Nimempigia simu demu wangu akapokea bwana ake mwingine na kuanza kunihoji"wewe ni nani wampigia mpenzi wangu simu??? Nikamjibu"Sorry mimi ni doctor mpenzi wako alinambiaga niwe namkumbusha kumeza dozi zake za ARV kila muda ukifika"
Yule mwanaume leo tumemzika...
Baadhi ya Wazazi huwa wanaandika Mageti ya nyumba yao. HAPA KUNA MBWA MKALI pindi binti yao anapofikisha Miaka 18. Lakini anapofikisha Miaka 30 bila kuolewa wanaandika Getini. TUNAUZA ICE CREAM [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wazee wa zamani bhana.. kwakweli walikosa kazi, yaani wanakaa wananusa mavi halafu wanatunga methali eti "MAVI YA KALE HAYANUKI"[emoji1] [emoji1] [emoji1]
*Ivi kama juzi ilikua 2016*
*jana* ni 2017*
*Ivi leo si itakua 2018*
* kesho itakua 2019*
*Halafu keshokutwa itakua 2020... *tutaenda kupiga kura tena etieeee*[emoji134]♂[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji51]
Mbu ni tatizo sana nchini kwetu. Lakini ukitaka mbu wote waishe mpaka tuanze kuwatafuta, waambie wanaume kwamba *mchuzi wake unaongeza nguvu za kiume.*[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124] hutakaa uwaone...
JAMAA AMESHTUKA "USINGIZINI" HUKU AKIPIGA KELELE """MUNGU WANGU""" """MUNGU WANGU""".
NIKAMUULIZA VIPI ULIKUA UNAKIMBIZWA NA SIMBA??
AKAJIBU...BORA INGE KUA HIVYO
"""NILIKUA NAOTA NAMPIGIA KURA RAIS WETU TENA KATIKA NDOTO""" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
Usifikiri Watu wote ni Wajinga Hawaelewi Mafumbo.
Jamaa na Mke wake walikuwa bado Wamelala Asubuhi.
Ghafla Mtu akapiga Hodi kwenye mlango.
Mke akaenda kufungua mlango.
Bahati mbaya kumbe ni mpango Wake wa Kando.
MKE: Unataka nini we Mpumbavu?
MUME: Nani huyo una Mtukana?
MKE:Kuna Mtu hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.