana asilimia kubwa ya watu wanakimbilia black suit sababu...
  16. mseseve

    Wanaume tunaopenda kuvaa suti njooni tushauriane jinsi ya kuchagua rangi na aina za suti nzuri

    Hili la aqua blue...mbona ndio suit inayotrend ktk fashion kwa sasa...unajua wanaume wa sasa ni tofauti na zamani..wameanza kupenda nguo zenye crazy colours kama wanawake kwa hiyo kinachoangaliwa kwa sasa sii rangi tena but ni ile smatnes na unaivaa kwa jambo gani au kwa tukio gani na je...
  17. mseseve

    Naomba kufahamishwa utaratibu wa kupata leseni ya salon(kinyozi)

    Mfano:kodi ya frem 150, 000 kwa mwezi, kodi ya zuio ni 150, 000*10% utapata 15000 kwa mwezi. Unatakiwa ulipe ya mwaka mzima kwa hiyo 15000*12=180, 000 jumlisha stamp 18000/= so utatakiwa kulipia 198, 000/= kisha anakukadiria kodi yako sasa utakayotakiwa kuilipa kutokana na maelezo uliyompa...
  18. mseseve

    Naomba kufahamishwa utaratibu wa kupata leseni ya salon(kinyozi)

    Iko hivi... Unachotakiwa kufanya ni kuwa na TIN number kama huna utaenda kuwaambia watakupa process za kupewa TIN na kama unayo mfano kama una leseni ya gari, ina TIN namba so utatakiwa tuu kuibadilisha iwe ya biashara.. Alafu tunapewa form ya kujaza kama ni biashara mpya.. Pamoja na hiyo form...
Back
Top Bottom