What does absence of COW at SGR launch mean?

Nope didn't say that because I knew exactly the final destination will be kakamega hahaha
heheee...yani waganda washaanza kuclear land na kucompensate waathiriwa lakini wewe waibuka huku na ndoto zako za alinacha...haya bana
 
Even me I did it exactly didn't you see my first post? I strongly congratulated you guys.
CoW members hawajaachana na Kenya katika kuendeleza mradi wao. Kumbuka alivyosema M7, ya kwamba kwanza ni kucompare mwanajibwa yupi atakuwa na kukuwa mwindaji hodari.

Kenya imejitahidi sana, na miradi yake inaendelea vyema, huku ya Tz ikisemekana kukumbwa na matatizo. Je, wao kweli wataweza kungoja hadi msuluhishe haya matatizo yenyu kwanza, ambayo hata hayajulikani yataisha lini?

Elewa ya kwamba Rwanda na Uganda hawana chuki na Kenya, wala mapenzi ya dhati kwa Tanzania. Ni interest ya taifa yao ndio wanazingatia hapa.
 
Kenya nzima haina forums yenye viewers wengi per day zaidi JF. Isitoshe JF ina applications
Imagine JF ikiondolewa leo, kutabakia forum site gani kama hii Tanzania?

Ndicho kilichodanyika Kenya baada ya Mashada Forum kuondolewa.
 
There are plenty BTW don't compare tribal platform to respected JF. FYI before this there was Jambo forums
 
There are also plenty of discussion websites in Kenya, though small. Kenyans however are not very interested in these forum sites for some reason, prefering to use either Twitter or Fb.

Yes, it was the stupidity of some stupid Kenyans, their irresponsible actions online that led to the demise of these very polular discussion boards, the most notable one being Mashada.
 
Tanzanians r in Facebook n Instagram too..

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
Bwana Majungu mwenyewe! Naona chuki imekusakama kooni si haba. Kenya itafikisha reli hadi Kisumu na M7 atalazimika kutafuta msaada wa reli ili atimize ujenzi Uganda. Ni jambo ngumu sana kubishana kuhusu vitu vilivyoko on the ground (SGR Kenya) na vitu vilivyoko katika fund-raising stage (TZ SGR).
 
CoW members hawajaachana na Kenya katika kuendeleza mradi wao. Kumbuka alivyosema M7, ya kwamba kwanza ni kucompare mwanajibwa yupi atakuwa na kukuwa mwindaji hodari.

Kenya imejitahidi sana, na miradi yake inaendelea vyema, huku ya Tz ikisemekana kukumbwa na matatizo. Je, wao kweli wataweza kungoja hadi msuluhishe haya matatizo yenyu kwanza, ambayo hata hayajulikani yataisha lini?

Elewa ya kwamba Rwanda na Uganda hawana chuki na Kenya, wala mapenzi ya dhati kwa Tanzania. Ni interest ya taifa yao ndio wanazingatia hapa.

Matatizo gani hayo? Naona unasoma vigazeti vyenu uchwara halafu unadhani kuwa unajua kila kitu.
 
Uganda Minister of FA and minister of transport were among the delegates that took a ride

Untitled.jpg

DBI3QfKXUAANH02.jpg

Also the lead engeneer who is in charge of the SGR project for Uganda was also there with hs engeneers, these are the real guys behind the actual project.

Untitled 2.jpg

Untitled 3.jpg
 
sgr mostly zinakuwaga ni za umeme...sasa mbona lenu ni diesel?...hiki kitu ni used from china.....is just like refubished cars from japan wanauzaga kwa cheap bei.....ngojea yetu tuwaze kushindana na kujilinganisha na wenzetu ethiopia ...sio nyie wakey
 
Back
Top Bottom