Search results

  1. M

    DCEA yakamata kilo 767.2 za dawa za kulevya katika operesheni maalum, 21 mbaroni

    Hatari, tamaa Za watu wachache zinathiri nguvu Kazi Kubwa ya Jamii
  2. M

    Wadau naomba kushea experience yangu ndogo kwenye Biashara ya kuuza tofali

    Mkuu vp kuhusu uzalishazi kwasiku unaweza kuzalisha tofali ngapi Kwa mashine hiyo?
  3. M

    Wanaume ni wa ovyo sana

    Kim is Got a mm OOP me ibd.
  4. M

    Fahamu jinsi ya kuanza biashara kwa mtaji mdogo (Mfano: Milioni 1)

    Je biashara yoyote lazima ufanye market test,? Vp kuhusu zile za uzalishaji ambapo mpaka miundombinu ya uzakishaji ikamilike ambapo utakuwa tayari umeshaanza uwekezaji. pia Kuna biashara nyengine ni ngumu kupata taarifa za Siri ya biashara kutoka Kwa wazalishaji wengine au wateja au wauzaji. Je...
  5. M

    Nina milioni 3; nifuge kitu gani niweze kupambana na umasikini?

    Hii ni idea nzuri, ila umeshawahi kuona sehemu wanauza nyama choma sungura na biashara imesimama. Mtoa mada anataka kujua ufugaji wenye uhalisia zaidi.
  6. M

    IGP Wambura: Wahalifu wakae chonjo, huu ni wakati mbaya kwao

    Hivi kitengo hiki hakipo katika jeshi la polisi? Sio wale dawati la jinsi! Na mm nauliza mwenye ufahamu zaidi utupe ufafanuzi.
  7. M

    Umewahi kuishi bila ya kazi ya kukuingizia kipato? Kwa muda gani? Na ulikuwa unapata wapi chakula na mahitaji muhimu ya maisha?

    Hiyo point ya kutokaa sehemu moja muda mrefu kama mambo hayapo sawa makes sense.
  8. M

    Nikiona binadamu anazikwa nachanganyikiwa mno

    Mkuu hii jambo unalodoubt ni kweli tupu. We unadhani tumeumbwa duniani kufanya mchezo tu. Lazima tumtukuze Muumba na tutarajie malipo jwa mambo yoyote tunayoyafanya
  9. M

    Nahitaji mashudu ya alizeti, pamba, soya na pumba

    Mkuu nina mashudu ya nazi na mbegu za chikichi. Let me know kama utayahitaji.
  10. M

    Nini njia ya kukomesha wizi huu majumbani?

    Tafuta mlinzi au weka hata mmasai. Wezi hawasogei wakisikia nyumba kuna mlinzi.
  11. M

    Wazo la biashara kwa 100m

    Mkuu nimeshawahi jaribu kuifanya hii biashara. Tangawizi ukiikausha inakatika sana uzito olmost inapungua mara 4 kwa kila kilo moja. Na kama tangawizi ni changa inapungua zaidi ya hapo.
  12. M

    TFF yamfungia Shaffih Dauda kujihusisha na soka miaka mitano, mwingine afungiwa MAISHA

    Alifanya nini. Mbona adhabu ni kali sana?
  13. M

    Watumishi wengi wa Serikali hawana tija. Mishahara inapotea bure

    1. Hili ni miongoni mwa tatizo, hakuna KPI kwa watumishi wengi ambazo ni vigezo vya kuassess kazi 2. Mikataba ya ajira ni permanent and pensionable ( wewe unategemea nini, watu wanakuwa very relaxed) lau ajira zingekuwa fixed contracts with possibility of extention subject to your performance...
  14. M

    Niulize kuhusu biashara ya hardware, nitajibu kwa uwezo wangu

    Vp kuhusu mbinu za kudhibiti wizi na upotevu wa bidhaa store, je ni biashara ambayo unaweza kumkabidhi mtu na kuisimamia ukiwa mbali kwa urahisi? Au lazima uwepo mwenyewe dukani?
Back
Top Bottom