JAMAA AMESHTUKA "USINGIZINI" HUKU AKIPIGA KELELE """MUNGU WANGU""" """MUNGU WANGU""".
NIKAMUULIZA VIPI ULIKUA UNAKIMBIZWA NA SIMBA??
AKAJIBU...BORA INGE KUA HIVYO
"""NILIKUA NAOTA NAMPIGIA KURA RAIS WETU TENA KATIKA NDOTO"""
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.